Yanayotokea Venezuela,Pro. Kitila Mkumbo aliwahi kutuambia haya

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
Vurugu kubwa tunayoiona Venezuela leo ni vita ya Kiuchumi tu.Serikali ya Rais Maduro ni ya kijamaa na ndio wananchi wengi wanaiunga mkono kwa maana wamedhibiti uchumi wa Nchi kutoka kwa mabepari America ambao siku za nyuma ndo walikuwa wanaiba mafuta Venezuela

Siku za nyuma niliwai msikia Kaka angu Prof Kitila Mkumbo akisema kwamba vita ya Uchumi ndio vita mbaya kuliko ya kudai Uhuru

Hata leo Rais Magufuli anapambana na vita ya Uchumi ili uelekee kwa wananchi na sio mabepari. zamani tulikuwa tunaibiwa rasilimali zote huku Viongozi wetu tuliowapa dhamana wakijifanya hamnazo.

Kinachotokea leo Venezuela ni somo murua kwa Nchi za Africa kushikamana ili Rasilimali zetu ziwanufaishe Wananchi wetu

Alex Fredrick
Dar es salaam
 
Uwezo wako wa kufikiria upo chini sana uvuruge nchi yako mwenyewe usingizie mabeberu hivi Venezuela ndio wana mafuta peke yao?

Mbona katari, Saudi Arabia na kuwait wana mafuta lakini hakuna vita .
 
Mwambie Magu azidishe vita yake ya uchumi ili angalau tufikie Venezuela ilipofikia kwa sasa
 
Kwa mantiki gani unasema maduro anakubalika na wananchi wengi?
Au kwa kuwa mwaka jana alipita kwa uchaguzi wa 90%.
Unafananisha matukio ya venezuela na Tanzania huo ni ujinga
 
Uwezo wako wa kufikiria upo chini sana uvuruge nchi yako mwenyewe usingizie mabeberu hivi Venezuela ndio wana mafuta peke yao?

Mbona katari, Saudi Arabia na kuwait wana mafuta lakini hakuna vita .
Huna hitaji elimu ndogo sana na ina bid nikupe kwa sisi watu weusi tume kalilishwa kuwa demokrasia Mzur n ile ya Magharibi na kaskazini kutokana na mitahala tunayo soma ndipo pale unapo kuta urusi anapigania kuwa migogoro ya ndani waachiwe wenyewe watatue migogoro yao lkn pale tu serikal itakapo vunja sheria za kimataifa ndipo umoja wa mataifa upitishe Azimio kwa sauti moja cio nchi moja ichukue mamlaka ya kuiyazibu nyingine kwa vile tu inaweza kufanya hivyo Na mgogoro wa venezuela n mgogoro wa kimasalahi kwa mataifa matatu Marekani china na urusi na huu mgogoro ulianza baada ya chavez kuingia madarakani kupitia chama cha kisosholist alibinafsisha makampun yote kuwa chin ya serikali hususan ges na mafuta mataifa yaliyo wekeza yakarud kwao walipanga mipango ming ya kumuua au kumpindua lkn ilishindikana kutokana watu wake walikuwa wana mpenda wakat huo maduro n makam wake baada ya kifo chake c Ndio akawa ameingia huyu bn walijua labda jamaa anaweza Akalegeza kumbe na yy anafuata nyayo za chavez swala la saudia au qatar wote wko chin ya Amerika
 
Uwezo wako wa kufikiria upo chini sana uvuruge nchi yako mwenyewe usingizie mabeberu hivi Venezuela ndio wana mafuta peke yao?

Mbona katari, Saudi Arabia na kuwait wana mafuta lakini hakuna vita .
Usiwe mwepesi wa matusi kwani unaweza kuwa unaji-expose mambo mengine. Amesema jambo zito sana hilo. Halikuanza leo, toka enzi za Hugo Chavez. What they have been doing is squeezing Venezuela for quite a while, mpaka kufikia hapa vikwazo vimefanya kazi. Ukiangalia taabu za leo tu, utadhani huyo Maduro ni chizi au vipi! Lakini yameanzia mbali. Weka akiba ya ujinga jiulize maswali usijiaminishe kwamba ndiyo umeshajua.
 
JPM anatumia neno vita ya kiuchumi kuwahadaa wadanganyika.

Ila tukisema ukweli, kama nchi kubwa zimeanguka kws kushindwa vita vya kiuchumi, Tanzania ni nani?

Mmenyimwa misaada mnapumulia mashine, mkipigwa marufuku kuexport si ndo mnakufa kesho yake?
 
Vurugu kubwa tunayoiona Venezuela leo ni vita ya Kiuchumi tu.Serikali ya Rais Maduro ni ya kijamaa na ndio wananchi wengi wanaiunga mkono kwa maana wamedhibiti uchumi wa Nchi kutoka kwa mabepari America ambao siku za nyuma ndo walikuwa wanaiba mafuta Venezuela

Siku za nyuma niliwai msikia Kaka angu Prof Kitila Mkumbo akisema kwamba vita ya Uchumi ndio vita mbaya kuliko ya kudai Uhuru

Hata leo Rais Magufuli anapambana na vita ya Uchumi ili uelekee kwa wananchi na sio mabepari. zamani tulikuwa tunaibiwa rasilimali zote huku Viongozi wetu tuliowapa dhamana wakijifanya hamnazo.

Kinachotokea leo Venezuela ni somo murua kwa Nchi za Africa kushikamana ili Rasilimali zetu ziwanufaishe Wananchi wetu

Alex Fredrick
Dar es salaam
tuko kwenye vita ya kiuchumi kweli?!?hizi kodi,operesheni nyinginying ambazo zinafilisi watu,kubadilikabadilika kwa kanuni na taratibu mpaka watu wanafunga biashara zao utaita ni vita ya kiuchumi?!?. bado hatujafika huko tunajipeleka wenyewe yaani tunajiteka tunasema tumetekwa. angalia issue ya korosho, ni beberu aliingia hapo?!? akasema kakagueni mashamba ndio mlipe? mambo mengine tunajitakia tunakosa mipango mizuri au hatutaki kusikiliza wataalam
 
Umesahau kuweka namba ya simu
Vurugu kubwa tunayoiona Venezuela leo ni vita ya Kiuchumi tu.Serikali ya Rais Maduro ni ya kijamaa na ndio wananchi wengi wanaiunga mkono kwa maana wamedhibiti uchumi wa Nchi kutoka kwa mabepari America ambao siku za nyuma ndo walikuwa wanaiba mafuta Venezuela

Siku za nyuma niliwai msikia Kaka angu Prof Kitila Mkumbo akisema kwamba vita ya Uchumi ndio vita mbaya kuliko ya kudai Uhuru

Hata leo Rais Magufuli anapambana na vita ya Uchumi ili uelekee kwa wananchi na sio mabepari. zamani tulikuwa tunaibiwa rasilimali zote huku Viongozi wetu tuliowapa dhamana wakijifanya hamnazo.

Kinachotokea leo Venezuela ni somo murua kwa Nchi za Africa kushikamana ili Rasilimali zetu ziwanufaishe Wananchi wetu

Alex Fredrick
Dar es salaam
 
Vurugu kubwa tunayoiona Venezuela leo ni vita ya Kiuchumi tu.Serikali ya Rais Maduro ni ya kijamaa na ndio wananchi wengi wanaiunga mkono kwa maana wamedhibiti uchumi wa Nchi kutoka kwa mabepari America ambao siku za nyuma ndo walikuwa wanaiba mafuta Venezuela

Siku za nyuma niliwai msikia Kaka angu Prof Kitila Mkumbo akisema kwamba vita ya Uchumi ndio vita mbaya kuliko ya kudai Uhuru

Hata leo Rais Magufuli anapambana na vita ya Uchumi ili uelekee kwa wananchi na sio mabepari. zamani tulikuwa tunaibiwa rasilimali zote huku Viongozi wetu tuliowapa dhamana wakijifanya hamnazo.

Kinachotokea leo Venezuela ni somo murua kwa Nchi za Africa kushikamana ili Rasilimali zetu ziwanufaishe Wananchi wetu

Alex Fredrick
Dar es salaam
Umesahau namba zako mkubwa
 
Tatizo linakuja mpaka wananchi waje kuelewa hilo ni siku hizo rasilimali zimeisha ndo unaelewa nn ulikuwa unaambiwa
 
Vurugu kubwa tunayoiona Venezuela leo ni vita ya Kiuchumi tu.Serikali ya Rais Maduro ni ya kijamaa na ndio wananchi wengi wanaiunga mkono kwa maana wamedhibiti uchumi wa Nchi kutoka kwa mabepari America ambao siku za nyuma ndo walikuwa wanaiba mafuta Venezuela

Siku za nyuma niliwai msikia Kaka angu Prof Kitila Mkumbo akisema kwamba vita ya Uchumi ndio vita mbaya kuliko ya kudai Uhuru

Hata leo Rais Magufuli anapambana na vita ya Uchumi ili uelekee kwa wananchi na sio mabepari. zamani tulikuwa tunaibiwa rasilimali zote huku Viongozi wetu tuliowapa dhamana wakijifanya hamnazo.

Kinachotokea leo Venezuela ni somo murua kwa Nchi za Africa kushikamana ili Rasilimali zetu ziwanufaishe Wananchi wetu

Alex Fredrick
Dar es salaam
Huduma za hospitari,elimu,chakula zote zimezolota,hakuna cha ujamaa hapo,nchi IPO vibaya,kama theruthi ya watu wanakukataa,hapo ujue kuna shida kubwa,Huyo maduro nchi imemshinda,bora Chavez,alikuwa na Sera nzuri.
Mwananchi wa kawaida hajari mfumo gani unatumika katika siasa ya nchi yake,yeye anataka kuona,,elimu bora kwa watoto wake inapatikana,ajira zipo tele,Huduma ya hifadhi ya jamii,akisha stahafu,
Ulinzi na usalama wa kutosha wa maisha na Mali,
Huduma bora za afya,
Chakula cha kutosha,
Miundombinu ya usafiri,tekinolojia,inayorahisisha maisha ya kila siku.
Uwezo wa kujenga nyumba bora za kuishi.
Hayo ndio ya msingi hizi porojo kwamba marekani ndio anaivuruga Venezuela,ni za kitoto.kwanini mruhusu USA,awavuruge?nchi Maduro ameiharibu mwenyewe kwa uongozi mbovu.
Kwani huyo USA,hazioni nchi nyingine kama India,SA,Malaysia,Philippines,
Aache kuleta visingizio,
 
Vurugu kubwa tunayoiona Venezuela leo ni vita ya Kiuchumi tu.Serikali ya Rais Maduro ni ya kijamaa na ndio wananchi wengi wanaiunga mkono kwa maana wamedhibiti uchumi wa Nchi kutoka kwa mabepari America ambao siku za nyuma ndo walikuwa wanaiba mafuta Venezuela

Siku za nyuma niliwai msikia Kaka angu Prof Kitila Mkumbo akisema kwamba vita ya Uchumi ndio vita mbaya kuliko ya kudai Uhuru

Hata leo Rais Magufuli anapambana na vita ya Uchumi ili uelekee kwa wananchi na sio mabepari. zamani tulikuwa tunaibiwa rasilimali zote huku Viongozi wetu tuliowapa dhamana wakijifanya hamnazo.

Kinachotokea leo Venezuela ni somo murua kwa Nchi za Africa kushikamana ili Rasilimali zetu ziwanufaishe Wananchi wetu

Alex Fredrick
Dar es salaam
Hakuna cha vita ya uchumi hapo,ni ufisadi wa watawala waliopo madarakani,ndio wameifikisha nchi hapo.
Ufisadi,uliopo kama hapa TZ,escrow,epa,meremeta,matumizi mabaya ya fedha ya umma(angaria ukubwa wa misafara ya raisi na viongozi wengine)tusiwasingizie wazungu kwa madudu yetu wenyewe.wao hawakututuma tuigawe nchi kila tukijisikia,hivi states za marekani huwa zinaongezeka idadi ya watu ikiongezeka?
Sasa kama USA yenye uchumi Mara 1000,ya wakwetu,haiongezi mikoa(states)sisi inakuwaje tumeongeza mikoa wilaya kibao.
Zamani Dar ilikuwa na wilaya,tatu Kinondoni,Ilala,temeke,sasa hivi imeongezeka "kibamba" na ubungo haya ni matumizi mabaya ya pesa ya umma.Vita ya kiuchumi inaingiaje hapo?Wabunge tunao 365+,kwanini wasiwe wabunge 100 tu,hakuna tija kuwa na wabunge kibao,tunahitaji mahospitari na wahandisi wengi,hapo vita ya kiuchumi inaingiaje?
 
Hatulinganishi Mmarekani na Tanzania mazingira ni tofauti sana.Linganisha labda na Kenya,Uganda,Mozambique.ila la Wabunge kuwa wengi mno nakuunga mkono.
 
Uwezo wako wa kufikiria upo chini sana uvuruge nchi yako mwenyewe usingizie mabeberu hivi Venezuela ndio wana mafuta peke yao?

Mbona katari, Saudi Arabia na kuwait wana mafuta lakini hakuna vita .

Aisee...uelewa wetu wa issues unatia shaka kwa kweli...unadhani wanaochimba hayo mafuta huko Saudi Arabia na Kuwait ni akina nani?? Unafikiri ni makampuni ya wapi?? Unafikiri wanaomiliki hayo mafuta huko Irak, kwa sasa, ni akina nani? Unafikiri huko Libya hivi sasa ni akina nani wanachimba hayo mafuta?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom