Ndege ya kijeshi ya Marekani F-16 yaanguka

Ndege ya kijeshi ya Marekani F-16 yaanguka

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Posts
8,633
Reaction score
16,601
Ndege ya kijeshi F-16 imeanguka na kuripuka ikiwa katika mazoezi, hii ni ndege ya 5 ya kijeshi kuanguaka katika week 6 zilizopita


F-16 fighter jet crashes while flying ‘routine training mission’ at Shaw Air Force Base in South Carolina (VIDEO)

F-16 fighter jet crashes while flying ‘routine training mission’ at Shaw Air Force Base in South Carolina (VIDEO)
FILE PHOTO [emoji2398] Global Look Press / Lcpl. Carlos Jimenez
23
A single-seater combat aircraft hit the ground and caught fire during a training flight at Shaw Air Force Base, the military installation confirmed. The pilot reportedly survived and was rushed to the hospital.

The F-16 belonging to the 20th Fighter Wing crashed at approximately 11:30pm local time on Wednesday, according to a brief statement the base posted on Facebook. It said the cause of the crash, which happened during a "routine training mission," is not yet known.

Local media reported that the pilot was taken to a nearby hospital for treatment, but his condition is still unknown.

Video that surfaced online shows what appears to be a crash site. Firefighters are seen putting out a fire.


Shaw Air Force Base, located outside Sumter, South Carolina, houses three squadrons of F-16CMs. The 20th Fighter Wing specializes in the suppression of enemy air defenses, air interdiction, and combat search-and-rescue operations.

This recent incident comes after a series of crashes involving US Air Force jets in recent weeks. Earlier in May, an F-35A and F-22A were lost during the same “training missions” in Florida; in both cases, the pilots managed to eject to safety.

ALSO ON RT.COM
F-22 Raptor CRASHES in Florida, pilot in stable condition
 
Hii nayo ni habari??

India kila mwaka wanaangusha madege kibao na hujawahi kusema
WAYAHUDI weusi mnashida gani kwani [emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja nimshauri jamaa awaombe Moderator kuufuta huu uzi maana jamaa naona umepanic sana

Ila ramba limao ama ndimu MKUU kushusha hasira[emoji4][emoji4][emoji4]

STRUGGLE MAN asee MKUU mue mnaangalia nahabri zakuleta huku mutatuulia hawa WAYAHUDI wetu huku Maana kna jamaa kapanic kama ndege yao yanyumbani imeanguka [emoji22][emoji23][emoji23]
 
Sure. Nakumbuka kuna tukio moja sensor za f35 zilizingua zikatoa taarifa ndege imeshambulia ghafla ikaeject automatically ikamvunja shingo pilot 😀😆

Kibaya zaidi alipo bonyeza button ya kui-eject kiti kilifyatuka kama kawaida lakini canopy kwenye cockpit haikufunguka ili Pilot aweze kurushwa nje ndio maana kichwa chake kilijibamiza ndani ya cockpit kwa kasi kubwa ikamvunja shingo, visa vya ejector seats ku-mulfunction killing Pilots instantly vimetokea mara nyingi tu ikiwa na pamoja na oxygen generators kushindwa kufanyakazi na kuwafanya Marubani kukosa hewa na kufa wakiwa ndani ya ndege.

Ndio maana matukio hayo ya kutisha yaliwafanya fighter Pilots kuibatiza F-35 a flying coffin, licha ya F-35 kupewa sifa nzuri kemu kemu, ukweli ni kwamba asili mia kubwa ya sifa hizo ni za kuchonga tu, ndege gani inazuiwa kuruka wakati mvua inanyesha kwa kuhofia putty ya RAM hisiwe washed away kwa mvua, ma Pilots wanakatazwa vile vile kwamba mwendo kasi wa F-35 husifikie supersonic speed na kama ikibidi basi ifanyike ndani ya sekunde thelathini (30 seconds),again sababu wanazo toa ni kwamba F-35 ikiruka na kufikia supersonic speed airframe inapata joto kali lenye uwezo wa kuyeyusha Radar Absorbant Material (RAM) just imagine: mvua ikinyesha shida, joto shida!! Nasikia F-35s uegeshwa kwenye aircondition hangars - sijui Mataifa yanayo nunua ndege za ajabu kama hizo wana akili gani kama sio matope, ndio maana Mataifa yanayo jitambua, kama: Ujerumani na Ufaransa nafikiri na Australia wamekataa kuzinunua, licha ya kuwekewa shinikizo kubwa na USA.

Project nzima ya F-35 ilikuwa ni wizi mtupu tangu mwanzo, ni kwamba Wizara ya ulinzi ikishirikiana na kampuni ya Lockheed Martin ndio the brains behind an over rated over priced F-35, lengo lao kama nilivyo sema tangu mwanzo lilikuwa ni ku-siphon taxpayers money big time na wamefanikiwa sana kuwachota akili maseneta wao ni viongozi wengi Duniani wanafikiri F-35 is a cure all like asprin/Panadol .
 
WAYAHUDI weusi mnashida gani kwani [emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja nimshauri jamaa awaombe Moderator kuufuta huu uzi maana jamaa naona umepanic sana

Ila ramba limao ama ndimu MKUU kushusha hasira[emoji4][emoji4][emoji4]

STRUGGLE MAN asee MKUU mue mnaangalia nahabri zakuleta huku mutatuulia hawa WAYAHUDI wetu huku Maana kna jamaa kapanic kama ndege yao yanyumbani imeanguka [emoji22][emoji23][emoji23]
hahahaaaaaa we jamaa bhana we jamaa umeona takwimu za India?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani kwa Elimu hii mkuu nashangaa sijui kwanini hujaanza kutengeneza Jet Fighter za kwako mkuu, au hata kuomba kua mshauri wa utaalamu wa jetfyta...Big Up mkuu
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom