Shirika kubwa la Mawasiliano la Zimbabwe -Econet- limesema limeamrishwa na Serikali ya Zimbabwe kufunga Internet, "Until further Notice"
Mawasiliano ya Facebook, WhatsApp na Twitter yalikatishwa...
Wakati mamia ya wananchi wakiandamana kushinikiza ajiuzulu, Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko amesema Mtu yoyote anayemshika mtoa huduma angalau aondoke bila mikono.
Wanafunzi, wafanyakazi wa...
Baada ya takwimu za hivi karibuni kuonyesha Ubelgiji ina kiwango cha juu zaidi cha maambukizi Ulaya, imetangaza kurejesha lockdown ambapo maduka yasiyo na huduma muhimu yatafungwa kuanzia kuanzia...
Tetemeko la Ardhi lililotokea mchana wa Ijumaa ya tarehe 30 Octoba 2020 katika ukanda wa Bahari ya Aegean limeharibu miundombinu katika miji ya pwani.
Watu katika Mji uliopo Magharibi mwa...
Mwakilishi Mkuu wa Muungano wa Umoja wa Mataifa (UN), Miguel Angel Moratinos, amehimiza kuheshimiana kwa dini zote na imani na kukuza utamaduni wa udugu na amani.
Moratinos, katika taarifa yake...
Kampuni hiyo kubwa ya mafuta nchini Marekani imesema itapunguza wafanyakazi kwa 15% kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona kuathiri uhitaji wa nishati hiyo
Mapema mwezi huu, Exxon ilisema...
Watu wapatao 140 wamepoteza maisha baada ya meli iliyokuwa na wahamiaji wapatao 200 kuzama katika pwani ya nchi hiyo
Katika taarifa yake, Ofisi ya Uhamiaji ya Kimataifa (IOM) imesema ajali hiyo...
Leo majira ya asubuhi watu watatu wameuwawa nje ya kanisa huko ufaransa..kati yao mwanamke mmoja ameuwawa kwa kukatwa kichwa. Muuaji amekamatwa akiwa hai..Mayor na polisi wanasema alisikika akilia...
Malawi’s Re-Run Election is Lesson for African Opposition
The overturning of the result in the fresh presidential contest sets a bold precedent for the continent, as a process built upon the...
Mchungaji Wavel Ramkalawan ameshinda kura katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika visiwa vya Shelisheli.
Hii ni mara ya sita kwa Ramkalawan kugombea urais katika Visiwa hivyo vilivyo katika Bahari ya...
Huko China na kwengine duniani limezuka gonjwa lisilotibika kutokana na "mdudu" aka "kiti moto" aka "mbuzi katoliki" aka nguruwe.
Nguruwe katika vitabu (vya imani zote kuu mbili za hapa kwetu)...
Mahakama ya Ufaransa imetoa hukumu ikumuunga mkono mmiliki wa jogoo mmoja baada ya kelele za alfajiri za kuku huyo kuwakera majirani zake.
Maurice kutoka kisiwa cha Oleron katika pwani ya...
Waziri mkuu wa Ethiopia amesema nchi yake "haitakubali vitisho vya aina yoyote" baada ya Rais Donald Trump kusema kuwa Misri inaweza kuharibu bwawa lenye utata la Nile.
Bwawa hilo kubwa...
Hakuna rais anaechezewa Rafu mbaya sana kama Trump, Ila cha kushangaza ni Kwamba Rais huyu huibuka kidedea na kuwaacha wengi midomo wazi ni vipi na kawezaje kuhimili mishale mingi kiasi hiki...
Kitabu: 85% ya makasisi wa Vatican ni mashoga
Feb 16, 2019 15:12 UTC
Kitabu kipya ambacho kinatazamiwa kuzinduliwa wiki ijayo kimefichua kuwa, asilimia 85 ya makasisi na mapadri katika Makao Makuu...
Mambo yanayotekea kwenye nchi kubwa na yenye wasomi wengi kama Nigeria usingetaraji kuyasikia kama nchi hiyo isingekuwa Afrika.
Watu wamelalamikia tu kuuliwa na kuteswa na kikosi maalum...
Mon 28 Jan

SUBSCRIBE
All News
NEWS
OPINION
Israel: no country for black people
OPINION / 24 JANUARY 2018, 07:56AM / AZAD ESSA






Israeli Prime Minister Benjamin...
1. Trump alifanikisha kuujenga uchumi wa US katika viwango vikubwa vya kihistoria zaidi ya watangulizi wake kabla ya kuja kuharibiwa na Covid-19, hivyo ni mtu sahihi machoni kwa wengi kuurekebisha...
Katika kipindi kinachokaribia miaka 10 tangu mwaka 2011 alipopinduliwa na kuuliwa kiongozi wa Libya wananchi wa nchi hiyo wameshuhudia vita vya wenyewe kwa wenyewe,kuuwana kusikokwisha na hatimae...