Venezuela imeonesha mkanda wa video inayomuonesha mmoja wa askari mamluki raia wa Marekani ambaye ni miongoni mwa askari 13 waliokamatwa baada ya kushindwa kwa shambulio la kigaidi
Katika video...
Muswada tata unaolenga kufanya iwe kosa la jinai kwa wanasiasa kudanganya wakati wa kampeni za uchaguzi nchini Wales umeibua mjadala mkali kuhusu uhuru wa kujieleza na mustakabali wa demokrasia...
Wakati Rais Vladimir Putin akikazia mapenzi yake kwenye vita vya Urusi nchini Ukraine, washirika wake wa kimkakati kote duniani wamebaki wakiishi kwa hisia ya kupuuzwa — au hata zaidi.
Nchini...
Muungano wa vyama vinavyomuunga mkono Rais Patrice Talon umechukua udhibiti kamili wa Bunge la Taifa la Benin baada ya uchaguzi wa wabunge, kwa mujibu wa matokeo ya awali. Tume ya Uchaguzi ilisema...
Serikali ya Marekani imetenga dau la $25M kwa yeyote atakayesaidia au kufanikisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kwa makosa ya ugaidi wa dawa za kulevya(Narco- terrorism)...
IDF Katikati kusimamisha Usalama wake Leo Ndege Tatu za Kivita za “Adir” (F-35i) zimetua Katika Kambi ya Jeshi la anga la Israel huko Nevatim
Msemaji wa IDF alitangaza kwamba ndege tatu mpya za...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu Aitisha Mkutano wa Usalama kuhusu Iran na Gaza Pamoja na Wakuu wa Ulinzi
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu aliitisha mkutano wa usalama wa faragha uliolenga Iran na...
Ina maana mifumo ya Urusi haizukiziona ndege za US zikija kumdaka Maduro?..
Ndege karibia 150 zitoke US hadi Venezuela kwa masaa 4 angani ya safari mifumo ya Urusi na China isizione
Kichekesho...
Video hii inaonesha maafisa wa shirikisho wa Marekani (federal agents) wakimvuta mwanamke kutoka kwenye gari lake kwa nguvu huko Minneapolis, huku mwanamke huyo akipaza sauti akisema kuwa ni...
Mahakama ya Seoul leo Januari 16 imemhukumu Rais wa zamani wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, kifungo cha miaka mitano jela kesi, kosa likiwa ni uamuzi wake wa kutangaza sheria ya kijeshi mwishoni...
We are ready to strike Israel again,' Iran’s president warns
1 hour ago
Updated 8:53 AM
Share
A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July 2025)...
Utawala wa Iran chini ya utawala wa jiislamu umewaua waandamaji zaidi ya 12,000 baada tu ya kuzima mitandao nchi nzima
Hii inaonyesha ni jinsi gani utawala huo usivyo na huruma jwa watu wake...
Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kwa mara ya kwanza ameweka wazi hadharani kuwa maelfu ya watu waliuawa wakati wa maandamano ya hivi karibuni nchini humo.
Akizungumza katika hotuba...
Kundi lenye silaha katika jimbo la Kermanshah linatangaza kwamba "maasi ya silaha kote Iran yamefikia kilele chake, yako hapa sasa, na yataendelea kukua."
Ni siri iliyo wazi kwamba makundi kama...
Trump ametishia tariff kwa mataifa yatakayofanya biashara la Iran.
Sasa check pesa ya Iran Ilivokula msamba.
1USD = 998, 925 IRR
Halafu kuna mshangazi unapayuka who are you!!
F-35 test pilots described how intense it is to fly the aircraft, The Jerusalem Post reported.
"It's like an 800-pound gorilla sitting on your chest," a pilot said in a Lockheed Martin webinar...