Hillary Clinton ametangaza kuwa hatowania urais katika uchaguzi ujao wa mwaka 2020.
Akizungumza katika kituo kimoja cha televisheni mjini New York ,Hillary Clinton amesema kuwa ataendelea kuunga...
Kiongozi wa kanisa Katoliki nchini Ufaransa, Kardinali Philippe Barbarin amehukumiwa leo Alhamisi Machi 7 na Mahakama ya Jinai ya Lyon kifungo cha miezi sita jela.
Mahakama imempata na hatia ya...
Mapema leo kwa masaa ya Pyongyang huko Korea kaskazini, serikali ya nchi hiyo imeuweka hadharani Mwili wa Rais zamani wa Korea Kaskazini, Kim Jong-Il ambaye pia ni baba mzazi wa raisi wa sasa Ki...
Wakurugenzi wa Makampuni ya mazishi wasema watamshtaki mchungaji aliyejinasibu kumfufua mtu
Video ya mchungaji Alpha Lukau ikimuonesha akifanya maombi ya kumfufua mtu aliyedaiwa kufariki...
Kwa miaka mingi sana wanasayansi toka sehemu mbalimbali dunia wamekuwa wakifanya tafiti mbalimbali za dawa itakayosaidia kutibu ugonjwa hatari wa UKIMWI ambao umekuwa tishio kwa miaka mingi hasa...
JOHANNESBURG Controversial church leader Shepherd Bushiri has been arrested.
A statement from the church says he and his wife Mary were arrested by the Hawks on fraud and money laundering...
Paul Manafort(69) amefungwa miezi 47 jela sawa na miaka 3 na miezi 11 baada ya kukutwa na hatia ya kukwepa kodi na udanganyifu wa kibenki
Mwaka jana alikutwa na hatia ya kuficha mamilioni ya dola...
Rais Nicolás Maduro amewatupia lawama wapinzani wa Serikali yake na kusema wanaijumu nchi
Katizo la umeme limekuja kipindi ambacho mgogoro wa madaraka umeimarika ambapo Marekani na baadhi ya nchi...
Watu waliokuwa wakisafirisha miili mitatu ya marehemu iliyokuwa kwenye majeneza, wakitokea Afrika Kusini kuelekea Msumbiji wamesusa majeneza hayo mpakani.
Kwa mujibu wa O País, watu hao...
Venezuela imemfukuza nchini mwake balozi wa Ujerumani Daniel Kriener, hatua iliyokoselewa vikali na mataifa yanayomuunga mkono kiongozi wa upinzani Juan Guaido, huku Marekani ikitangaza vikwazo...
Rais wa Ukraine Petro Poroshenko Jumatano alipokea uamuzi wa EU kuzindua mfuko mpya wa vikwazo dhidi ya Urusi juu ya tukio la Kerch Strait.
"Ninashukuru kwa msaada wa mpango wangu na mshikamano...
Idadi ya vifo kufuatia ajali katika machimbo ya migodi kaskazini mwa Indonesia imeongezeka Jumatano na kufikia watu 16 huku matumaini ya kupata manusura yakiendelea kufifia.
Watu 18 wameokolewa...
USA na washirika wake wanahaha baada ya Urusi chini Vladimir Putin kufanya majaribia ya Uvumbuzi wao mpya wa hyposonic misille yenye uwezo wakupiga sehemu yoyote duniani, ina kimbia mara 27 kuliko...
Waliokamatwa na kushikiliwa ni Jenerala Joseph Nzabamwita, Jeenerali Fred Ibingira na Meja Jenerali Emmanuel Ruvusha
Joseph Nzabamwita yeye ni Katibu Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa la...
Kwa kutumia Investigative Journalism, Aljazeera ilifanikiwa kujipenyeza katika makundi mbalimbali ya KULOBBY yanayodhaminiwa na serikali ya Israel kwa ajili ya kupenyeza maslahi yake katika bunge...
Natumahi tu buheri wa afya Wakuu,
Sasa habari ni kuwa hatimaye china yapiga magoti mbele ya marekani baada ya kuzidiwa na Trump tarriffs,hali iliyopelekea hapo nyuma Kama miezi 6 ilopita hali ya...
Hii habari imetokea Indonesia, bwana mmoja alidakwa na mamba kando ya mto alipokwenda kuoga. Ndugu walipoona mwenzao hapatikani wakaenda kwa mganga, akawaambia mwenzenu kakamatwa na mamba. Hukumu...
Kama kichwa kisemavyo hivi baada ya Stallin yule rais jasiri, shupavu mwenye weledi na mwenye maamuzi magumu sana, mwenye kujiamini sana, mwenye hulka na haiba za ujamaa halisi na mzalendo kwa...