Visa vipya 33,470 vya COVID19 vimerekodiwa siku moja, ikiwa ni idadi kubwa zaidi tangu kuanza kwa mlipuko huo kwa mujibu wa takwimu za Serikali
Kufuatia ongezeko hilo, maambukizi yamefikia...
Habari za leo wana JamiiForums,
Natumai muwazima wa afya njema.
Leo nilikua naangalia hotuba ya Rais wa U. S aliyechaguliwa bwana Joe Biden.
Kwakweli ukimsikiliza kwa umakini Joe Baden unaweza...
Mgogoro wa Nagono Karabakh baina ya Armenia na Azerbajan safari hii umesababisha vita vikali vinavyopelekea Armenia kuelemewa na kuishiwa na nguvu mpaka kupelekea kuwachukua vijana wadogo...
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wakimbizi (UNHCR), lieelezea wasiwasi wake kuhusu mapigano yanayoendelea katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia ambayo yamesababisha raia wengi kutoroka...
Takriban watu 50 wamekatwa vichwa na wapiganaji wa Kiislamu nchini Msumbiji, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti.
Wapiganaji hao waliugeuza uwanja wa kuchezea kandanda kuwa 'kichinjio' ...
Polisi katika Mji Mkuu wa nchi hiyo, Luanda wametumia mabomu ya machozi kutawanya waandamanaji ambao wanapinga kuongezeka kwa gharama za maisha na ukosefu wa ajira
Watu kadhaa wamekamatwa huku...
Vurugu kati ya Vyombo vya Usalama na waandamanaji waliokasirishwa na uamuzi wa Bunge kumtoa madarakani Rais Martin Vizcarra zimeripotiwa Mji Mkuu wa nchi hiyo, Lima.
Polisi wamelazimika kutumia...
Muungano wa waalimu nchini Zimbabwe umekataa nyongeza ya mshahara ya asilimia 100.
Nyongeza hiyo ni sehemu ya juhudi za serikali kutaka walimu warudi kazini.
Walimu wanasema kwamba mshahara wa...
Posted on November 9, 2020 by State of the Nation
Right Click here and Select Save As to Download the Audio file
Guests: Lt. General Thomas McInerney, (3-Stars) U.S. Air Force (Retired), Author...
Serikali ya nchi hiyo imekana ripoti za takriban watu 50 kuchinjwa na Wanamgambo wa kundi la Kigaidi katika Jimbo la Cabo Delgado
Gavana wa eneo hilo lenye utajiri mkubwa wa gesi, Valige Tauabo...
10 Most Expensive Things Owned By Former US President Donald J. Trump
By CAIRO-MediaNews_SA | Opera News South Africa
Published 1 days ago - 2682 views
No matter the outcome of the 2020...
Wabunge wa Upinzani Hong Kong wamejiuzulu na kususia Bunge kwa kupinga msimamo wa Wabunge wa chama tawala katika kisiwa hicho kuonekana kukubaliana na sheria ya serikali ya Beijing ya Uzalendo kwa...
Rais Alassane Ouattara na mpinzani wake Mkuu, Henri Konan Bedie wamesema wameamua kufanya mazungumzo ya kuleta aman nchini humo kufuatia wiki kadhaa za vurugu baada ya Uchaguzi Mkuu
Kwa mujibu wa...
China: Dawa mpya tuliyotengeza ina uwezo wa kuzima janga la corona 'bila kuhitaji chanjo'
Maabara moja nchini China ambayo imekuwa ikitengeza dawa ya kutibu maradhi ya Covid-19 yanayosababishwa...
Katika kuonyesha hataki kuondoka madarakani Rais Donald Trump amefanya mabadiliko makubwa Wizara ya Ulinzi - Pentagon kwa kuweka maofisa waandamizi wapya na kuondoa wale wasiokubaliana naye. Mpaka...
Wakuu,
Tuujadili ushindi wa Biden kuelekea makubaliano ya Nyuklia ya Iran.
Kama tunakumbuka Trump aliiondoa Marekani kwenye makubaliano ya Nyuklia ya Iran na kurudisha vikwanzo vikali dhidi ya...
Habari Wanajamvi
Serikali ya Ureno imewapatia wahamiaji wote waliokuwa wanaishi nchini humo bila vibali, vibali vya kuishi. Pia imeenda mbali na kuwapa wote ambao maombi yao yalikuwa processed...
Wana bodi,
Kwanza kabisa nina furaha kubwa kuona jinsi ambavyo watanzania wame endelea kuheshimu maamuzi ya watanzania wenzao katika zoezi zima la uchaguzi. Utulivu huu na amani tuliyo nayo vime...
Mtumishi wa muda mrefu wa wananchi wa Palestina bw Saeb Erakat amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65.
Marehemu Erakat alikuwa mtu wa karibu wa kiongozi mwasisi wa PLO na ameendelea kuwa chini...
Umoja wa Mataifa umetaka mamlaka nchini Msumbiji kuchunguza ripoti kuwa wanamgambo wamewaua takribani watu 50 na kuwachinja wanawake na watoto katika mji wa Carbo del Gado Kaskazini mwa nchi hiyo...