Kwanini Mapunduzi nchini Mali yamekemewa na AU na UN?

Gajungi

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
257
83
Ndugu wanajamvi

Sina hakika kama hii hoja imepata kujadiliwa hapa.

Je n kwanini hasa Mapinduzi ya Mali yameshutumiwa na ECOWAS, UN NA HATA AU?

WHAT IS ACTAULLY BEHIND THE SCENES??
 
Ndugu wanajamvi

Sina hakika kama hii hoja imepata kujadiliwa hapa.

Je n kwanini hasa Mapinduzi ya Mali yameshutumiwa na ECOWAS, UN NA HATA AU?

WHAT IS ACTAULLY BEHIND THE SCENES??
Thread ifungwe
 
Hao ni wanafiki ... Huwa wanajifanya kukemea kumbe mipango hiyo wameifanya wao wenyewe ... So hawataki kujulikana
 
Back
Top Bottom