Oman kuzuia wasafiri kutoka nchi kumi zikiwemo Tanzania, Afrika Kusini na Brazil

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kamati Kuu inayoshughulika na COVID-19 imetangaza kuzuia wasafari kutoka Sudan, Lebanon, Brazil, Afrika Kusini, Nigeria, Tanzania, Ghana, Ethiopia, Guinea, Sierra Leone kwa siku 15 kuanzia Februari 25, 2021.

Zuio hilo pia litahusisha wasafiri ambao wamepita Mataifa yaliyotajwa ndani ya siku 14 kabla ya kuomba kibali cha kuingia Oman. Marufuku haitowahusu raia wa Oman, Wanadiplomasia, Watumishi wa Afya pamoja na Familia zao.

=====

Oman’s supreme committee for dealing with COVID-19 said on Monday it was suspending entry for arrivals from Sudan, Lebanon, Brazil, South Africa, Nigeria, Tanzania, Ghana, Ethiopia, Guinea, Sierra Leone for 15 days from Feb. 25, state media reported.

The decision also includes arrivals from elsewhere if they have passed through any of those countries in the 14 days prior to applying to enter the sultanate. Omani citizens, diplomats, health workers and their families are exempt from the suspension, the committee said.

Source: Oman suspends entry for arrivals from 10 countries including Sudan, Lebanon - state media
 
Back
Top Bottom