Pamoja na vikwazo: Iran nchi namba moja ya kiislam yenye wasomi wengi na elimu nzuri

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,887
Jibu la Iran kwa vikwazo vya Marekani; kuwa mstari wa mbele katika nyuga za elimu
Jan 20, 2019 08:07 UTC
Katika hali ambayo, Marekani na vyombo vya habari vya kipropaganda vya Magharibi daima vimekuwa vikizungumzia upande haribifu na taathira hasi za vikwazo vya Wamagharibi, harakati ya kusonga mbele na ustawi wa kielimu unaoongezeka kila leo wa Iran katika nyuga mbalimbali hususan katika nyanja za kielimu; inaonyesha taswira nyingine ya Iran na vikwazo vya Marekani.
Katika kipindi cha miaka 40 iliyopita, Iran takribani imekuwa chini ya mashinikizo na vikwazo vya kidhalimu vya Marekani na Ulaya katika nyanja zote ukiwemo uga wa elimu na teknolojia. Hata hivyo licha ya kuweko mashinikizo, Iran imepiga hatua kubwa mno katika katika nyanja za kielimu, taaluma ya kutegemea wataalamu wa ndani na teknolojia ya kisasa. Takwimu na nyaraka za kielimu zilizopo zinaonyesha kuwa, filihali Iran ikiwa na hisa ya asilimia 1.93 ya uzalishaji elimu duniani inashikilia nafasi ya kwanza miongoni mwa nchi za Ulimwengu wa Kiislamu.
Muhammad Javad Deqhani Kaimu Mkuu wa Tovuti ya Kuorodhesha Makala za Kielimu katika Ulimwengu wa Kiislamu (ISC) anasema: Kwa mujibu wa tathmini ya hivi karibuni kabisa iliyofanywa katika uga wa kimataifa, Iran imekuwa na ukuaji elimu mara 19 katika upande wa hisa ya uzalishaji elimu ikilinganishwa na kipindi cha kabla ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu (1979) na hivyo kushika nafasi ya 16 duniani.
Jambo lisilo na shaka ni kuwa, matunda haya yanaonyeshha kwamba, katika hali ambayo Marekani na washirika wake wameweka matumaini yao kwa athari mbaya za vikwazo, kuleta mgogoro wa kiuchumi na mashinikizo dhidi ya Iran; hilo limekuwa na matokeo kinyume kabisa na matarajio yao; kwani Iran imepiga hatua na kusonga mbele kielimu ikiwa ndani ya vikwazo na mashinikizo. Filihali Iran ina nafasi nzuri katika nyanja mbalimbali kieneo na kimataifa. Kwa mfano katika uga wa teknolojia ya Nano Iran ni miongoni mwa nchi kumi duniani, katika uga wa elimu ya jenetiki na vinasaba Iran inashika nafasi ya kwanza Mashariki ya Kati na ya 16 duniani, na katika elimu ya anga za mbali, taifa hili linashika nafasi ya kwanza katikka eneo na ya 15 ulimwenguni.
Francesco Federico Nakarela alisema hivi karibuni pambizoni mwa Kongamano la Kimataifa la Moyo la Hospitali ya Razavi lililofanyika Novemba mwaka jana mjini Mashhad kwamba, nchi za Ulaya zina hamu na shauku kubwa ya kuwa na uhusiano na Iran katika uga wa tiba na jambo hili linaonyesha kuwa, vikwazo haviwezi kuzuia ustawi na maendeleo ya elimu ya nchi fulani.
Hapana shaka kuwa, kwa kuzingatia uwezo wa kielimu na vipawa vya hali ya juu vya vijana wa Kiirani, ustawi na maendeleo haya yataendelea kushuhudiwa pia katika siku zijazo na taifa la Iran litakuwa na mustakabali unaong'ara kinyume kabisa na matakwa ya Marekani.
Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aliashiria Novemba mwaka jana wakati wa kukaribia maadhimisho ya tarehe 13 Aban, Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari alipokutana na maelfu ya wanafunzi na wanachuo juu ya kushindwa shetani mkubwa katika kutekeleza lengo lake kuu katika miaka 40 ya njama zake na kusisitiza kwamba:
Kuporomoka Marekani ni ukweli waliokubaliana kwa kauli moja wananadharia mahiri na watajika wa dunia, lakini katika upande wa pili wa changamoto hii, taifa la Iran likiwa na shauku, ari na kwa hima, kazi na idili ya vijana wake lina mustakabali unaong'ara na bora zaidi.
Kituo cha kifikra cha Kundi la Kimataifa linaloshughulikia migogoro hivi karibuni kilisema katika ripoti yake ya karibuni kabisa kikimnukuu kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Marekani kwamba: Tathmini ya ndani na ya awali iliyofanywa na serikali ilitoa natija hii kwamba, utendaji wa Marekani hadi sasa haujafanikiwa kudhibiti nyendo za Iran au kuifanya Tehran ilazimike kukaa katika meza ya mazungumzo.
Hii leo nguvu laini imekuwa na nafasi maalumu mbele yya nguvu ngumu ambapo mhimili wake asili na mkuuu ni kuzalisha elimu na teknolojia. Hivyo basi kuna haja ya kufanya harakati katika njia hii kwa nguvu zote hata kama kutakuwa na changamoto, ugumu na upinzani katika kuufikia lengo hili.
4bsd3b653f05051cfrq_800C450.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayahudi weusi watakuja kumwaga povu kukupinga.Ila kiualisia bila ya ushabiki viongozi wa Irani wanahitaji pongezi licha ya kwamba na wao wana mapungufu yao kama binadam wengine .Mimi nawahakikisha hii misukosuko na fitina zinazo fanywa na marekani na washirika wake dhidi ya Iran ingekuwa nchi yetu tz iliyo jaa viongozi vichwa maji nakuhakikishia hat panado isingekuwepo hospital.Baada ya mapinduzi mwaka 1979 GDP yake ilikuwa bilion$60 na baada mapinduzi Marekani na washirika wake waliiwekea kila aina ya vikwazo na hila lakini wakasimama waliiwekea vikwazo vya silaa ili ipoteze uwezo wa kujilinda waliwekewa vikwazo vya madawa ,kiuchumi na propaganda za kuichafua .Baada kuwekewa vikwazo ili ipoteze uwezo wake wa kujilinda ili waivamie kiulahisi Lakini waliweza kuumiza akili na kuanza kutengeneza silaa zake mwenyewe ,waliwekewa vikwazo vya madawa Lakini waliumiza akili wakatengeneza za kwao kuhusu uchumi licha ya fitina zote Lakini takwimu za mwaka 2018 unaonesha uchumi wa Iran ni bilion550$ .Lakini unalikuta limtu kutoka nchi ambayo uchumi wake ni billion 55$ hata haiwezi kutengeneza hata njiti za kuchokonolea meno eti linaiponda Iran.sijui chuki dhidi Iran imetoka wapi?
 
Ww kutoka iyo nchi mbayo haiwezi tengeneza hata njiti umefikia wap au umegundua nn au umesaidia nini nchi yako kuelekea huko au kwa ww ni mwarabu mweusi kwenu kuna mafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww kutoka iyo nchi mbayo haiwezi tengeneza hata njiti umefikia wap au umegundua nn au umesaidia nini nchi yako kuelekea huko au kwa ww ni mwarabu mweusi kwenu kuna mafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi umenielewa au umekurupuka sijasema Mimi ni mgunduzi wa chochote nilicho sema ni kwamba tuache kushinda humu tunaponda nchi ambazo zinatuzidi kila kitu alafu tunaziona sichochote.kila siku kazi yenu kuiponda Iran wakati nchi yetu inahitaji miaka zaidi ya 50 kufikia maendeleo ambayo Iran anayo sasa.
 
Wasingefanya mapinduzi ya kiislam wenda inhekuwa kama Turkey...au kuzikalibia ichi za Maghalibi walikosea kwenye icho tu..kuna Maskehy wengi kuliko scientist
Ndio tatizo lenu kuamini huwezi kuendelea bila ya wazungu kabla ya mapinduzi Iran ilikuwa nyuma kwa kila kitu hayo maendeleo imeyapata baada ya mapinduzi kwani ni nchi ngapi za kiarabu zinaegemea kwa nchi za magharibi Lakini bado yako nyuma kimaendeleo.
 
Jibu la Iran kwa vikwazo vya Marekani; kuwa mstari wa mbele katika nyuga za elimu
Jan 20, 2019 08:07 UTC
Katika hali ambayo, Marekani na vyombo vya habari vya kipropaganda vya Magharibi daima vimekuwa vikizungumzia upande haribifu na taathira hasi za vikwazo vya Wamagharibi, harakati ya kusonga mbele na ustawi wa kielimu unaoongezeka kila leo wa Iran katika nyuga mbalimbali hususan katika nyanja za kielimu; inaonyesha taswira nyingine ya Iran na vikwazo vya Marekani.
Katika kipindi cha miaka 40 iliyopita, Iran takribani imekuwa chini ya mashinikizo na vikwazo vya kidhalimu vya Marekani na Ulaya katika nyanja zote ukiwemo uga wa elimu na teknolojia. Hata hivyo licha ya kuweko mashinikizo, Iran imepiga hatua kubwa mno katika katika nyanja za kielimu, taaluma ya kutegemea wataalamu wa ndani na teknolojia ya kisasa. Takwimu na nyaraka za kielimu zilizopo zinaonyesha kuwa, filihali Iran ikiwa na hisa ya asilimia 1.93 ya uzalishaji elimu duniani inashikilia nafasi ya kwanza miongoni mwa nchi za Ulimwengu wa Kiislamu.
Muhammad Javad Deqhani Kaimu Mkuu wa Tovuti ya Kuorodhesha Makala za Kielimu katika Ulimwengu wa Kiislamu (ISC) anasema: Kwa mujibu wa tathmini ya hivi karibuni kabisa iliyofanywa katika uga wa kimataifa, Iran imekuwa na ukuaji elimu mara 19 katika upande wa hisa ya uzalishaji elimu ikilinganishwa na kipindi cha kabla ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu (1979) na hivyo kushika nafasi ya 16 duniani.
Jambo lisilo na shaka ni kuwa, matunda haya yanaonyeshha kwamba, katika hali ambayo Marekani na washirika wake wameweka matumaini yao kwa athari mbaya za vikwazo, kuleta mgogoro wa kiuchumi na mashinikizo dhidi ya Iran; hilo limekuwa na matokeo kinyume kabisa na matarajio yao; kwani Iran imepiga hatua na kusonga mbele kielimu ikiwa ndani ya vikwazo na mashinikizo. Filihali Iran ina nafasi nzuri katika nyanja mbalimbali kieneo na kimataifa. Kwa mfano katika uga wa teknolojia ya Nano Iran ni miongoni mwa nchi kumi duniani, katika uga wa elimu ya jenetiki na vinasaba Iran inashika nafasi ya kwanza Mashariki ya Kati na ya 16 duniani, na katika elimu ya anga za mbali, taifa hili linashika nafasi ya kwanza katikka eneo na ya 15 ulimwenguni.
Francesco Federico Nakarela alisema hivi karibuni pambizoni mwa Kongamano la Kimataifa la Moyo la Hospitali ya Razavi lililofanyika Novemba mwaka jana mjini Mashhad kwamba, nchi za Ulaya zina hamu na shauku kubwa ya kuwa na uhusiano na Iran katika uga wa tiba na jambo hili linaonyesha kuwa, vikwazo haviwezi kuzuia ustawi na maendeleo ya elimu ya nchi fulani.
Hapana shaka kuwa, kwa kuzingatia uwezo wa kielimu na vipawa vya hali ya juu vya vijana wa Kiirani, ustawi na maendeleo haya yataendelea kushuhudiwa pia katika siku zijazo na taifa la Iran litakuwa na mustakabali unaong'ara kinyume kabisa na matakwa ya Marekani.
Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aliashiria Novemba mwaka jana wakati wa kukaribia maadhimisho ya tarehe 13 Aban, Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari alipokutana na maelfu ya wanafunzi na wanachuo juu ya kushindwa shetani mkubwa katika kutekeleza lengo lake kuu katika miaka 40 ya njama zake na kusisitiza kwamba:
Kuporomoka Marekani ni ukweli waliokubaliana kwa kauli moja wananadharia mahiri na watajika wa dunia, lakini katika upande wa pili wa changamoto hii, taifa la Iran likiwa na shauku, ari na kwa hima, kazi na idili ya vijana wake lina mustakabali unaong'ara na bora zaidi.
Kituo cha kifikra cha Kundi la Kimataifa linaloshughulikia migogoro hivi karibuni kilisema katika ripoti yake ya karibuni kabisa kikimnukuu kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Marekani kwamba: Tathmini ya ndani na ya awali iliyofanywa na serikali ilitoa natija hii kwamba, utendaji wa Marekani hadi sasa haujafanikiwa kudhibiti nyendo za Iran au kuifanya Tehran ilazimike kukaa katika meza ya mazungumzo.
Hii leo nguvu laini imekuwa na nafasi maalumu mbele yya nguvu ngumu ambapo mhimili wake asili na mkuuu ni kuzalisha elimu na teknolojia. Hivyo basi kuna haja ya kufanya harakati katika njia hii kwa nguvu zote hata kama kutakuwa na changamoto, ugumu na upinzani katika kuufikia lengo hili.View attachment 1000128

Sent using Jamii Forums mobile app
So What?
 
Ndio tatizo lenu kuamini huwezi kuendelea bila ya wazungu kabla ya mapinduzi Iran ilikuwa nyuma kwa kila kitu hayo maendeleo imeyapata baada ya mapinduzi kwani ni nchi ngapi za kiarabu zinaegemea kwa nchi za magharibi Lakini bado yako nyuma kimaendeleo.

"Wayahudi na Wakristo hawatakuwa radhi nanyi mpaka mtakapofuata dini yao". Hii imeshaandikwa ktk Qur'an.
 
Aliye kwambia Iran ni waarabu?

Huu ni ujinga uliopitiliza kwani tumbili na nyani wana tofauti gani?? Wawe waarabu au waajemi tatizo lenu ninyi watu mnapenda mno kuwaabudu utafikiri wao ndiyo wanawagawia uhai!!.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom