Kutokana na hali ya kiusalama inayoendelea nchini humo, baada ya kuzidiwa nguvu na M23, njia ya ndege kutua iliyokuwa inatokea Uvira, imeilazimu nchi hiyo kusitisha huduma kutokana na hofu ya...
Taifa la Rwanda limeshutumu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Burundi kwa kukiuka Makubaliano ya Washington, mkataba wa kusitisha mapigano uliosainiwa wiki iliyopita chini ya uratibu wa...
Benki Kuu ya Ulaya ilikataa kuunga mkono malipo ya €140 bilioni kwa Ukraine kutoka kwa mali za Urusi zilizotaifishwa, inaripoti Financial Times ikinukuu vyanzo.
Makala inasema kwamba ECB...
Kwa sasa kuna mvutano mkubwa Minnesota kati ya jamii ya Wasomali (ambayo ni karibu 80,000 wenye asili ya Kisomali) na serikali ya shirikisho na ya jimbo. Hii imetokana na madai madhubuti ya...
Utawala wa kijeshi wa Guinea-Bissau, umepitisha Katiba ya mpito ya miezi 12 ambayo inawazuia Rais wa mpito na Waziri Mkuu kugombea katika uchaguzi ujao, wiki mbili baada ya maafisa wa Jeshi...
Ndugu zangu ICC inaendelea kuwawajibisha wale wote wanaoshiriki
mauaji, unyanyasaji na adha zingine za ukiukaji wa haki za binadamu.
-------------------------------------------------
Mahakama ya...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amesema yuko tayari kuandaa uchaguzi wa urais ndani ya siku 60 hadi 90 endapo hali ya usalama na masharti ya kisheria yatatimizwa, akitoa wito kwa Marekani na...
Taifa la Australia linaanza leo kutekeleza sheria ya Bunge inayopiga marufuku watoto chini ya miaka 16 kutumia au kuwa na akaunti ya mtandao wa kijamii hivyo kuzuia upatikanaji wa majukwaa kama...
Utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump umeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, kuachana na mipango yoyote ya kumchunguza na hata kumshtaki Rais Trump na maafisa wa utawala wake...
Rais wa Marekani Donald Trump hivi karibuni kwenye Kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, aliwataja wahamiaji wa Somalia kama “takataka”, na kuelezea...
Rais wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (Ecowas), Omar Touray amesema kwamba Afrika Magharibi iko katika hali ya dharura kutoka na utamaduni wake uliozoeleka sasa kupinduana. Hayo...
Mitetemeko mitatu ndani ya wiki iliyoikumba Afghanistan imeacha maelfu ya vifo na majeruhi.
Inaripotiwa wanawake ambao wamefukiwa na vifusi wameachwa wafe bila kusaidiwa kwasababu uongozi wa...
Mengi bado yasemwa kuhusu mgogoro unoendelea huko Congo DRC na kwamba hawa wapiganaji wa M23 wafyekwe au wapotezwe mazima jambo ambao si rahisi kama wengi wanavyodhani.
Serikali za Afrika hususan...
To German Embassy in Tanzania
Tanzanians seek cooperation in unearthing the details of what transpired at Twiga Cement Factory in Dar es Salaam during Samia Suluhu Hassan's heinously bloody...
Huyu bi dada ni mmoja wa wanaompa msongo wa mawazo Rais Trump
------------
Ilhan Omar ni mwanasiasa mashuhuri wa Marekani, mbunge wa chama cha Democratic-Farmer-Labor (DFL), akiwakilisha Jimbo...
Kikundi cha wanajeshi kilionekana kwenye televisheni ya taifa ya Benin kikitangaza kuvunjwa kwa serikali katika kile kinachoonekana kuwa mapinduzi nchini humo, iliyopo Afrika Magharibi.
Mapinduzi...
Marekani imeipatia Rwanda Dola milioni 228 kwa ajili ya kupambana na HIV pamoja na malaria.
Pesa hizo ni sawa na Shilingi bilioni 600 za Kitanzania.
Tuache kiburi. Tupo katika dunia...
Kila kitu kiko sawa’: Msemaji wa Serikali
Bado hakuna habari rasmi kuhusu mahali alipo Rais wa Benin Talon, lakini Wilfried Houngbedji, msemaji wa serikali ya Benin, ameiambia AP kwamba “kila...
Mahakama ya Katiba nchini Benin imeamua kukiondoa chama kikuu cha upinzani, Les Démocrates, katika uchaguzi wa urais wa mwaka 2026, hatua ambayo imeibua maswali mapya kuhusu uwazi na haki ya...