International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ayatullah Khamenei: Urutubishaji madini ya urani nchini yumkini ukafikia asilimia 60 kulingana mahitaji ya taifa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu...
2 Reactions
6 Replies
962 Views
Chanjo ilitolewa duniani, na kuna baadhi ya viongozi mashuhuri duniani tuliona hadharani wakichanjwa kama kuonyesha umuhimu wa chanjo na uwajibikaji pia. Ninavyofahamu mimi layman katika masuala...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Australia imepitisha Sheria ya kwanza ulimwenguni inayolenga kuzifanya Google na Facebook kulipia maudhui ya habari yaliyomo kwenye majukwaa yao. Mamlaka zilishutumu kampuni hizo ambazo...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Israel’s Health Ministry said Saturday that coronavirus vaccines were “dramatically” effective and the latest data shows the shots were 98.9% effective at preventing death caused by COVID-19...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya msuguano baina ya serikali na mtandao wa Twitter kufuatia maandamano ya wanaharakati wanaotaka mageuzi ya kilimo kuhusu kuondolewa kwa maudhui yanayodaiwa kupotosha na kuhatarisha usalama...
0 Reactions
2 Replies
980 Views
Tuna kila sababu ya kuwa na wasiwasi na mambo mengi yanayohusu tiba hasa kutoka magharibi. Kuna mahali niliwahi soma jinsi waAfrika walivyokuwa wakitumika kama viumbe wa majaribio ya tafiti na...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Kampuni ya Facebook imesema itarejesha maudhui ya taarifa za Habari kwa Watumiaji Nchini Australia baada ya kuyafungia mwishoni mwa wiki iliyopita Facebook ilichukua hatua hiyo kufuatia mvutano...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hapa nchini Afrika ya Kati (CAR) yalipo Makazi yangu Kikazi (japo Tanzania huko ni Nyumbani) kuna Mauzauza mengi kutoka kwa Rais wa hapa. Kwanza japo ni Katili na ana Chuki kwa Watesi (Critics)...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Washambuliaji ambao hawajajulikana wamevamia msafara wa UN na kupelekea kifo cha balozi wa Italia nchini Congo DRC pamoja na bodygurd wake. ---- Italian ambassador killed in DR Congo attack...
3 Reactions
80 Replies
9K Views
Kasri la Buckingham Mwanamme mmoja amekamatwa ndani ya makao ya kifalme nchini Uingereza ya Buckingham baada ya kuvuka ua. Mwanamme huyo wa umri wa miaka 41 alipatikana katika uwanja wa kasri...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Shule zimeshindwa kufunguliwa leo baada ya Walimu kugoma wakisema hawapo salama katika mazingira ya kazi. Wametoa madai kadhaa kwa Serikali ikiwa ni pamoja na posho ya hatari ya COVID19. Wiki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais wa Botswana Dr Masisi ametangaza kuhutubia taifa week hii kueleza hatua inayofuata katika kupambana na ugonjwa wa Corona. Tetesi zinasema Rais huenda akafungulia curfew iliyokuwa imewekwa...
0 Reactions
0 Replies
532 Views
Watafiti wanasema watu milioni nne huenda wameambukizwa mjini LagosImage caption: Watafiti wanasema watu milioni nne huenda wameambukizwa mjini Lagos. Matokeo ya uatafiti nchini Nigeria...
1 Reactions
0 Replies
969 Views
Kamati Kuu inayoshughulika na COVID-19 imetangaza kuzuia wasafari kutoka Sudan, Lebanon, Brazil, Afrika Kusini, Nigeria, Tanzania, Ghana, Ethiopia, Guinea, Sierra Leone kwa siku 15 kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Biden alitoa wito kwa taifa kuungana nae katika wakati wa ukimya katika sauti ya chini sana alielekeza matamshi kwa wale ambao wamepoteza wapendwa wao kutokana na virusi vya COVID-19. Rais...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mamlaka yasema Wananchi wamekuwa hawafuati kanuni na taratibu zilizowekwa ili kudhibiti Ugonjwa wa Ebola ambao umeibuka tena hivi karibuni. Hadi sasa visa sita na vifo vinne vimerekodiwa. Waziri...
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Mgonjwa aliyepandikizwa mapafu amekufa baada ya kupokea #mapafu yaliyoambukizwa na Covid-19, kulingana na utafiti wa kimatibabu ulioelezea kesi ya kwanza kama hiyo nchini Marekani.⁣ ⁣ Kulingana na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndege hiyo imelazimika kutua kwa dharula baada ya moja ya injini yake kupata hitilafu na kushika moto Abiria wote 90 waliokuwa kwenye ndege hiyo iliyokuwa ikitoka Jijijini Addis Ababa wametua...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC limeshtumiwa kwa uchochezi wa chuki dhidi ya 'Uislamu na wanawake Waislamu'. Katika kipindi kimoja cha "Wakati wa Mwanamke" kwenye Redio ya BBC 4...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Hawa jamaa ni hatari aisee YANI wameweza kupitisha drone juu ya KAMBI zote za jishi la IZRAEL bila ya kushtuka hata mmoja Aisee KUMBE I.T ni FANI ya kukimbilia mzee
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…