WanaJf msaada wenu niegeemee wapi kati ya Iran na Israel /Marekani

WanaJf msaada wenu niegeemee wapi kati ya Iran na Israel /Marekani

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Mzuqa!

Frankly speaking am so much confused na niko kwenye Dilemma.

Kuna shori tumezoena naye kichizi online kutoka Iran. Nilishaletaga hata uzi humu. Demu kafa kichizi kwangu.
Ilianza kama mchezo ila inapoelekea sijui. Iran naijua ndani nje kuliko kimsboy. Mimi si Google nasimuliwa live WhatsApp.

Leo alikuwa analia kichizi kwasababu Kuna nduguye ni mmoja wa wanajeshi 40 waliofariki kwenye tukio la kigaidi kwenye basi.

Ndio maana siku hizi International forums nimekuwa mpole ikiletwa thread ya Iran sichangii kwasababu ya Huyu binti na navyompenda na pia nalipenda sana taifa teule Israel na watu wake pamoja na Marekani na Trump.

Sijui niegeemee wapi na upande upi?

Dudes I need your assistance!
 
Tatizo lako @Frankwanjiru,hauna akili nyingi,
nimesema hivyo makusudi maana amesema yuko njia panda kuchagua kati ya dame wa kiirani na Taifa teule,ukishasema taifa teule,umeshaingiza imani,
so swali langu liko justified,maana huyo jamaa inatakiwa akamuulize askofu,au shemasi etc kwa ushauri zaidi,

---maandiko yanasema,"atakaeisifu israel amesifiwa,na atakaeilaani israel nitamlaani"
 
Sina akili tena,kuna sehemu yoyote Mleta mada kamtaja Sheikh au Askofu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha,ukishasema israel taifa teule,tayari hapo unaongelea imani,na ushauri mzuri utaupata kwa askofu,mchungaji au padri
 
Hebu ona jinsi ulivyo mpuuz sasa huyu tunyenye naye ndo unamleta kwa wana

Huyu hata kwa kupigia nyeto simtaki

Sent using Jamii Forums mobile app
binti wa kihutu Masuala ya nyeto na uliberali naona yametawala maisha yako.
mtoto mdogo marinda yametatuliwa vibaya.

manina! kukaa uswahilini ukapenda vya bure haya ndio matokeo yake.
wameshakuvisha hereni na lipstick.
Dah......
 
teh teh teh.
mawazo ya mabwabwa lzm maongezi yao yahusishe vinyesi na tigo tu. yaani mna laana mbaya sana nyie viumbe.
mnawashinda mpk wanyama. manake sijawahi kuona mnyama shoga.

halafu naskia kwenu we ndio zeruzeru kwa weupe
teh teh teh.
Sura mbovu lkn ajabu ati unapaka na poda upendeze.
dah.....
nipe nusu saa nakutumia video iliyochukuliwa kwa siri maustadh wanatatuana marinda nakutumia kama tatu hivi

Pambafff
 
Back
Top Bottom