Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,024
Shirika kubwa la Mawasiliano la Zimbabwe -Econet- limesema limeamrishwa na Serikali ya Zimbabwe kufunga Internet, "Until further Notice"
Mawasiliano ya Facebook, WhatsApp na Twitter yalikatishwa toka Monday wakati maandamano ya kupinga upandaji bei wa mafuta yalipo anza, na watu watatu wamefariki tayari na wengine 600 kukamatwa.
Umoja wa mataifa umeitaka Serikali ya Zimbabwe kupunguza, "excessive use of force" by security forces ikiwa pamoja na kupiga waandamanaji risasi, physical punishment, na madai ya kutafuta waandamanaji nyumba kwa nyumba, usiku.
-Doctors association say more than 60 people were treated in hospitals for gunshot wounds.
"This is not way to react to the expression of economic grievances by the population," UN human rights spokesperson Ravina Shamdasani..~ Reuters
Zimbabwe reportedly turned off the entire country's internet to shut up people protesting its out-of-control economy