International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakuu, Nimekutana na clip hii huko duniani na nimepata maswali sana Nimeona kuna huyu jana kashika bango akiwa anataka kile kilichofanyika kule Venezuela kifanyike huko huko South Africa...
2 Reactions
5 Replies
191 Views
Iran Inapo Wanyonga Wasaliti hadharani Hua Inamaanisha Tazama Venezuela imempoteza kiongozi mashuhuri kisa tamaa ya Fedha. “Hakuna Rais huchukuliwa kama kuku bila usaliti wa ndani” Huu ni ukweli...
3 Reactions
4 Replies
232 Views
Wizara ya Ulinzi ya Denmark imesema wanajeshi wa nchi hiyo wana wajibu wa kufyatua risasi na kushambulia moja moja, hata bila kupata amri kutakuwa na jaribio lolote la kuivamia Greenland kwa...
9 Reactions
47 Replies
2K Views
Mnaokaa na kusubiri kuanguka kwa utawala wa Iran mtasubiri sana. Hakuna serikali ya Iran itayoanguka kwa wakati huu. Wananchi washashtukia mchezo mapema tu US na Israel wakiingilia ndo hali...
5 Reactions
30 Replies
625 Views
Wakati waandamanaji wakijitokeza mitaani kila usiku nchini Iran, viongozi kutoka maeneo mbalimbali duniani wanakutana na hali ya kutokujua ikiwa Jamhuri ya Kiislamu inaweza kuangushwa — tukio...
5 Reactions
15 Replies
462 Views
Baada ya miaka mitatu ya ukimbizi wa kiserikali mjini Port Sudan, Serikali ya mpito ya Sudan imerejea rasmi katika mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum. Hatua hii ni alama ya ushindi kwa jeshi la...
4 Reactions
8 Replies
427 Views
Lengo la Israel ni kutaka kutengeneza fitina ndani ya Iran ili kutengeneza mazingira ya utawala wa sasa kupinduliwa. Utawala huu wa Kiislam uliingia kwa mapinduzi ya 1979 (wakati sisi tuko busy...
13 Reactions
49 Replies
3K Views
Iran imesema iko tayari kwa vita endapo Marekani itaingilia kati, kufuatia ukandamizaji mkali wa maandamano ya kupinga serikali uliosababisha vifo vya mamia ya raia. Akizungumza Jumatatu asubuhi...
1 Reactions
1 Replies
364 Views
Malaysia na Indonesia zimezuia matumizi ya Grok, roboti ya akili bandia (AI) inayomilikiwa na Elon Musk kupitia mtandao wa X, baada ya kubainika kuwa inatumiwa kutengeneza deepfake za kingono...
2 Reactions
3 Replies
257 Views
JUST NI REALITY VIEW , NGUVU KUBWA INATUMIKA KUHAKIKISHA MALI (RASILIMALI ) ZA NCHI MOJA ZINAPITIA , NA NI LAZIMA ZIPITE KWENYE NCHI KUBWA YENYE NGUVU KIJESHI ILI TUU MAISHA...
3 Reactions
31 Replies
717 Views
Vyanzo vya Iran vinadai kwamba Reza Kasab, kamanda wa kitengo cha makombora cha Iran huko Kashan, aliuawa wakati ndege isiyo na rubani ya kujitoa mhanga iligonga gari lake na yeye kuteka tea ndani...
5 Reactions
6 Replies
448 Views
Taifa la Myanmar linaendelea na zoezi la kupiga kura katika awamu ya pili ya uchaguzi, ambao hadi sasa umetawaliwa na chama kinachoungwa mkono na jeshi linalotawala, huku serikali ya kijeshi...
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Ayatollah ameonywa athubutu kuua hao waandamanaji, atashushiwa mavitu na kuwahishwa kule kwa mabikira, aache watu waikomboe nchi yao kutoka kwa uzombi wa dini...
0 Reactions
5 Replies
355 Views
Hapa chini ni muhtasari wa historia ya hivi sasa na yanayoendelea nchini Iran — hasa jinsi ilivyofikia hali ya sasa ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, pamoja na harakati kubwa za umma: 1. Asili ya...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa chombo cha habari cha kimataifa Reuters, Serikali ya Rais Donald Trump inadaiwa kufikiria kutoa malipo ya maelfu ya dola kwa kila mkazi wa Greenland kama sehemu ya mpango wa...
3 Reactions
7 Replies
564 Views
Raia wa Iran wanajitoa muhanga maana kuuaga uislamu unapaswa uchinjwe kabisa, hili hapa andiko lao 'Whoever changed his Islamic religion, then kill him.'" Sahih al-Bukhari 6922 Taratibu wananchi...
4 Reactions
52 Replies
2K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema bajeti ya kijeshi ya Marekani kwa mwaka 2027 inapaswa kuwa dola trilioni 1.5 (sawa na takribani Shilingi za Tanzania trilioni 3.6 ), ikiwa ni ongezeko kubwa...
0 Reactions
9 Replies
506 Views
Aisee mrusi ni habari nyingne Hili kombola likiwa ndo linafyatuliwa linatoka na kasi ya 6000km/hr na hapo ndo linapooneka tu Baada ya hapo alionekani tena kwenye rada wala wapi linatoka kwenye...
9 Reactions
36 Replies
603 Views
Hili ni apizo la Rais Trump ya kuwa Greenland lazima ikaliwe na wamarekani iwe kwa makubaliano au kwa shari. Kwa hisani ya Department of War
2 Reactions
30 Replies
621 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…