Sikia Hii: Mamba arudisha maiti ya mtu aliyemkamata baada ya mganga kuingilia kati

Wickama

JF-Expert Member
Mar 8, 2009
1,466
1,500
Hii habari imetokea Indonesia, bwana mmoja alidakwa na mamba kando ya mto alipokwenda kuoga. Ndugu walipoona mwenzao hapatikani wakaenda kwa mganga, akawaambia mwenzenu kakamatwa na mamba. Hukumu ikawa mamba awarejeshee ndugu yao wazike. Mganga akafanya Black magic, mamba akamrudisha yule maiti. Hapa kwetu ingesomekaje??

Astonishing moment a crocodile RETURNS the body of a man it killed a day earlier after it is 'SUMMONED' by a witch doctor
  • The man was bathing with friends in a river in Indonesia when he was snatched
  • He was dragged to his death by a saltwater crocodile, which can grow up to 5m
  • Desperate relatives called a witch doctor after failing to find him
  • Black magic wizard cast a spell and it's claimed Syarifuddin's body was then returned
1551864003376.png

1551864064392.png
1551864120152.png

Isome kikamilifu hapa:Moment a crocodile returns the body of man in Berau river | Daily Mail Online
 
Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
5,467
2,000
hahahaha!! Britanicca unajua nimejaribu kufikiria uwindaji wa Mamba ulivyo hashi alafu mtu atoke kama katoka Masaji. Daah
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
51,083
2,000
Mbona picha inayomuonyesha Marehemu haina michubuko na mikwaruzo ya Meno ya Mamba.

Siku hizi mamba wamekuwa wapole nao. Duuh
Hujawahi kuona mtu anapigwa zongo tuseme anakula ndizi, na kazitafuna kabisa ila baada ya zongo kumpata na kuvimbiwa, akipewa magadi anazitapika ndizi nzima-nzima utadhani zilimezwa kama zilivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
7,531
2,000
Huyo mamba ana imani kweli kweli, sijui ni wa kutoka dhehebu gani kati ya haya👉Anglikana, Lutheri, Protestanti au katoliki? Nimempenda sana
 
Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
11,849
2,000
Hii habari imetokea Indonesia, bwana mmoja alidakwa na mamba kando ya mto alipokwenda kuoga. Ndugu walipoona mwenzao hapatikani wakaenda kwa mganga, akawaambia mwenzenu kakamatwa na mamba. Hukumu ikawa mamba awarejeshee ndugu yao wazike. Mganga akafanya Black magic, mamba akamrudisha yule maiti. Hapa kwetu ingesomekaje??

Astonishing moment a crocodile RETURNS the body of a man it killed a day earlier after it is 'SUMMONED' by a witch doctor
  • The man was bathing with friends in a river in Indonesia when he was snatched
  • He was dragged to his death by a saltwater crocodile, which can grow up to 5m
  • Desperate relatives called a witch doctor after failing to find him
  • Black magic wizard cast a spell and it's claimed Syarifuddin's body was then returned
View attachment 1039192

View attachment 1039193View attachment 1039194

Isome kikamilifu hapa:Moment a crocodile returns the body of man in Berau river | Daily Mail Online
Hii habari ina umri wa mtu mzima
 
GAS STATE

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,770
2,000
tuko wengi duniani hapa sio sisi tu tunaoamini waganga, mamba kajinusuru na albadir
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,546
2,000
Huyo alimkamatia nini, kama hakuweza kumla au hata kumchubua. Mazingaombwe haya, watu wamebadilishwa akili zao na kuona wanachotamani kuona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom