International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amewasili katika mji wa bandari wa Vladivostok nchini Urusi kwa mkutano wake wa kwanza kabisa na Rais Vladimir Putin. Kremlin imesema kuwa viongozi hao...
4 Reactions
23 Replies
5K Views
Seif al Islam, mtoto wa Muammar al-Gaddafi athibitisha kuwa baba yake alifadhili kampeni za uchaguzi za rais wa Ufaransa Nicolas Sarkozy mwaka 2007. Seif amesema kuwa anao ushahidi wa kutosha...
10 Reactions
22 Replies
5K Views
April 23, 2019 Dar-es-Salaam, Tanzania. Nigerian Pastor arrested for drug offensive in Tanzania Two Nigerian nationals Henry Ugwuanyi (44), Pastor Onyebuchi Ogbu (34) together with Latvian...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
IRGC: Ikibidi, Iran itafunga lango bahari la Hormuz Apr 23, 2019 14:10 UTC Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limesema lango bahari la Hormuz ni njia ya kimataifa ya majini...
6 Reactions
76 Replies
6K Views
Spika wa kwanza mwanamke kuliongoza Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Apr 25, 2019 13:51 UTC Wabunge wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamemchagua Bi Jeanine Mabunda kuwa Spika mpya wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Na.Dr.Omar Ali. Nataka niandike kwa upana kuhusu mauaji ya sri lanka na kutuhumiwa waislamu ila muda hauruhusu ila kiufupi tu niseme kuwa: -Waliofanya vitendo hivyo wawe ni waislam au wawe dini...
20 Reactions
47 Replies
4K Views
Habari wakuu? Kama kuna yeyote anayefahamu gharama za DHL au UPS za kutuma documents kwa gramu. Kuna bahasha ina birth certificates inatakiwa kwenda Germany.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nafasi ya Saudia na Imarati kabla na baada ya kupinduliwa serikali ya al-Bashiri nchini Sudan Apr 24, 2019 03:39 UTC Baada ya maandamano ya miezi sita, hatimaye utawala wa miaka 30 wa Rais Omar...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuelekea uchaguzi wa Urais Marekani 2020, watangaza nia wameshaanza kujitokeza mmoja aliyechambuliwa ni huyu Andrew Yang kutokea Democratic. Jamaa ni mjasiriamali na mwanzilishi wa Venture for...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Pentagon Ends 59-Year Contract With Top-Secret Group of Advisors - Report https://sputniknews.com/military/201904261074471222-the-jasons-pentagon-contract-cut/
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte ameifokea nchi ya Canada kwa kushindwa kuchukua hatua juu ya takataka ilizosafirisha hadi katika nchi yake iliyopo kusini mashariki mwa Asia miaka kadhaa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya iran nao kuwatambua wanajeshi wa marekani waliopo mashariki ya kati kama magaidi inaripotiwa mwanajeshi mmoja ameuawa kwa kile kilichoandikwa kama "Gaidi mmoja Mmarekani auawa kaskazini...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Waziri Mkuu wa Malaysia Dr. Mahathir Mohamed amesema serikali yake inafikiria hatma ya shirika lake la ndege la Malaysia Airlines ambalo limekuwa likijiendesha kwa hasara. Dr. Mahathir amesema...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MGOMBEA MWENZA WA CHAMA CHA UPINZANI NCHINI ZAMBIA AMEUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS KUOGOPA KUFILISIWA MALI ZAKE. ___________________________________ Makamu wa Rais wa chama kikuu cha upinzani nchini...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Mahakama imemfutia kifungo Moise Katumbi na kumpatia ruhusa ya kurejea nchini humo kwa amani, Katumbi yuko uhamishoni nchini Ubelgiji Wakati wa utawala wa Rais Joseph Kabila, Mahakama ilimhukumu...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Iran: US has failed to stop oil exports Rouhan, anasema wataendelea kusafirisha mafuta kama kawaida mana Us hawata wazuia kwa kuwa kuna nchi nyingitu haziungi mkono maamuzi ya vikwazo ispokuwa...
6 Reactions
91 Replies
7K Views
Russia inasema Wamerikani walifundishwa hesabu...watumie ujuzi huo kujua range na speed ya silaha zinazomilikiwa na Russia kabla ya kuamua kufanya wanachofikiria. Fuatilia kwa undani maelezo haya...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Rais wa zamani wa nchi hiyo, Alan Garcia(69) amefariki baada ya kujipiga risasi kichwani leo Aprili 17, 2019 wakati Polisi walipofika nyumbani kwake katika Mji Mkuu wa Peru, Lima kumkamata kwa...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Kundi la Daesh (ISIS) latangaza kuhusika na mashambulizi ya Sri Lanka kwa ufadhili wa Israel Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) limetangaza kuwa ndilo lililohusika na miripuko ya...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Viongozi kutoka nchi kadhaa za Afrika waliokutana Jumanne wiki hii nchini Misri wametoa muda wa miezi mitatu kwa jeshi la Sudani kukabidhi madaraka kwa raia. Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sissi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…