International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Serikali ya Syria imesema kuwa Shambulio la vifaru na Ndege za Israel yameua Wanajeshi Watiifu wa Taifa la Kiislam la Iran (Revolution Guards)na kusababisha Majeruhi ya askari kadhaa pia...Siku ya...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Wazungu walipotoka makwao na kutukalia kimabavu waliona ni haki yao kabisa.Angalia kule Africa kusini,hawa watu weupe wa kule siwapendi kabisa,walifanya mengi mabaya,mpaka tunaanza kujitambua na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huyu demu (19) mwaka 2015 alitoroka shule huko UK kwenda kuwagawia "asali" ISIS; wamemtundika mimba na kumtelekeza sasa anaomba kurudi "nyumbani". Hata hivyo, anasema hajutii kitendo chake cha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Uchaguzi Mkuu nchini Nigeria uliokuwa ufanyike leo Jumamosi Februari 16 umeahirishwa kwa wiki moja. Tume huru ya uchaguzi nchini humo imetangaza uahirishwaji huo zikiwa zimesalia saa tano kabla...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
1.Gama Pinto Huyu alikuwa mwanasiasa wa Kenya mwenye asili ya kisia alikuwa mwanasiasa aliyekuwa akimuunga mkono Mzee Jaramogi Odinga. Alipigwa risasi tarehe 25 February 1965 jijini Nairobi hakuna...
7 Reactions
33 Replies
8K Views
Rais Donald Trump wa Marekani anatarajiwa kusaini muswada wa vyama viwili kuhusu bajeti ya usalama wa mpaka ili kuzuia idara za serikali kufungwa kwa mara nyingine tena, lakini pia atatangaza hali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanasayansi kutoka nchini Italia wamegundua chanjo dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI "AIDS" (Acquired Immune Deficiency Syndrome / Upungufu wa Kinga Mwilini). Kinga hio imefanikiwa kupunguza mwilini...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Source:Muhandisi maarufu wa Tanzania ashinda tuzo Marekani George Jonas: Muhandisi maarufu wa Tanzania anayefanya kazi na kampuni ya Boeing ashinda tuzo Marekani 12 Februari 2019 George Jonas...
5 Reactions
33 Replies
5K Views
Uchumi wa China unapungua kasi. Kwa mujibu wa idadi kubwa ya Wachumi, kasi ya uchumi wa China imekuwa ikipungua kwa kasi tangu mgogoro ya kifedha ulimwenguni miaka kumi iliyopita. Wafanyakazi...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Some leading Muslim clerics in the self-declared republic of Somaliland have urged their followers not to celebrate Valentine's Day, saying it is contrary to the teachings of Islam. The clerics...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Magunia hayo yamekamatwa kwenye Jimbo la Kano na inadaiwa kura zake zimepigwa ili kukipa ushindi chama tawala(All Progressive Party-APC) Hata hivyo baada ya uchunguzi Jeshi la Polisi lilieleza...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Marekani yafanya njama za kutorosha dhahabu ya tani 40 kutoka kwa ISIS huko Syria Feb 14, 2019 02:43 UTC Shirika moja la haki za binadamu la nchini Syria limefichua kwamba muungano unaoongozwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya Rais Trump(Tariff man) kuingia madarakani ndio nilijua kua bado marekani itaendelea kua taifa lenye nguvu kwa miaka 50 ijayo. Baada ya bwana Trump kuingia madarakani akaamua kuivaa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Uchaguzi mkuu nchini Nigeria unafanyika kesho(16th.February.2019)huku kukiwa na upinzani mkubwa kati ya wagombea Urais,na la kufurahisha zaidi wapiga kura wengi wamejiandikisha kupiga kura huku...
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Kwa mda mrefu nilikwa nikifuatilia taarifa kuhusu marekani na Taliban katika Afghanistan, licha ya Marekani kuwa Advanced Militarily. Ni miaka zaidi ya 16 hawajawahi kukontrol baadhi ya maeneo...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
[https://1] Mbunge mmoja nchini Slovenia amejiuzulu baada ya kuiba mkate maarufu ''sandwich'' katika duka moja kwa madai kuwa wahudumu wa sehemu hiyo walimpuuzia. Darij Krajcic ameviambia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chuki dhidi ya Waisraeli yaongezeka kwa 74% nchini Ufaransa Feb 13, 2019 02:32 UTC Serikali ya Ufaransa imesema vitendo na matamshi ya chuki dhidi ya Mayahudi wanaoishi katika nchi hiyo ya Ulaya...
1 Reactions
2 Replies
966 Views
Australia is to toughen citizenship laws and tackle those inciting hatred under new measures targeting domestic extremists, PM Tony Abbott has said. He said citizenship for dual nationals...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mzuqa! Frankly speaking am so much confused na niko kwenye Dilemma. Kuna shori tumezoena naye kichizi online kutoka Iran. Nilishaletaga hata uzi humu. Demu kafa kichizi kwangu. Ilianza kama...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
WATU 7 wameripotiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya umati wa watu waliofurika katika mkutano wa kampeni za Rais Muhammadu Buhari anayetetea kiti chake kukanyagana. Kwa mujibu wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…