AFRIKA KUSINI: Makampuni ya mazishi yajipanga kumshtaki mchungaji aliyefufua Mtu

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
_105802744_safakeresurrection.jpg

Wakurugenzi wa Makampuni ya mazishi wasema watamshtaki mchungaji aliyejinasibu kumfufua mtu

Video ya mchungaji Alpha Lukau ikimuonesha akifanya maombi ya kumfufua mtu aliyedaiwa kufariki imesambaa na kuzua mjadala kwenye mitandao ya kijamii

Viongozi wa Makampuni hayo wamsema walilaghaiwa na mchungaji huyo hadi na wao wakashiriki tukio hilo

Wasema wamedhalilishwa kwa kuhusishwa katika mchezo huo

=====

A group of funeral directors in South Africa say they will sue a self-styled prophet who claims to have resurrected a dead man.

A viral video of Pastor Alph Lukau shows him shouting "rise up" to a man laying down in a coffin who then jerks upright to cheers from worshippers.

The funeral companies say they were manipulated into being involved.

The spectacle, seen outside Pastor Lukau's church in Johannesburg, has been ridiculed and condemned by many.

"There are no such things as miracles," the Commission for the Promotion and Protection of Cultural, Religious and Linguistic Communities (CRL Rights Commission) told South Africa's national broadcaster .

South Africa's 'Doom Pastor' found guilty of assault
"They are made up to try to get money from the hopelessness of our people."

'Tricked' three companies

Three funeral companies who say they were manipulated by the "scheme" are now taking legal action for damage to their reputation.

Kingdom Blue, Kings & Queens Funeral Services and Black Phoenix told local media that church representatives tricked them in different ways.

"Alleged family members of the deceased" told the Kings & Queens Funeral Services they had had a "dispute with a different funeral service provider".

The customers also allegedly placed "Black Phoenix stickers on their private car" to look credible to Kings & Queens Funeral Services when they went to hire a hearse from them.

-BBC
 
Mchungaji Alph Lukau kutoka nchini Afrika ya kusini amezuwa gumzo na Taharuki sio nchini kwake tu Bali Afrika kwa ujumla

Mchungaji huyo mnapo February 22 alifanya ibada ya kumuombea kijana mmoja aliyedaiwa kuwa alikuwa amefariki lakini kitu cha ajabu mchungaji huyo alidai kumfufua kijana huyo aliyefariki dunia punde baada ya maombi aliyimfanyia

Imeelezwa kuwa mtu huyo aliyedaiwa kuwa amefariki alikuwa akipumua katika jeneza ambalo alikuwa amehifadhiwa

Wanachi wa Afrika ya kusini wameitaka Serikali yao kuwazuia Wachungaji ambao wanawahadaa wananchi kwa kigezo cha Miujiza

Source

Попередження про переадресування

FB_IMG_1551124860294.jpg
FB_IMG_1551124872152.jpg
FB_IMG_1551124884367.jpg
FB_IMG_1551124896739.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakurugenzi wa Makampuni ya mazishi wasema watamshtaki mchungaji aliyejinasibu kumfufua mtu

Video ya mchungaji Alpha Lukau ikimuonesha akifanya maombi ya kumfufua mtu aliyedaiwa kufariki imesambaa na kuzua mjadala kwenye mitandao ya kijamii

Viongozi wa Makampuni hayo wamsema walilaghaiwa na mchungaji huyo hadi na wao wakashiriki tukio hilo

Wasema wamedhalilishwa kwa kuhusishwa katika mchezo huo

=====

A group of funeral directors in South Africa say they will sue a self-styled prophet who claims to have resurrected a dead man.

A viral video of Pastor Alph Lukau shows him shouting "rise up" to a man laying down in a coffin who then jerks upright to cheers from worshippers.

The funeral companies say they were manipulated into being involved.

The spectacle, seen outside Pastor Lukau's church in Johannesburg, has been ridiculed and condemned by many.

"There are no such things as miracles," the Commission for the Promotion and Protection of Cultural, Religious and Linguistic Communities (CRL Rights Commission) told South Africa's national broadcaster .

South Africa's 'Doom Pastor' found guilty of assault
"They are made up to try to get money from the hopelessness of our people."

'Tricked' three companies

Three funeral companies who say they were manipulated by the "scheme" are now taking legal action for damage to their reputation.

Kingdom Blue, Kings & Queens Funeral Services and Black Phoenix told local media that church representatives tricked them in different ways.

"Alleged family members of the deceased" told the Kings & Queens Funeral Services they had had a "dispute with a different funeral service provider".

The customers also allegedly placed "Black Phoenix stickers on their private car" to look credible to Kings & Queens Funeral Services when they went to hire a hearse from them.

-BBC

Halafu kila Mkristo akipita hapa atadai hana uhusiano na huyu mtu,ni nabii wa uongo!

What stupid Christians do not know,this is a result of hundreds of years of lethal dogma and pile of lies propagated by all of them as a group of people on this planet!
 
Back
Top Bottom