Sakata La Xenophobia: Wamalawi wachoma moto basi la Afrika Kusini kulipiza kisasi raia wao waliouawa Afrika Kusini

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,545
12,658
#BREAKING_NEWS

intercape bus has been burnt in Malawi after the Malawians heard that their fellow citizens were being killed in South Africa
FB_IMG_1554037913953.jpg
FB_IMG_1554043185963.jpg
 
Hii kitu itakuja kuwa mbaya sana yaani na wao wakifanyiwa nadhani itakuwa moto kwa moto kila mtu ainue majembe arudi kwao,duu hapa kwetu itakuwa balaa sana make wamejaa sana ila hawajijui kabisa
Afadhali Wamalawi wamejitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni mbaya Sana. Wamalawi bifu lilianza walipomkamata nabii Bushir kwa makosa ya kusadikika.Sasa na hili la xenophobia,wameona na wao wajibu mapigo!
 
Wanasiasa wa huko South na Uongozi kiujumla inaonekana wamezidisha unafiki sana

Ila bara letu hili majanga sana, hizo nchi za wazungu walibagua watumwa na utumwa ulipokufa wameshasahau na kusahau mambo haya ya kishenzi hawana hizi mambo za kuua sijui kuwabagua wageni ila unayakuta mambo haya huku. Kweli ilikuwa justified kwa sisi kutawaliwa
 
Cha ajabu hao wasouth hawajaribu hata kidogo kuwasumbua wazungu.. wao wanadhani.weusi.wenzao ndio shida.. umasikini.wa.mawazo ni janga baya sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu ndoo wasenge wanaowajaza blacks usenge na kwa sababu blacks hatujitambui tunanyongana wenyewe
Hii ya devide and rule through collaborators inatugharimu sana, imagine nchi zote za Africa tuanze kuwafukuza Wasauzi na kuwaua popote walipo ili warudi kwao itakuwa balaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu ndoo wasenge wanaowajaza blacks usenge na kwa sababu blacks hatujitambui tunanyongana wenyewe
Hii ya devide and rule through collaborators inatugharimu sana, imagine nchi zote za Africa tuanze kuwafukuza Wasauzi na kuwaua popote walipo ili warudi kwao itakuwa balaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu hawawezi Fanya huo ujinga manake wanazo investments all over Africa. Zikianza kushambuliwa wao ndio watapata hasara!
 
Back
Top Bottom