International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wizara ya Afya ya Brazil imetangaza maambukizi mapya 11,687 ya CoronaVirus na kufanya nchi hiyo kuwa na jumla ya maambukizi 376,669 Pia vifo 807 vimeripotiwa, na kufanya idadi ya waliofariki kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Volkano inaendelea kulipuka katikati mwa Costa Rica, huku ikirusha angani moshi na majivu kwa umbali wa zaidi ya kilomita tatu. Mamia ya watu wameenda hospitali wakilalamikia shida ya kupumua na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kiongozi wa Upinzani nchini Burundi Agathon Rwasa ambaye alikuwa wa pili katika uchaguzi wa urais nchiini humo ameapa kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais. Akizungumza na BBC...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Rais Donald Trump amesema ni '' ni heshima '' kuwa Marekani ina idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya corona duniani. ''Ninalitazama suala hili kama heshima fulani, kama jambo zuri kwasababu...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
By Robin-Lee Francke 1h ago Cape Town - A Nigerian professor from Novena University in Delta State on Monday claimed that the novel coronavirus pandemic was nothing but a scam perpetrated by the...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Serikali mbalimbali duniani zimetoa dola bilioni 123 kuyasaidia mashirika yao ya ndege yaliyoathirika na janga la virusi vya corona, shirika la kimataifa la usafiri wa anga IATA limeripoti jana...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Baadhi ya kampuni za teknolojia na habari zimewaambia watumishi wake kuwa wataendelea kufanyia kazi nyumbani muda wote, makampuni mengine yamepanga kuendelea na kazi katika ofisi zao hivi karibuni...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
CRIMINAL ACTIVITY HOW A HIGH-TECH DRAGNET NABBED THE ALLEGED FINANCIER OF THE RWANDAN GENOCIDE—AFTER HE’D SPENT 26 YEARS ON THE LAM The war crimes prosecutor who ran the manhunt tells Vanity Fair...
1 Reactions
0 Replies
944 Views
Africans are some of the friendliest and most hospitable people you are ever going to meet. With regards to tourists, it is fair to say that you will be treated like royalty. As far as travel and...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
#UNAAMBIWA Watoto watatu wa Familia moja nchini Bolivia Miaka (8 ,10 na 12) wamelazwa Hospital Baada ya kuruhusu Buibui mweusi awang' ate kwa makusudi kwa kuamini kuwa watageuka Spider -man>>...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
1 Reactions
37 Replies
2K Views
China yaitaka Marekani kuondoa vikwazo walivyowekewa kwa kuwanyanyasa waislam. China imeitaka Marekani kuondoa vikwazo dhidi ya mauzo ya nje ya kampuni za nchi hiyo katika duru ya hivi karibuni...
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Shirika kubwa la ndege la ‘Latin America’ LATAM limetangaza kufurisika kutokana na kudorora kwa mauzi kulikosababishwa na #COVID19 Sekta ya usafirishaji na utalii dunia nzima imeathiriwa kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
USAID Head to UN Secretary General tells Antonio Guterres: Stop Peddling Abortion as COVID-19 Relief John Barsa NEW YORK, May 18 The head of the U.S. Agency for International Development,John...
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Shirika la Afya Duniani, WHO, limezionya nchi zinalegeza masharti kuwa na uwezekano wa kukumbana na wimbi la pili la janga la CoronaVirus Dkt. Mike Ryan amesema maambukizi ya CoronaVirus...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Majaribio yanayofanyiwa dawa ya ugonjwa wa malaria Hydroxychloroquine ili kuona iwapo inaweza kutibu virusi vya corona yamesitishwa kutokana na hofu ya usalama wake, shirika la afya duniani WHO...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema maambukizi ya virusi vya Corona nchini mwake yanaendelea kuongezeka kama ilivyobashiriwa na wanasayansi. Katikati mwa wiki iliyopita wanasayansi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Kumekuwa na mlolongo mrefu wa walinzi binafsi wa Kagame kushtakiwa kwa kutuhumiwa kutaka kumuua. Hivi huyu Kagame mwili wake umeundwa na dhahabu mbona marais wenzake wakina Museveni...
3 Reactions
48 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…