International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

In a now-viral clip circulating across social media, Apostle Johnson Suleman, Senior Pastor of Omega Fire Ministries (OFM) Global—one of Nigeria’s largest churches with its international...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Wakuu, Mkataba wa Rudd ulikuwa makubaliano muhimu ya haki za madini yaliyosainiwa mnamo Oktoba 30, 1888, kati ya Mfalme Lobengula wa Matabeleland na mawakala waliomwakilisha mfalme wa kikoloni wa...
1 Reactions
4 Replies
304 Views
Mods please msihamishe wala kujoin Hakuna Shortcut, Maendeleo yanahitaji nidhamu.
2 Reactions
10 Replies
405 Views
⚠️ Ukumbusho Muhimu Kabla ya Kuongezeka kwa Uwezekano wa kipondo kwa Iran ⚠️ Makombora yanaporushwa kuelekea Israeli, kile tunachochapisha mtandaoni kinaweza kuokoa maisha, au kumsaidia adui...
3 Reactions
13 Replies
438 Views
Wakati Iran anatandikwa na Marekani wakati huohuo Magaidi wa Hamas nao wanapata kipigo cha mbwa-mwili huko Gaza!!!! Safari hii Magaidi wa Hamas,Hezbollah, Houth na Bwana wao Iran wanapata kipigo...
2 Reactions
1 Replies
216 Views
Ukweli mchungu watu ambao hawataki kukubali,Marekani inaonea nchi ambazo hazipo technology kwenye silaha,yaan huwezi kushindana kivita na Marekani kwa silaha za kununua. Lakini kama una...
4 Reactions
5 Replies
422 Views
Kiongozi wa upinzani nchini Guinea-Bissau, Domingos Simoes Pereira, ameachiwa huru kutoka gerezani baada ya kukaa mahabusu kwa miezi kadhaa. Alikuwa mmoja wa wanasiasa waandamizi waliokamatwa...
1 Reactions
1 Replies
192 Views
Iran imetangaza kukamata zaidi ya waratibu maandamano miambili wakiwa na shehena kubwa ya silaha,vilipuzi na mabomu ya petrol, wakiwemo watumishi wa MOSSAD, shirika la ujasusi Israel Baada ya...
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara, ametangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, hatua inayoashiria mwendelezo wa uongozi baada ya ushindi wake mkubwa katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 2025...
2 Reactions
7 Replies
380 Views
South Africa imegeuka kuwa motoni kama wewe sio Msouth hizi siku za karibuni Sasa sio tena kikundi fulani kinashambulia wageni bali nchi nzima wananchi wameamua hawataki wageni iwe kutoka nchi...
4 Reactions
16 Replies
639 Views
Yaani badala ya kusema aongeze ulinzi kukilinda kituo yeye anataka aondoe watu wake kipigwe vizuri? Na hiki ndo kituo pekee kilichobaki kinachofanya kazi baada ya vingine kuharibiwa na Mazayuni na...
3 Reactions
9 Replies
545 Views
Kelele za Trump oh dunia itaona majabu katika hi week kweli tumeona kweli, bada ya Iran kumwambia tunafanya exercise carries zote zipelekwe 500 Miles ama kama zitabaki zita tandikwa hatutanii...
8 Reactions
38 Replies
1K Views
Los Angeles Homeless Crisis: How Fentanyl Is Fueling a Growing Crisis in 2025 | Documentary 2025 fuatilia youtube......
1 Reactions
4 Replies
215 Views
Takribani watu 200 wamepoteza maisha baada ya mvua kubwa kusababisha mfululizo wa maporomoko ya ardhi katika mgodi wa coltan wa Rubaya uliopo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)...
1 Reactions
1 Replies
220 Views
Nimekuwa nafuatilia video za nchi ya Rwanda, hata za huko vijijini. Kwa kweli hii ni nchi nzuri sana. Baada ya miaka kumi ikiendelea hivi itakuwa muonekano wa nchi za Ulaya hata kuzidi. Kila kitu...
6 Reactions
65 Replies
1K Views
Trump anazidi kuprove kuwa ni mbabe sio tu kwa mataifa dhaifu bali hadi kwa mataifa strong ya wazungu wenzake Angalia jinsi anavyomwongelea Emmanuel Macron kwa dharau
0 Reactions
7 Replies
296 Views
Sidhani kama kuna mtu anamsumbua Trump akili kama huyu mwanamke wa Kisomali Ilhan Omar ambaye ni raia wa Marekani na congresswoman wa jimbo la Minnesota, Marekanii Ilhan anapenda sana kupinga...
1 Reactions
16 Replies
406 Views
Baghdad inaendelea kunawiri, sio ile Iraq ya mwaka 2003 tena. Miundombinu inarejea, miradi inaongezeka, na mwelekeo wa nchi umebadilika kuelekea maendeleo ya ndani. Kwa upande wa Wakurdi, Erbil...
4 Reactions
7 Replies
410 Views
Marekani imetoa onyo adimu na la moja kwa moja kwa Canada, ikisema kuwa ndege zake za kivita zinaweza kupelekwa katika anga ya Canada iwapo Ottawa itapunguza au kufuta mpango wake wa kununua ndege...
0 Reactions
7 Replies
488 Views
Chanzo cha picha,Reuters Maelezo ya picha,Rais Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani mwaka 2021 baada ya kifo cha mtangulizi wake na huu ni uchaguzi wake wa kwanza wa kugombea urais. 31 Oktoba...
1 Reactions
2 Replies
877 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…