WHO yaonya kuhusu wimbi la pili la CoronaVirus

WHO yaonya kuhusu wimbi la pili la CoronaVirus

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,844
Shirika la Afya Duniani, WHO, limezionya nchi zinalegeza masharti kuwa na uwezekano wa kukumbana na wimbi la pili la janga la CoronaVirus

Dkt. Mike Ryan amesema maambukizi ya CoronaVirus yanapungua kwenye nchi nyingi lakini ushahidi unaonyesha maambukizi yanaongezeka Marekani ya Kusini na Kati, Asia Kusini na Afrika

Ryan ameonya kuwa maambukizi yanaweza kuongezeka kama masharti yatalegezwa mapema. Amesema Ulaya na Marekani waendelee kuzifuata tahadhari za kiafya ili kuepuka wimbi la pili

====
The World Health Organization (WHO) is warning that countries in which coronavirus appears to be in retreat could still face an "immediate second peak" if they let up too soon on measures to halt the outbreak

WHO emergencies head Dr Mike Ryan told an online briefing that, while cases were declining in many countries, they were still increasing in Central and South America, South Asia and Africa.

Ryan said there was a chance infection rates could rise again more quickly if measures to halt the first wave were lifted too soon

"We need to be cognizant of the fact that the disease can jump up at any time," he said. "We cannot make assumptions that just because the disease is on the way down now it is going to keep going down and we are get a number of months to get ready for a second wave. We may get a second peak in this wave."

He said countries in Europe and North America should "continue to put in place the public health and social measures, the surveillance measures, the testing measures and a comprehensive strategy to ensure that we continue on a downwards trajectory and we don't have an immediate second peak."
 
Since the outbreak of the pandemic, WHO has did nothing positive to help the world rather than barking!!

They're not capable of handling the situation!
 
Poleni sana WHO kwa kazi ya kutufatilia na corona sisi huku ni mwendo wa nyungu tu na malimao na tangawizi na kitunguu swaumu na pili pili kichaa kwisha habari.
 
Back
Top Bottom