International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

This isn’t for the weak, and it’s not to massage egos. It’s the reality modern women refuse to admit — until it’s too late. You thought you were upgrading. Leaving your husband for “freedom,”...
11 Reactions
12 Replies
483 Views
Baada ya kukamatwa kwa Uviru, M23 inaendelea na safari. Siku ya jana, eneo lijulikanalo kama Mboko, lililopo umbali wa km 56bkutoka Uvira, liliangukia mikononi mwa kundi hilo la M23. Inasemekana...
7 Reactions
27 Replies
952 Views
Serikali ya Waziri Mkuu Rosen Zhelyazkov imejiuzulu baada ya maelfu ya waandamanaji kujitokeza mitaani katika miji mbalimbali nchini Bulgaria na kujaza eneo la katikati ya mji mkuu, Sofia...
6 Reactions
43 Replies
895 Views
Majeshi ya Marekani yamekamata meli ya mafuta katika pwani ya Venezuela, ikiwa ni mpango wa Marekani kuwekeza shinikizo kwa Serikali ya Venezuela Akizungumza Ikulu ya White House siku ya...
2 Reactions
10 Replies
557 Views
Mpaka sasa, taarifa zisizo na vumbi, mji wa UVIRA, makao makuu ya Kivu kusini, upo mikononi mwa waasi wa serikali ya DRC, ambao ni M23. Ikumbukwe, wapiganaji wote wa upande wa serikali ya DRC...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imemhukumu aliyekuwa kiongozi wa wanamgambo wa Janjaweed kifungo cha miaka 20 jela kwa kutenda ukatili katika eneo la Darfur, Sudan. Ali Muhammad Ali...
2 Reactions
4 Replies
231 Views
Marekani kupitia wakala wake mkuu maziwa makuu Paul Kagame walishakubaliana mpango wa namna ya kudhibiti madini ya congo kwa kuhakikisha nchi ya congo haitawaliki. Kagame ndio msimamizi mkuu. Yeye...
4 Reactions
4 Replies
353 Views
ACCRA, 10 DESEMBA 2025 – Kufuatia kitendo cha kutendwa vibaya na kufukuzwa bila sababu za msingi kwa raia watatu wa Ghana na mamlaka za Israel, Serikali ya Ghana imelazimika kuchukua hatua ya...
3 Reactions
7 Replies
367 Views
Mara ya kwanza niliona M23 ni wabaya na kumchukia PK, ila baada ya yaliotokea october 29 pale Malawi na yanayoendelea kutokea, nachelea kusema waasi wa M23 ni wazalendo kwel na PK ni Pan...
3 Reactions
6 Replies
414 Views
Kutokana na hali ya kiusalama inayoendelea nchini humo, baada ya kuzidiwa nguvu na M23, njia ya ndege kutua iliyokuwa inatokea Uvira, imeilazimu nchi hiyo kusitisha huduma kutokana na hofu ya...
3 Reactions
11 Replies
650 Views
Taifa la Rwanda limeshutumu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Burundi kwa kukiuka Makubaliano ya Washington, mkataba wa kusitisha mapigano uliosainiwa wiki iliyopita chini ya uratibu wa...
0 Reactions
3 Replies
416 Views
Benki Kuu ya Ulaya ilikataa kuunga mkono malipo ya €140 bilioni kwa Ukraine kutoka kwa mali za Urusi zilizotaifishwa, inaripoti Financial Times ikinukuu vyanzo. Makala inasema kwamba ECB...
0 Reactions
6 Replies
551 Views
Kwa sasa kuna mvutano mkubwa Minnesota kati ya jamii ya Wasomali (ambayo ni karibu 80,000 wenye asili ya Kisomali) na serikali ya shirikisho na ya jimbo. Hii imetokana na madai madhubuti ya...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Utawala wa kijeshi wa Guinea-Bissau, umepitisha Katiba ya mpito ya miezi 12 ambayo inawazuia Rais wa mpito na Waziri Mkuu kugombea katika uchaguzi ujao, wiki mbili baada ya maafisa wa Jeshi...
0 Reactions
1 Replies
274 Views
Ndugu zangu ICC inaendelea kuwawajibisha wale wote wanaoshiriki mauaji, unyanyasaji na adha zingine za ukiukaji wa haki za binadamu. ------------------------------------------------- Mahakama ya...
2 Reactions
7 Replies
444 Views
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amesema yuko tayari kuandaa uchaguzi wa urais ndani ya siku 60 hadi 90 endapo hali ya usalama na masharti ya kisheria yatatimizwa, akitoa wito kwa Marekani na...
1 Reactions
4 Replies
311 Views
Taifa la Australia linaanza leo kutekeleza sheria ya Bunge inayopiga marufuku watoto chini ya miaka 16 kutumia au kuwa na akaunti ya mtandao wa kijamii hivyo kuzuia upatikanaji wa majukwaa kama...
1 Reactions
4 Replies
256 Views
Utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump umeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, kuachana na mipango yoyote ya kumchunguza na hata kumshtaki Rais Trump na maafisa wa utawala wake...
0 Reactions
5 Replies
336 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…