International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hali inazidi kua mbaya kwa Biden na wapambe wake ambao walitegemea Corona kumshinda Donald Trump. Toka mwezi July visa vipya vya Corona nchini Marekani vimekua vikipungua hivyo kumuongezea Credit...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesaini sheria inayozuia shule za serikali kuwatenga wasichana ambao ni wajawazito kuhudhuria masomo. Chini ya marekebisho hayo ya Sheria, walimu pia...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Viongozi wa serikali ya mpito nchini Sudan na wakuu wa makundi ya waasi katika jimbo la Darfur leo wamefikia makubaliano ya kihistoria ya mkataba wa amani unaoelezewa ni hatua muhimu ya kwanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya Ian Khama kumaliza muhura wake kama Rais wa nchi ya Botswana, akili yake,malengo yake na ndoto zake ilikuwa ni kumwachia mdogo wake kuwa Rais wa nchi hii yaani ni kama unavyoona namna...
18 Reactions
161 Replies
19K Views
Alianza Bush, alipohitaji kura za wananchi wake, aliwajia na hadithi za Saddam kuhusika na 9/11, akaunda zengwe la maana na mwishowe akaivamia Iraq ilia pate pa kuponea, kilichofuatia ni historia...
10 Reactions
86 Replies
14K Views
Sisi kama wadau wa China na wapenzi wa nchi ya China na tunaopenda kuiona siku moja china inatimiza ndoto yake ya kuwa china moja yenye nguvu kwa maendeleo ya dunia kwa ujumla Wadau hoja zenu...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Vikosi vya Urusi na Marekani vimelaumiana kwa mgongano wa magari ya kijeshi ya nchi hizo mbili kaskazini mashariki mwa Syria ambapo wanajeshi kadhaa wa Marekani wamejeruhiwa. Video inayoonesha...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
@mod nilikusudia kutumia neno "onyesho" Licha ya Japan kukumbuwa na majanga ya kila aina, ila wao huko kwao hufanya mambo ya kiajabu sana yanayohitaji ubongo, Waafrika huku tuna kila kitu ila bado...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Maandamano yameanza tena katika jimbo la Wisconsin nchini Marekani baada ya polisi kumpiga risasi kadhaa mtu mweusi mara kadhaa wakisema kwamba ilikuwa ni kujibu kile walichokiita mzozo uliotokea...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukisikia mara Marekani watu wengi wamekufa kwa Corona. Lakini video na picha za hivi karibuni tunaona watu hawavai barakoa na wala hakuna cha social distance. Kwenye mikutano yao ya vyama...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi Sina hakika kama hii hoja imepata kujadiliwa hapa. Je n kwanini hasa Mapinduzi ya Mali yameshutumiwa na ECOWAS, UN NA HATA AU? WHAT IS ACTAULLY BEHIND THE SCENES??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Polisi wawili nchini humo wamekamatwa kufuatia mauaji Nathaniel Julius (16) Jijini Johannesburg Familia ya Nathaniel ambaye alikuwa na ugonjwa wa 'Down Syndrome' imesema alitoka nyumbani kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa jarida ya Forbes Mkurugenzi wa kampuni ya Amazon, Jeff Bezos anakuwa mtu kwa kwanza duniani kuwa na utajiri wa Dola Bilioni 200 Imeelezwa kuwa, hivi sasa Bezos (56) ana utajiri wa...
7 Reactions
58 Replies
8K Views
Mahakama imemhukumu kifungo cha maisha jela bila uwezekano wa msamaha Brenton Tarrant (29) aliyeua watu 51 kwenye misikiti miwili nchini humo. Mtoto wa miaka 3 alikuwa miongoni mwa waliouawa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Aloys Ntiwiragabo, Mkuu wa zamani wa idara ya ujasusi wa jeshi nchini Rwanda wakati wa mauaji ya kimbari ya 1994 anatafutwa ili kujibu mashitaka yanayomkabili, baada ya Rwanda kutoa waranti wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Baraza kuu la kitaifa, lililoowekwa na wanajeshi kuiongoza Nchi, "linaarifu wananchi wa Mali na Jumuiya ya Kimataifa kwamba aliye kuwa Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keïta ameachiliwa huru na kwa...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais Donald Trump amekubali rasmi uteuzi wa Republican kuwa Mgombea wa Urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Novemba ambapo atawania awamu ya pili Katika hotuba yake, amesema amekubali uteuzi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Brookside invests Sh1.3b in Arusha By Brian Adero in Arusha Brookside Dairy has launched a dairy farmers programme in Tanzania which will boost the company’s daily milk sales in the...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Rais wa Marekani Donald Trump atoa pendekezo la yeye na mpinzani wake wa Democratic Joe Biden wote wafanyiwe vipimo vya uchunguzi kama wanatumia dawa kabla ya mjadala wao mwezi ujao, akidai...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
The NBA and its players and coaches have taken myriad measures to make clear their support for the Black Lives Matter movement while standing against all racial injustice and police brutality, but...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…