Afrika Kusini: Lori lililokuwa limebeba sampuli za vipimo vya virusi vya Corona laibwa

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Huko Afrika Kusini lori lililokuwa limebeba sampo za vipimo vya Virusi vya Corona ambalo lilikuwa limepaki maeneo ya packing za magari mengine wezi wameliiba hilo lori na kutokomea nalo kusikojulikana mpaka sasa

Polisi ya huki imetangaza kilichomo ndani ya lori hilo na wamesema hawalitafuti na hao wezi kwa taarifa yao wairudishe wenyewe bila kutaka bila hivyo watajua wenyewe.

Je, hao wezi watalirudisha?nini maoni yako?
 
😂😂
Turejelee kauli ya rais wetu "hakuna Cha lockdown wala baba yake na lockdown"..
 
Nikadhani Lori limebeba silaha za milipuko kumbe ni Corona?
 
Hivi wa Afrika ya Kusini ni watu wa aina gani, maana ujambazi wao unanitisha.
 
Back
Top Bottom