International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

This article doesn't mean to spoil any country or nation put to prove the existence of witch craft in African. According to research,Their are 55 countries in Africa but not all could be found...
1 Reactions
16 Replies
11K Views
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), watumishi wa afya zaidi ya 6,000 kutoka nchi 38 Afrika wamepata maambukizi ya Virusi vya Corona tangu kuanza kwa mlipuko huo WHO imesema Afrika ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndege ya kijeshi iliyoanguka huko kaskazini magharibi mwa Ufaransa, ilisababisha rubani mmoja kuruka na kuangukia katika nyaya za umeme. Rubani wote waliruka katika ndege hiyo katika eneo la...
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Hapa kuna maelezo mazuri toka DW yakieleza theories mbalimbali juu ya "kwa nini ugonjwa wa Coronavirus haujaripotiwa Afrika". Moja ya sababu zilizotaja ni uwezo mdogo wa maabara za nchi nyingi za...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kundi la wanamgambo linalojiita Dola la Kiislamu, IS limemshambulia Waziri Mkuu mpya wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi, kwa kumuita "kibaraka wa Marekani". Aidha IS imekosoa hatua ya kufungwa kwa eneo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tangu mwanzoni mwa mwaka huu watu wengi wamekuwa wakiongelea janga la virusi vya corona ambalo limetikisa dunia nzima. Watu wote wameguswa na ugonjwa huu wa COVID-19 kwa namna moja ama nyingine...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Umoja wa Afrika (AU) umesema mlipuko wa CoronaVirus unaleta athari kubwa kwenye sekta ya utalii barani Afrika Kwa mujibu wa AU, Afrika imepoteza mapato ya Dola za Kimarekani Bilioni 50 ndani ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndege ya kijeshi F-16 imeanguka na kuripuka ikiwa katika mazoezi, hii ni ndege ya 5 ya kijeshi kuanguaka katika week 6 zilizopita F-16 fighter jet crashes while flying ‘routine training mission’...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwezi wa 6 Serikali ya Marekani imeongeza Ajira milion 4.8 kinyume na matarajio ya wataalamu. Wataalamu walitabiri kua ajira milion 5 zitapotea ila imekua kinyume chake, ajira milion 4.8...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Iran imetoa kibali na kuitaka Interpol kusaidia kumtia nguvuni Rais wa Marekani, Donald Trump na wengine kadhaa ambao nchi hiyo inaamini walitekeleza shambulio la drone ambao lilimuua jenerali...
13 Reactions
270 Replies
20K Views
A quarter of Kenyans believe in witchcraft even though they are deeply religious, a survey shows. They also believe that the world will end in the next 39 years. According to the survey conducted...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Maporomoko ya ardhi yaliyotokea eneo la mgodi lililopo Hpakant jimbo la Kachin Kaskazini mwa nchi ya Myanmar yamesababisha vifo vya watu 113 Maafisa wamesema miili ya wachimba madini hao...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Donald Trump have reinstated his anger toward china and this anger may not end anytime soon unless Coronavirus is over. The United States president have just Tweeted that as the global pandemic...
0 Reactions
3 Replies
868 Views
Here comes Fauci setting the stage for a new pandemic that has ‘characteristics of the 2009 H1N1 virus and 1918 flu’ Dr. Anthony Fauci says new virus in China has traits of 2009 swine flu and 1918...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hundreds of elephants found dead in Botswana Credit: Mystery as hundreds of elephants found dead Mystery surrounds the "completely unprecedented" deaths of hundreds of elephants in Botswana...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Serikali ya India imepiga marufuku 'app' maarufu ya TikTok pamoja na nyingine 59 ikiwemo WeChat kutokea China ikidai ni tishio kwa nchi hiyo. Taarifa waliyotoa imesema 'app' hizo ni hatari kwa...
4 Reactions
72 Replies
7K Views
When you are destined to lead a particular people, your race and background can never be a hindrance to what fate has programmed. Here is a brief article about the white man that defied all odds...
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Rais Donald Trump, ambaye siku zote amekuwa akipinga muongozo wa uvaaji barakoa uliotolewa na maafisa wa afya, amesema atavaa barakoa kama atakuwa ''katika mazingira ya watu yatakayomlazimu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
This Could be a reason why Tanzanians don't catch it as much, fake results must be the reason why other countries have so much positive cases. UK Gov't confirms Covid19 harmless to VAST MAJORITY...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Milipuko hiyo inasemekana ilisababishwa na kufuja kwa gesi.... At least 19 die as huge explosion tears through buildings in Iranian capital Tehran The explosion occurred at the Sina At'har...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom