Kwanini Uturuki haziivi na wakrudi?kip

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
habari wakuu..mimi ni mgeni wa mambo ya kimataifa naomba kujuzwa kwanini uturuki na wakrudi haziivi?tatizo ninini?Chanzo cha ugomvi wa wakrudi na waturuki ninini?
Naomba kujuzwa
 
Uadui wa wakurud na Uturuki ulianza zamani miaka ya 1976 kama sikosei .Taifa la uturuki tuna jua ilishakuwa dora yenye nguvu iliyo kuwa ikijulikana kama Ottoman iliyo itawala Masha riki ya kati,Afrika ya kasikazini na Asia ya mbali ikiwemo na baadhi ya maeneo ambayo ni China ya sasa hasa yenye waislam wengi,lakini pia ilikuwa ikitawala hadi nchi ambazo kwa sasa zinajulikana kama Malaysia na Indonesia,lakini pia ilisha tawala baadhi ya sehemu za Ulaya mashariki.Lakini kama unavyo jua hakua jambo lisilo kuwa na mwisho Ottoman ilianza kuodoofika kila kukicha.Kutokana na hali hiyo ilianza kupoteza maeneo iliyo kuwa inayatawala mwisho wa siku Ottoman ilianguka,lakini tukumbuke katika maeneo yaliyo kuwa yakitawaliwa na Ottoman kulikuwa na jamii na makabila mbalimbali madogo na makubwa,baadhi ya makabila madogo yalikuwa kama Wayazidi na waarimenia na makabila makubwa yalikuwa kama vile Waarabu na wakurudi.Kwahiyo baada ya Ottoman I kusabaratika jamii ya waarabu ilijitenga na kuunda mataifa na mbali mbali jambo lililosababisha kumezwa kwa makabila madogo, lakini licha ya kwamba wakurudi walikuwa ni jamii kubwa lakini ilijikuta ikimemezwa na mataifa ya kiarabu,na jamii hii iligawanyika katika mataifa mbalimbali ikiwemo uturuki.Kasasa asilimia 20 ya raia wa Uturuki ni wakurudi,sasa miaka ya sabini ndipo walipo anzisha kampeni ya kuunda taifa la kikurudi wakidai kwamba wao kama jamii kubwa inatakiwa kuwa na taifa lao ndipo kilipoudwa chama kijulikanacho kama PKK ndani ya Uturuki lakini wazo hili lilipigwa vikali na viongozi wa Uturuki jambo lililo sababisha serikali kutumia jeshi kukandamiza harakati hizo.jambo ambalo liliwalazimu wakurudi kuchukua silaa na kuanza kupambana na majeshi ya Uturuki lakini chamoto walikiona kutokana na jeshi la Uturuki lilikuwa na nguvu.Kwahiyo baada ya kuona hawezi kukabiliaa na majeshi ya Uturuki ana kwa ana wakaamuwa kuanzisha harakati za chini kwa chini ambazo mpaka sasa hazijafanikiwa.kwahiyo hicho ndio chanzo cha ugomvi kati ya Uturuki na wakurudi ,na Uturuki ilishaapa ya kwamba haitoruhusu kuudwa kwa taifa wakurudi.kwahiyo Uturuki ina hofu ya kwamba iwapo wakurudi wa siria au wa Iraq wataanzisha taifa basi watawapa nguvu wakurudi wa Uturuki na wao kudai faifa lao jambo ambalo linahatarisha utulivu wa Uturuki kuw hiyo ndio maana Uturuki imekuwa tiyari hata kutumia nguvu kubwa za kijeshi dhidi ya wakurudi pale wanapojaribu kufurukuta.huo ndio uwelewa wangu kuhusiana na huu mgogoro kama kuna sehemu nimekosea nikosoeni.
 
Sababu kuu ni kilichosababisha ukauliza swali lako namna ulivyoliuliza.

Wakurdi wapo ndani ya uturuki(licha ya kuwa wapo ktk nchi nyingine pia).Sababu kuu ya kutoelewana kwao ni baada ya serikali ya Uturuki kutaka kutokuwatambua kwa utamaduni wao na wakati fulani ikazuia jina la wakurdi na kuwaita waturuki wa milimani.Pia ni kundi/kabila linalodai uhuru wao wa kujitegemea.

Wikipedia imeelezea zaidi ....
 
Uadui wa wakurud na Uturuki ulianza zamani miaka ya 1976 kama sikosei .Taifa la uturuki tuna jua ilishakuwa dora yenye nguvu iliyo kuwa ikijulikana kama Ottoman iliyo itawala Masha riki ya kati,Afrika ya kasikazini na Asia ya mbali ikiwemo na baadhi ya maeneo ambayo ni China ya sasa hasa yenye waislam wengi,lakini pia ilikuwa ikitawala hadi nchi ambazo kwa sasa zinajulikana kama Malaysia na Indonesia,lakini pia ilisha tawala baadhi ya sehemu za Ulaya mashariki.Lakini kama unavyo jua hakua jambo lisilo kuwa na mwisho Ottoman ilianza kuodoofika kila kukicha.Kutokana na hali hiyo ilianza kupoteza maeneo iliyo kuwa inayatawala mwisho wa siku Ottoman ilianguka,lakini tukumbuke katika maeneo yaliyo kuwa yakitawaliwa na Ottoman kulikuwa na jamii na makabila mbalimbali madogo na makubwa,baadhi ya makabila madogo yalikuwa kama Wayazidi na waarimenia na makabila makubwa yalikuwa kama vile Waarabu na wakurudi.Kwahiyo baada ya Ottoman I kusabaratika jamii ya waarabu ilijitenga na kuunda mataifa na mbali mbali jambo lililosababisha kumezwa kwa makabila madogo, lakini licha ya kwamba wakurudi walikuwa ni jamii kubwa lakini ilijikuta ikimemezwa na mataifa ya kiarabu,na jamii hii iligawanyika katika mataifa mbalimbali ikiwemo uturuki.Kasasa asilimia 20 ya raia wa Uturuki ni wakurudi,sasa miaka ya sabini ndipo walipo anzisha kampeni ya kuunda taifa la kikurudi wakidai kwamba wao kama jamii kubwa inatakiwa kuwa na taifa lao ndipo kilipoudwa chama kijulikanacho kama PKK ndani ya Uturuki lakini wazo hili lilipigwa vikali na viongozi wa Uturuki jambo lililo sababisha serikali kutumia jeshi kukandamiza harakati hizo.jambo ambalo liliwalazimu wakurudi kuchukua silaa na kuanza kupambana na majeshi ya Uturuki lakini chamoto walikiona kutokana na jeshi la Uturuki lilikuwa na nguvu.Kwahiyo baada ya kuona hawezi kukabiliaa na majeshi ya Uturuki ana kwa ana wakaamuwa kuanzisha harakati za chini kwa chini ambazo mpaka sasa hazijafanikiwa.kwahiyo hicho ndio chanzo cha ugomvi kati ya Uturuki na wakurudi ,na Uturuki ilishaapa ya kwamba haitoruhusu kuudwa kwa taifa wakurudi.kwahiyo Uturuki ina hofu ya kwamba iwapo wakurudi wa siria au wa Iraq wataanzisha taifa basi watawapa nguvu wakurudi wa Uturuki na wao kudai faifa lao jambo ambalo linahatarisha utulivu wa Uturuki kuw hiyo ndio maana Uturuki imekuwa tiyari hata kutumia nguvu kubwa za kijeshi dhidi ya wakurudi pale wanapojaribu kufurukuta.huo ndio uwelewa wangu kuhusiana na huu mgogoro kama kuna sehemu nimekosea nikosoeni.
Asante sana yaani nimeelimika vya kutosha kumbe ndivyo mambo yalivyo vipi kuhusiana na masuala ya kiimani na kidini jee hawa wakrudi ni wa imani ipi nimeuliza hivi kwasababu mwanzo nilidhani huu mgogoro una mzozo wa kiimani ndani yake
 
Jamii ya wakurudi ni jamii yenye hisitoria ndefu katika maswala ya imani kwa mujibu wa Qruan nabii Ibrahim baba wa imani alikuwa mkurudi.kuhusu imani yao ya sasa wakurudi wote ni waislam lakini huwa wana penda kujitambulisha kwa kabila lao kuliko dini yao.lakini pia uisilam wao huwa haejemei katika dhehebu lolote yaani suni na shia.kwa sababu wanadai mtume aliacha Qruan pekee ndiyo hiwe muongozo wa waislam nasi madhehebu na niwatu wanao amini katika demokrasia tofauti na jamii nyingi zilozoko mashariki.
 
Uturuki ni taifa na wakurdi ni dhehebu la kidini ndani ya taifa (ndani ya uturuki) mfano washia, wasuni, wakristo na wayahudi ndani ya mataifa ya kiarabu.

Kinachofanyika wakurdi wanataka kuunda taifa lao la kidini kwenye maeneo ambayo kuna waumini wengi wa kikurdi, maeneo hayo yamo ndani ya mipaka ya nchi kama uturuki, Syria, Iran na irak

Hapo ndipo tatizo linapoanzia,

Hao wote ni waarabu ila tatizo udini ndio unawatafuna na kuwafarakanisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe wakurudi ni kabila tu lakini imani yao ni waislam lakini ni watu wanao penda kujitambulisha kwa kabila lao kuliko dini yao lakini pia uisilam wao ni waislam usio egemea upande wowote yani usuni na ushia.
 
Kwa hiyo wakurdi na waarabu lugha zao zinatofautiana "hawasikilizani"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: RTI

Ndiyo kabila lao lina lugha tofauti na kiarabu lakini na kiarabu wana kijua kwa kwasababu ndio lugha ya mataifa mengi mashariki kama ilivyo kwa kiswahili kwa Tanzania kwahiyo wana razimika kukijua kwasababu ndicho kinacho tumika mashuleni na taasisi za uma.lakini kwa wakurudi waishio Iran na Uturuki hawajui kiarabu kabisa bali kama nicha kujifunza kwa sababu lugha ya mataifa hayo si kiarabu .
 
Jamii ya wakurudi ni jamii yenye hisitoria ndefu katika maswala ya imani kwa mujibu wa Qruan nabii Ibrahim baba wa imani alikuwa mkurudi.kuhusu imani yao ya sasa wakurudi wote ni waislam lakini huwa wana penda kujitambulisha kwa kabila lao kuliko dini yao.lakini pia uisilam wao huwa haejemei katika dhehebu lolote yaani suni na shia.kwa sababu wanadai mtume aliacha Qruan pekee ndiyo hiwe muongozo wa waislam nasi madhehebu na niwatu wanao amini katika demokrasia tofauti na jamii nyingi zilozoko mashariki.
Kumbe jamaa wana akili sana

Ooooh asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: RTI
Uturuki ni taifa na wakurdi ni dhehebu la kidini ndani ya taifa (ndani ya uturuki) mfano washia, wasuni, wakristo na wayahudi ndani ya mataifa ya kiarabu.

Kinachofanyika wakurdi wanataka kuunda taifa lao la kidini kwenye maeneo ambayo kuna waumini wengi wa kikurdi, maeneo hayo yamo ndani ya mipaka ya nchi kama uturuki, Syria, Iran na irak

Hapo ndipo tatizo linapoanzia,

Hao wote ni waarabu ila tatizo udini ndio unawatafuna na kuwafarakanisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee shughuli ndo inaanzia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: RTI
Jamii ya wakurudi ni jamii yenye hisitoria ndefu katika maswala ya imani kwa mujibu wa Qruan nabii Ibrahim baba wa imani alikuwa mkurudi.kuhusu imani yao ya sasa wakurudi wote ni waislam lakini huwa wana penda kujitambulisha kwa kabila lao kuliko dini yao.lakini pia uisilam wao huwa haejemei katika dhehebu lolote yaani suni na shia.kwa sababu wanadai mtume aliacha Qruan pekee ndiyo hiwe muongozo wa waislam nasi madhehebu na niwatu wanao amini katika demokrasia tofauti na jamii nyingi zilozoko mashariki.
Asante

Nilisubiri umalizie hili
Umeiva haswaa, yaani post mbili zina maelezo ya Daftari zima. 👏
 
  • Thanks
Reactions: RTI
Plan b ya marekani baada ya kufeli kumtoa asad 2016 ilikwa kuunda taifa la kikurdi kwa kuimega Syria..uturuki akaugundua huo mchezo na ukicheki kichinichin hata serikali ya Syria kimoyomoyo wanaukubali uwepo wa uturuki pale, coz bla uturuki Leo kungekuwa taifa la kikurdi kwa aid ya US.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hii ngoma ya syria ni ngumu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom