Kwanza nianze kwa pongezi safi kabsa kwa mshindi wa 46 wa kiti cha urais wa Marekani Joe Biden wa Democratic party, si jambo la mchezo mchezo kuingia Ikulu kwa nchi yenye nguvu duniani kama...
Mwanasheria Mkuu wa Marekani, William Barr amewaamuru waendesha mashitaka wa Serikali kuanzisha uchunguzi kuhusu dosari za upigaji kura, kwa sababu Rais Donald Trump amedai kuwa alishindwa...
Belarus ni nchi iliyo mashariki mwa Ulaya, imepakana na Poland, Urusi, Ukraine na Lithuania. Ina jumla ya raia takriban 900,000 na mji wake mkuu ni Minsk.
Alexander Lukashenko ni Rais...
Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Chuo cha Johns Hopkins, visa 136,325 na vifo 1,420 vimerekodiwa, ikiwa ni siku ya 8 mfululizo kwa Taifa hilo kurekodi visa zaidi ya 100,000 kwa siku
Marekani...
Maafisa wa Sudan wanasema Raia wasiopungua 6,000 kutoka Ethiopia wamewasili nchini humo wakikimbia mapigano yanayoendelea katika Jimbo la Tigray.
Mamlaka za Sudan zimejiandaa kupokea wakimbizi...
Viongozi katika utawala wa rais Donald Trump umepuzilia mbali matokeo ya uchaguzi, huku Trump akiwazuia maafisa wa serikali kutoshirikiana na rais mteule Joe Biden.
Baadhi ya wanachama wa...
Wizara ya Afya imethibitisha kuibuka kwa Ugonjwa wa Surua katika majimbo matano. Mkurugenzi Mkuu wa Huduma za Kinga za Afya, John Rumunu amesema kuna visa na vifo lakini hawezi kutaja idadi...
Aliyekuwa Rais wa Bolivia Bw. Evo Morales amerudi nchini mwake Bolivia baada ya kulazimika kukimbia mwishoni mwa mwaka jana.
Kiongozi huyo mwenye roho ngumu ya upinzani alitokana na makabila ya...
Rais Donald Trump ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper baada ya wawili hao kushindwa kuelewana. Christopher Miller aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Ugaidi atachukua nafasi yake
Esper...
Wananchi wa Azerbaijan wametoka mitaani kusherehekea ushindi dhidi ya uvamizi wa Armenia Nagorno-Karabakh na kutiwa saini kwa makubaliano.
Raia wa Azerbaijan walianza kufurika barabarani baada ya...
Kuanzia siku ya Jumapili, Uwanja wa ndege wa Bujumbura umefunguliwa kwa ajili ya ndege zinazofanya safari kimataifa baada ya kufungwa kwa miezi saba kutokana na janga la virusi vya corona...
Furaha ya viongozi wa Dunia baada ya Trump baadhi ya wanaJf pia walilia!
Furaha ya viongozi wa dunia kufuatia kubwagwa Trump, nembo ya kufeli Washington kimataifa
Nov 09, 2020 05:54 UTC
Baada...
Wizara ya Afya nchini humo imetoa taratibu mpya ambazo zinadhibiti shughuli za Taasisi zisizo za Serikali (NGO's) ambazo zinafanya kazi katika sekta hiyo
Miongoni mwa kanuni 10 zinazopo ni...
Ofisi ya António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa imekiri kwamba utawala wa Kizayuni wa Israel unayasaidia magenge ya kigaidi.
Uhakika usio na shaka ni kwamba, Israel ndiye muasisi wa...
Bunge la Peru limepiga kura ya kumuondoa madarakani Rais wa nchi hiyo, Martin Vizcarra (57) kufuatia tuhuma za ufisadi. Jumla ya Wabunge 105 kati ya 130 walipiga kura ya kumvua Uongozi...
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wakimbizi (UNHCR) limesema wananchi 3,600 wamekimbia nchini humo kutokana na hofu ya kutokea machafuko baada ya Uchaguzi Mkuu
UNHCR imesema idadi...
Rais wa zamani wa Mali, Amadou Toumani Touré (72) aliyeongoza taifa hilo kuanzia mwaka 2002 hadi Machi 2012 alipopinduliwa na Jeshi amefariki dunia
Kwa mujibu wa taarifa, amefariki akiwa nchini...
Tofauti na Donald Trump Joe Biden anaamini kuwa Marekani inatakiwa kuhamasisha dunia kwenye mambo mbalimbali ikiwepo mambo ya mazingira na demokrasia.
Baada ya huu "uchaguzi" nategemea "rais"...
Ni juzi tu Rais Trump kapata nyomi la watu elfu 57 lakini hutakuja kusikia CNN wala MSMBC, n.K wakiripoti hivi vitu.
Kwa ukweli ni kwamba Wamarekani wenggi wameacha kufatilia main stream media...