Mkurugenzi wa CIA amuonya Trump

Mkurugenzi wa CIA amuonya Trump

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
1,716
Mkurugenzi wa shirika la kijasusi nchini Marekani CIA amemuonya rais mteule wa Marekani Donald Trump kwamba kusitisha makubaliano ya mpango wa nyuklia na Iran itakuwa ''hatari na upuuzi''.

Katika mahojiano na BBC ,John Brennan pia alimshauri rais huyo mpya kuwa na tahadhari kuhusu ahadi mpya za Urusi akiilaumu Moscow kwa mateso yanayoendelea nchini Syria.

Katika kampeni yake , Trump alitishia kufutilia mbali mpango wa mnyuklia nchini Iran mbali na kuashiria kufanya kazi kwa karibu na Urusi.

_92723628_8be6473e-63b8-49b2-9973-c3e724121276.jpg

Trump alaumu wanahabari kwa utata.

Brenan atajiuzulu mnamo mwezi Januari baada ya kuhudumia shirika hilo kwa kipindi cha miaka minne.

Katika mahojiano ya kwanza na vyombo vya habari vya Uingereza, Brennan alitaja maswala kadhaa ambapo alisema kuwa utawala mpya unafaa kuzingatia kwa busara na heshima, ikiwemo lugha inayotumiwa kuhusu ugaidi, uhusiano na Urusi, mpango wa kinyuklia wa Iran na vile siri za shirika hilo hutekelezwa.

Chanzo: BBC
 
Aisee kumbe jamaa washaanza kutumia rimoti yao kwa Trump?

Nakumbuka Obama wakati anaingia madarakani alikuja na sera ya kufunga gereza la Guantanamo lakini CIA wakatumia rimoti yao matokeo yake Obama anaondoka baada ya kumaliza muda wake huku Guantanamo ikizidi kunawiri kwa mateso.

Na jamaa wako makini sana, Rais ukibisha wanakumaliza mfano mzuri ni Madhira aliyofanyiwa JFK na kizazi chake chote.
 
Ushauri huo Tramp hawezi kufuata tayari kamteua mkurugezi wake wa CIA

Mkuu juzi nilicheka sana, CIA wanalalamika kwamba Trump asomi briefing ya kijasusi wanayo mpelekea!!

Trump awezi ku entertain ulaghai wa Mkurugenzi wa sasa wa CIA na kundi lake, Trump anajua asilimia kubwa ya taarifa hizo niza kuchonga tu zenye lengo la kuchochez regime changed kwa baafhi ya Nchi na kibaya wao na Obama wako determined ku draw a wedge kati ya Trump na Putin hilo ndio lengo lao kuu, bahati nzuri Trump hilo amekwisha ligundua ndiyo maana hataki hata kusoma taarifa anazo pewa ba CIA.

Come January Trump atakuja na safu mpya ya Mkurugenzi wa CIA na wasaidizi wake, Admin. ya OBAMA ilikuwa vurugu tupu, kuondoka kwake madarakani Dunia tunapaswa kumshukuru Mungu kwa hilo.
 
CIA ni CIA tu hamna CIA ya trump wala ya obama
 
Mkuu Nadhani ujaji wa Serikali ya Trumf Duniani tunapaswa kumuomba Mungu Kwa mabalaa yatakayo tokea
 
Senate ni ya Wapi kwani sa hivi?? Si upande wa Trump
Senate intelligence committee

10 democrats,24 Republicans.

Kumbuka hao hao senators wa republican wapo waliompiga Trump ktk suala nyeti kama hii kama Trump akimchagua huyo jamaa na ikionekana hafai hao hao senators wake watamkataa..hao siyo ccm kila kitu ndio
 
Py thon SIC(senate intelligence committee) wako 15.Wa nane(8) walio wengi Na saba (7) walio wachache.kwa hiyo 8Revise(Republicans)
7Drive(Democratics)
Nakubaliana Na hoja
 
Siasa za kibongo mnazipeleka US kule ukweli ni ukweli tu kama kuna jambo la maslahi kwa taifa linajadiliwa na kutolewa maamuzi bila kujali wingi wa wajumbe. Trump ni mfanyabiashara wakimwacha bila uangalizi ana haribu nchi lazima ataongozwa na watu weledi siyo kichama chama.
 
Mkuu Trumf haweki sharia Ila anao wachagua ndio wanao washawishi waweka sheria.
Kama JK alikuwa powa kabisa Ila Walio muwakilisha ndio walio tubaka WaTanzania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MZEE hapo kwenye kubakwa mhhhh
 
Siasa za kibongo mnazipeleka US kule ukweli ni ukweli tu kama kuna jambo la maslahi kwa taifa linajadiliwa na kutolewa maamuzi bila kujali wingi wa wajumbe. Trump ni mfanyabiashara wakimwacha bila uangalizi ana haribu nchi lazima ataongozwa na watu weledi siyo kichama chama.

Jojojo sijui kama unafatilia siasa ya USA kule kunauchama kuliko huku bongo.Mfano mzuri Raisi Obama alihujumiwa na marepublican Na Wanasema wanafanya kila kitu kuweka awamu zake ngumu.Kama si uchama NI nini?
Marepublican walitaka kumteua mtu wao mademocrat wakagoma kama si uchama NI nini?.
Nenda YouTube andika cspan congressional hearing
Halafu tizama uchama
 
CIA ni CIA tu hamna CIA ya trump wala ya obama

Unajisemea tu, kwa nini kila Rais anaye ingia madarakani anatehua Mkurugenzi mkuu wa CIA, Waziri wa Ulinzi na sekta nyingine nyeti hisipo kuwa FBI.

Kwa nini ujiulizi inakuwaje TRUMP ajishugulishi kusoma taarifa anazo letewa na CIA ambayo hiko chini ya Obama Admin.

Kama mnafikiri CIA ni Serikali ndani ya Serikali basi subirini January muone umahili wa Trump wa kudeal na CHIMERA.
 
Back
Top Bottom