AU: Afrika imepoteza Dola bilioni 50 kutokana na Corona ndani ya miezi mitatu pekee

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Umoja wa Afrika (AU) umesema mlipuko wa CoronaVirus unaleta athari kubwa kwenye sekta ya utalii barani Afrika

Kwa mujibu wa AU, Afrika imepoteza mapato ya Dola za Kimarekani Bilioni 50 ndani ya miezi 3 pekee tangu mlipuko wa COVID19 kuripotiwa na kuna uwezekano wa baadhi ya mashirika ya ndege kushindwa kuendelea kutoa huduma

Kamishna wa Umoja huo, Amani Abou-Zeid amesema athari ni kubwa kwani takriban 10% ya Pato la Taifa (GDP) Afrika hutoka kwenye sekta ya utalii ambayo inajumuisha usafiri wa anga

===

The African Union is warning that the coronavirus pandemic is having a devastating effect on Africa's tourism industry.

It says more than $50bn (£40bn) in revenue was lost to the continent in just three months, and some airlines may not survive.

AU commissioner Amani Abou-Zeid told an online news conference with the World Health Organization that tourism was a key sector and was being badly hit.

"We're talking here about almost 10% of the GDP of Africa comes from tourism and of course air travel is related to that.

"But also we have 24 million Africans, which means 24 million African families whose livelihood is linked to travel and tourism.

"So the impact is really severe and some estimates we're talking here about almost $55bn lost within three months."

Source: BBC
 
Back
Top Bottom