Nedago
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 908
- 1,350
Natumahi tu buheri wa afya Wakuu,
Sasa habari ni kuwa hatimaye china yapiga magoti mbele ya marekani baada ya kuzidiwa na Trump tarriffs,hali iliyopelekea hapo nyuma Kama miezi 6 ilopita hali ya masoko na biashara kuyumba uko china na Asia kila kwenye mizizi ya china.
Mwanzo china walijitia wamekua na kutaka kupimana nguvu na USA kwa kulipizia tarriffs,lakini wakaona inakula kwao si USA,then wakaomba poo ya siku 90,hadi tarehe 1march 2019,ambapo trump alisema ndio mwisho wa poo yao.
Jana china kakubali kutekeleza matakwa ya USA katika masuala ya biashara na uwekezaji wa makampuni ya kigeni nchini china hasa ya kutoka USA,moja Kati ya vitu walivokubali china kuviondoa ni pamoja na,
.Kulazimisha technology transfer to China
.kulazimisha partnership na local firms.
.kulazimisha bodi za foreign firms kuwa na wachina,
.kupendelea kampuni za kichina katika masoko,tenda na huduma zingine.
.kuchelewesha process za usajiri wa foreign firms.
.kulazimisha kampuni za kigeni kuisaidia idara ya usalama wa nchi ya china.
.Nk maana ni mengi Sana
Sasa Baada ya Jana kukubali deal,leo serikali ya china imepeleka haraka Sana mswaada bungeni hili week ijayo ujadiriwe na kupitishwa hili deal likamilike maisha yaendelee maana ndio walikuwa hawana options nyingine.
Na baada ya taarifa hizo masoko ya hisa na biashara zimechangamka uko china na Asia kiujumla,maana china imesema itahakikisha mswaada unapita haraka mapema wiki ijayo bunge likianza na hili litakuwa la kwanza kujadiriwa kwa dharula.
Hadi hapo ni ushindi kwa marekani na Trump,na imeonyesha dunia ni jinsi gani ni vigumu kukwepa mkono wa marekani katika uchumi wa dunia,china kanywea.
Nchi mbalimbali zilizowekewa tarriffs na Trump karibuni,nazo zinaende kusign deal mpyampya na USA ikiwepo Canada na Mexico.
Source BBC news.Mwananchi Tz etc.
The Future is in Our Brain's Tongue's and Hand's.