International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ripoti: Chuki dhidi ya Waisraeli yaongezeka maradufu nchini Marekani Mei 03, 2019 13:34 UTC Ripoti mpya inaonesha kuwa mashambulizi na matamshi ya chuki dhidi ya Mayahudi wanaoishi nchini Marekani...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
MOGADISHU,SOMALIA MSEMAJI wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa , Stephane Dujarric ametangaza kuwa, watu milioni 1.7 nchini Somalia wanatarajiwa kukabiliwa na mgogoro na hatari ya dharura ya...
0 Reactions
3 Replies
673 Views
Mafuta yapanda bei baada ya vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran Apr 25, 2019 14:10 UTC Bei ya mafuta katika soko la dunia imeongezeka na kufikia kiwango cha juu kabisa katika kipindi cha...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuwait yataka Israel itimuliwe katika Jumuiya ya Mabunge Mei 04, 2019 15:01 UTC Spika wa Bunge la Kuwait amesisitiza juu ya kuendelezwa juhudi za kutimuliwa utawala haramu wa Israel kutoka katika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Marekani imepeleka meli yake ya kivita maarufu kama USS Abraham Linkon huko mashariki ya kati ikiwa kama kitisho kwa nchi ya Iran inayojaribu kutishia washirika wa Marekani, ata hivyo Mshauri wa...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Mabinti wanaofanana wa familia tofauti wanavyotikisa Kenya By Elizabeth Edward, Mwanachi...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Donald Trump’s administration has warned Russia to stop meddling in Venezuela and talked up the chance of US military action as a second day of clashes between protesters and security forces...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakati hapa kwetu wale wanaopingana na serikali kwenye mambo mbali mbali huitwa ni vibaraka wa Mabeberu, nchini marekani kuna vikundi vingi sana vinavyopingana na serikali yao kuhusu kuingilia...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Emergency teams across north east India and in Bangladesh are working to repair water and energy supplies after Cyclone Fani. Buildings, communities and roads were destroyed by the storm. Some...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika Mheshimiwa Stephen Masele amekutana na Wabunge wapya wa Bunge la Afrika wataoapishwa siku ya Jumatatu Mei 6,2019 wakati wa Mkutano wa Pili wa Bunge la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
2 Chinese men Kill Namibian Employee over Unpaid Wages Over the easter weekend, 2 Chinese men shot their employee dead after a dispute over unpaid wages. Allegedly the 31 year old Namibian called...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waendesha Mashitaka wa Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefuta uchunguzi wa shitaka la jinai dhidi ya Moise Katumbi, mwanasiasa wa upinzani ambaye kwa sasa yuko uhamishoni. Moise...
1 Reactions
2 Replies
871 Views
Kusimamishwa uuzaji wa mafuta ya Iran, ni ukweli au ndoto? Mei 02, 2019 12:00 UTC Waziri wa Mafuta wa Iran amesema, hata kama kukatwa kabisa na kufikishwa katika kiwango cha sufuri uuzaji nje wa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
OFISA wa ngazi ya juu wa Baraza la Kieshi nchini Sudan, Luteni Jenerali Salah Abdelkhalek, amesema jeshi hilo halitaruhusu raia kuchukua nafasi za juu za uongozi katika Baraza la Uongozi nchini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanzanians urgently need UN and International community to intervin what is happening in Tanzania ! Another activist has been abducted in southern part of Tanzania the man famously known as MDUDE...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Anaandika Paul Ilomo, Picha hii ni bwana Ibrahim Cham-Sadine alikuwa Waziri Wa ulinzi katika Serikali ya Sudan alitekwa na kuwekwa kizuizini na rais aliyeondolewa juzi Omar Badhir June 11, 2008...
3 Reactions
173 Replies
23K Views
Kwa ufupi Mwanamke huyo alitoweka tangu mwaka 2000 lakini fanilia yake ilitoa taarifa polisi mwaka 2005, ikidai kuwa aliwaaga kuwa anakwenda kufanya kazi kwenye meli. Taharuki imetanda katika...
2 Reactions
18 Replies
8K Views
Vurugu kubwa tunayoiona Venezuela leo ni vita ya Kiuchumi tu.Serikali ya Rais Maduro ni ya kijamaa na ndio wananchi wengi wanaiunga mkono kwa maana wamedhibiti uchumi wa Nchi kutoka kwa mabepari...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Imeripotiwa kuwa Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza alimpongeza na kumzawadia kiasi cha fedha binti yake wa miaka 12 Naomie Nkurunziza wakati wa sherehe za Mei Mosi. Kituo cha habari cha taifa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Walibya waandamana mjini Tripoli kulaani hatua za Ufaransa dhidi ya nchi yao Apr 27, 2019 12:58 UTC Raia wa Libya wamefanya maandamano katika medani kuu ya mji wa Tripoli wakiwa wamevalia vizibao...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…