Malaysia Kutathimini Hali ya Shirika lao la Ndege.

Malaysia Kutathimini Hali ya Shirika lao la Ndege.

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,950
Reaction score
46,344
Waziri Mkuu wa Malaysia Dr. Mahathir Mohamed amesema serikali yake inafikiria hatma ya shirika lake la ndege la Malaysia Airlines ambalo limekuwa likijiendesha kwa hasara.

Dr. Mahathir amesema serikali inaangalia uwezekano wa kulifunga, kuliuza au kama iongeze mtaji wa shirika hilo ili liweze kujiendesha kwa faida.




4181beef609f454a8d7f1cfa262cd92a_18.jpg

Ndege za Shirika la Malaysia Airlines zikiwa zimepaki kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa waKuala Lumpur

Habari zaidi isome hapa

Mahathir says government considering future of Malaysia Airlines
 
... Malaysia si miongoni mwa "tigers of the east" ambao tulikuwa sawa wakati tunapata uhuru? Imekuwaje tena?
 
Sekeseke la ajali.na kupotea kwa nddge yake kumechangia kidogo
 
Back
Top Bottom