Uchumi wa nchi hiyo umeporomoka kwa asilimia 51 katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka 2020 kufuatia mlipuko wa CoronaVirus
Kuanzia mwezi Machi, Afrika Kusini ilitangaza amri ya kutotoka ndani...
Recently there has been a xenophobic violence against Africans in South Africa. Now the violence is spreading and becoming more powerful. The truth is that, South African-owned chain stores and...
Facebook imetangaza kuifungia kwa muda akaunti ya Raia wa Ufaransa Alain Cocq(57) ambaye ametangaza kuwa ataruka LIVE Facebook wakati akiwa anakata roho, Alain amepanga kufanya hivyo ili kupaza...
Tofauti na matarajio ya wengi, utafiti uliofanywa na Shirika la Centre for Economic Policy Research na Jarida la World Economic Forum umebaini kuwa mataifa yanayoongozwa na wanawake yana kiwango...
Mwaka 2020 hautasahaulika katika kumbukumbu za watu kwani ni mwaka ambao umebadilisha historia ya binadamu. Watu wamelazimika kuingia vitani kupambana na adui ambaye haonekani wala hashikiki. Adui...
Inakuwaje wanaJF!
Ni rahis sana kwa mkristo kuwa Muislam kuliko Muislam kuwa Mkristo kwasababu kwa wakristo wengi kuna uhuru na siyo kulazimishwa na hakuna kutishiwa kuuwawa kama kwa Waislam...
Wakuu wa Mataifa ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) wamewapa Wanajeshi wanaoshikilia madaraka hadi Septemba 15, 2020 kumtangaza Rais na Waziri Mkuu wa nchi hiyo
Rais wa...
Miaka ya 1960 [1960s] na 1970 [1970s], nchi ya Nigeria ilikuwa imeghubikwa na mapinduzi ya kijeshi kwa serikali zilizokuwepo madarakani kwa nyakati hizo.
Moja ya njia zao za kukabiliana na...
Inakuwaje Wanajamvi!
Utitiri wa mataifa ya Kiislamu kutaka urafiki na Israel unaongezeka.
Kosovo tayari wamekubali kuwa marafiki na Israel japo kuna minong'ono ya hapa na pale kutoka kwa wafia...
Mtandao wa Twitter umethibitisha kudukuliwa kwa akaunti hiyo na kueleza kuwa wadukuzi wakuwa wakiwaomba wafuasi michango ya fedha kupitia sarafu za mtandaoni (cryptocurrency)
Tukio hili linajiri...
Mamlaka nchini humo zimetangaza hali ya dharura kwa muda wa miezu mitatu ikisema nchi hiyo ni eneo la maafa ya asili baada ya mafuriko kusababisha vifo vya watu zaidi ya 90
Waziri wa Kazi, Lena...
Watu 300 waliokuwa wakiandamana wamekamatwa Hong Kong na jeshi la polisi kufuatia kukiuka agizo la nchi hiyo la kuwazuia kuandamana.
Mamia ya waandamanaji walikuwa wamejitokeza barabarani...
Kisa hiki kimemhusisha Mzee wa miaka 80 anayeishi katika Kijiji cha Parcoul-Chenaud huko Dordogne Kusini mwa Ufaransa.
Mzee huyo alikuwa akijiandaa kula chakula cha usiku ndipo aliposikia sauti...
Polisi wametumia mabomu ya machozi kutawanya makundi ya waandamanaji waliokusanyika kupinga uamuzi wa Serikali kusogeza mbele Uchaguzi wa Bunge.
Imeelezwa kuwa, takriban watu 300 wamekamatwa kwa...
Nchini Zambia, Mfanyakazi wa benki ya ZANACO amesimamishwa kwa kulala na wanaume zaidi ya 200 wateja na wateja wanaotafuta kazi, kwa mujibu wa ripoti ya ZambiaObserver.
Mwanamke huyo ametambuliwa...
Kulingana na habari katika gazeti la "Washington Post", Msemaji wa White House Judd Deere amesema kuwa Marekani haitashiriki katika Mpango wa Chanjo dhidi ya Covid-19 (Covax), ambao unaratibiwa na...
Papa Francis amekemea tabia hiyo na kusema ni mbaya kuliko ugonjwa wa mlipuko wa #COVID19
Akihubiri katika misa ya Jumapili ya leo Jijini Roma Italia, Papa Francis amesema Shetani ni Mdaku...
- US President Donald Trump's former lawyer Michael Cohen will be releasing a book revealing intimate details of his relationship Trump
- Cohen reveals that back in 2018 when Trump made his...
Nchi za Ulaya zinaonekana kupigwa na wimbi la pili la #CoronaVirus kutokana na kurekodi maambukizi mapya makubwa ndani ya muda mfupi
Wataalamu bado wanashuku kutangaza kuwa hilo ni wimbi la pili...
Moja kwa moja kwenye mada.
Afrika Kusini wamezifunga tena shule zote kwa mwezi mmoja wanapoendelea kupambana na ugonjwa huu.
Mapambano ni pamoja na tathmini ya wazi ya mirejesho pasipo na...