Mali: ECOWAS yawataka Wanajeshi waliofanya mapinduzi kuteua Rais na Waziri Mkuu hadi kufikia Septemba 15. Wawili hao wanatakiwa kuwa raia wa kawaida

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
2,153
2,000
Wakuu wa Mataifa ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) wamewapa Wanajeshi wanaoshikilia madaraka hadi Septemba 15, 2020 kumtangaza Rais na Waziri Mkuu wa nchi hiyo

Rais wa Tume ya ECOWAS, Jean-Claude Kassi Brou amesema Rais na Waziri Mkuu wanatakiwa kuteuliwa hadi kufikia tarehe hiyo na wote wawili wanapaswa kuwa raia wa kawaida

Tangu kupinduliwa kwa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Ibrahim Boubacar Keita Agosti 18, Wanajeshi wamekuwa wakiongoza. ECOWAS imeiwekea Mali vikwazo mbalimbali ikiwemo kufunga mipaka na kuzuia biashara

===

West Africa’s regional leaders have given the military junta in Mali until Sept. 15 to name a transitional president and a prime minister, according to a statement read at the end of a summit on Monday.

The heads of state of the 15-nation Economic Community of West African States (ECOWAS) said the president and prime minister, who will lead the transitional government, should be civilians.

The bloc, seeking to keep pressure on the junta, maintained sanctions it had placed on Mali, but welcomed steps taken by the junta in the past week to start talks with Mali’s political parties and civil society groups over the transition.

The ECOWAS union has closed its borders with landlocked Mali and halted financial flows amid concerns from some West African leaders the military coup could undermine their power and democratic gains in the region.

A group of army colonels has ruled Mali since ousting President Ibrahim Boubacar Keita on Aug. 18. No consensus has yet been reached on the make-up and duration of a transitional government ahead of promised elections.

ECOWAS is calling for a swift return to civilian rule and a vote within a year, a timeline the junta, the National Committee for the Salvation of the People (CNSP), has not committed to.

ECOWAS Commission President Jean-Claude Kassi Brou, said both the president and prime minister must be appointed by Sept. 15 at the latest.

Source: Reuters
 

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
27,369
2,000
ECOWAS ni wangese wote tu,hao wanajeshi+wananchi wa Mali wanataka kuachana kabisa na makucha ya Wafaransa lkn wajinga ECOWAS wamekomaa tu kuwazuia wenzao kujiamulia mambo zao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom