International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Chama cha Wafungwa wa Palestina kimetaka Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) kuweka shinikizo kwa utawala wa Tel Aviv kuwaruhusu Wapalestina katika magereza ya Israel kupewa chanjo dhidi ya corona...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wapinzani wa Rais wa Marekani Donald Trump katika mabunge yote mawili wametoa wito wa rais huyo kuondolewa madarakani baada ya wafuasi wake waliokuwa wakifanya vurugu kuvamia bunge. Seneta wa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Boeing imekubali kulipa faini ya Dola bilioni 2.5 sawa na takriban Tsh. Trilioni 5.7 kwa kosa la kuficha taarifa za kiusalama za ndege 737 Max ambayo ilipata ajali na kuua watu 346 Sehemu ya...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Trump Anatengeneza mgogoro wa kikatiba wafuasi wake wamevamia bunge muda huu.
5 Reactions
125 Replies
13K Views
Mahakama ya Uingereza imekataa ombi la Marekani la kumkabidhi kwake mwanzilishi wa mtandao wa WikiLeaks Julian Assange ili akabiliwe na mashtaka ya ujasusi. Mahakama imeamua kuwa hatua ya...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakati kura za kumtafuta mwanademokrasi bora katika Bara la Afrika na mchuano mkali ukiwa kati ya Rais wa Tanzania na Rais wa Ghana, leo Rais wa Ghana ndugu Nanaa Akufo Adoo ameapishwa baada ya...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Polisi imethibitisha kuwa mwanamke mmoja aliyepigwa risasi wakati wa vurugu zilizotokea baada ya wafuasi wa Trump kuvamia bunge, amefariki dunia kwasababu ya majeraha aliyopata. Bado maafisa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Mwakilishi Nancy Pelosi alichaguliwa tena kuwa spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani Jumapili kwa kipindi chake cha nne, akiwa na wingi uliopungua wa wawakilishi wa chama cha demokrat na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Geneva, Switzerland (AFP). Zaidi ya waandishi wa habari 600 wamekufa kwa ugonjwa wa corona tangu Machi 1, mwaka jana, taasisi ya kutetea uhuru wa vyombo vya habari imesema ikitoa wito kwa kada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mauzo ya magari yanayotumia umeme yafikia 54% ya mauzo ya magari yote mapya huko nchini Norway, ikiwa ni mara ya kwanza kwa nchi hiyo kurekodi mauzo ya juu ya magari hayo dhidi ya yale yatumiayo...
4 Reactions
37 Replies
6K Views
Kwa yanayotokea Marekani hasa baada ya Trump kushika uongozi unaweza kabisa kuyalinganisha na yalitokea Russia mwishoni mwa miaka 80 na mwanzoni mwa miaka 90. Inasemekana Marekani ilimwandaa...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Alizaliwa Disemba 30, 1963 Amehudumu akiwa Mkuu wa Idara ya Ujasusi Marekani (CIA) na sasa ndiye Waziri wa Mambo Ya Nje Wa Marekani Pamoja na kupokea taarifa nyingi kutoka nchi mbalimbali, Mike...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Facebook ba Twiter wameifuta account za Rais wa Marekani Dornad Trump kwa walichodai kuwa zimekiuka sera na taratibu za mitandao. Hii naileta jukwaani ila wanaharakati watukanaji wasome na...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Wafuasi wa Rais Donald Trump wameandamana Washington Dc wakizingira Bunge lililopo Capitol Hill Hatua hiyo imekuja mara baada ya bunge kumuidhinisha Joe Biden kama Rais ajaye wa #Marekani Trump...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Rais Faustin-Archange Touadera ametangazwa Mshindi wa Uchaguzi wa Rais uliofanyika tarehe 27 Desemba katika Jamhuri ya Afrika ya Kati. Matokeo yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi ya nchi hiyo usiku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Former President George W. Bush will attend President-elect Joe Biden's inauguration. Bush and former first lady Laura Bush will attend the inauguration, according to Freddy Ford, Bush's chief of...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama wengi tunavyojua, mlipuko wa ugonjwa wa coronavirus umeuweka uchaguzi wa Marekani wa mwaka 2020 katika mazingira magumu sana. Ugumu huo unatokana na kauli za mara kwa mara za Bwana Trump za...
11 Reactions
28 Replies
3K Views
Trump is trying to thwart democracy itself. But the problem is deeper than one man | US politics On Sunday, the Washington Post published audio of Donald Trump pressuring Georgia’s secretary of...
0 Reactions
3 Replies
665 Views
By Mzansi_Entertainment_News Published 18 hours ago - 430 views Source Twitter Some conspiracy theories have been circulating on social media that the the real Nelson Mandela Died in prison and...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Raia wa kusini mwa Madagascar wanakula mchanga uliochanganywa na ukwaju kwasababu ya kiangazi ambacho kimeharibu zao linalotegemewa na wenyeji, kwa mujibu wa shirika la habari la AFP. "Tunauita...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…