Serikali ya Iran imeamua kuongeza bajeti ya kijeshi kwa asilimia 200%.
Kulingana na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI), Iran kwa sasa ina bajeti ya kijeshi ya dola...
MANILA, Ufilipino
MAHAKAA ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC) itaendelea kumshikilia Rais wa zamani wa Ufilino, Rodrigo Duterte, baada ya ombi lake kugonga mwamba.
Duterte amekuwa kizuizini...
Wakuu
Rais wa Rwanda Paul Kagame ni kama anabariki mwenendo wa baadhi ya mapinduzi yanayotokea barani Afrika ikiwemo yale ya Guine Bissau na amesisitiza kama hadi mapinduzi yanatokea ni ishara...
Afrika taabu sana aisee!
Watu wenye silaha wamevamia Kijiji cha Chacho kilichopo jimbo la Sokoto, kaskazini magharibi mwa Nigeria, na kuwateka Wanawake 13, akiwemo mtoto mdogo.Utekaji huo...
Kutoka kwenye andiko lake refu kwenye ukurasa wake wa X(twitter) Rais wa US, Donald Trump, amesema atazuia watu toka nchi za dunia ya tatu(third world countries) kutoingia Marekani mpaka pale...
Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, amewasili nchini Senegal siku ya Alhamisi baada ya kudaiwa kushikiliwa na jeshi wakati wa mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini mwake, serikali ya...
Mara nyingi tumekuwa tukisema shetani hana rafiki ndio maana Israel walipotekeleza muaji ya genocide dhidi ya wapalestina wameanza kugeukiana wenyewe kwa wenyewe.
1. Wa kwanza kukutana na panga...
Iran haina maji ya kutosha kwa sababu ya mchanganyiko wa sababu za kijiografia, hali ya hewa, ongezeko la watu, na matumizi mabaya ya rasilimali za maji. Hapa chini ni maelezo kwa ufupi na kwa...
Maaskofu wa kanisa katoliki Zambia wamepinga mabadiliko ya katiba Zambia wakidai timing yake si nzuri kwa sasa tokana na ukosefu wa umeme wa uhakika nakupanda kwa gharama za kimaisha
Wamepanga...
Moto mkubwa uliotokea katika makazi ya Wang Fuk Court eneo la Tai Po, Hong Kong, usiku wa kuamkia Novemba 26, 2025 umeua watu 128, akiwemo Afisa mmoja wa Zimamoto, huku zaidi ya watu 200 wakiwa...
Juzi Jumapili, Ikulu ya Abuja ilikuwa kimya lakini ndani kulikuwa kwa moto sana. Rais Tinubu alikuwa amewaita wakuu wote wa vyombo usalama: IG Kayode Egbetokun, DG DSS Tosin Ajayi, Chief of Army...
Wanajeshi wa Guinea-Bissau wamemuapisha, Jenerali Horta Nta Na Man kuwa kiongozi mpya wa mpito wa nchi hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja leo Alhamisi, Novemba 27, 2025, , siku moja baada ya...
Top 20 Countries With The Highest Weed Consumption
insidermonkey.comDec 30, 2023 4:37 PM
Published on December 30, 2023 at 9:37 am by in Business, Industries, Lists, News
In this article, we will...
MANILA, Ufilipino (AP) — Rais wa zamani wa Ufilipino Rodrigo Duterte aliambia uchunguzi wa Seneti Jumatatu kwamba alikuwa na "kikosi cha kifo" cha majambazi ili kuua wahalifu wengine alipokuwa...
Maafisa wa Jeshi nchini Guinea-Bissau wametangaza kuchukua “udhibiti kamili” wa serikali leo siku ya Jumatano (Nov 26, 2025) wakisitisha mchakato wa uchaguzi na kufunga mipaka, zikiwa ni siku tatu...
Mawaziri kutoka Ukraine, Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Uingereza na Umoja wa Ulaya watakutana nchini Uswizi ili kujadili mpango wa pointi 28 uliopendekezwa na Washington wa kumaliza vita na...
Taifa la Iran inakumbwa na changamoto kubwa za upungufu wa maji. Nchi hiyo imekuwa ikikabiliana na matatizo mbalimbali ya maji kwa miaka mingi. Iran ni moja ya nchi zenye upungufu mkubwa wa maji...
Afrika kusini imeonyesha Unafiki wake wazi kwa wapalestina ambao ilionyesha kuwapambania na kujidanganya kufungwa Kesi ya uongo huko ICC ikijidai kuwatetea wapalestina na kudai kuwa kuna mauaji ya...
Mahakama nchini Peru imemhukumu Rais wa zamani wa nchi hiyo, Martin Vizcarra, kifungo cha miaka 14 gerezani baada ya kumpata na hatia ya kupokea hongo miaka kadhaa kabla hajaingia madarakani...
Huu ni ushirikiano ambao hakuna aliyewahi kutarajia … Nicki Minaj anashirikiana na Utawala wa Trump kuhutubia Umoja wa Mataifa.
Msanii wa “Anaconda” anaripotiwa kuungana na Balozi wa Marekani...