Janga la Corona: Shule zashindwa kufunguliwa nchini Malawi, walimu wasema hawapo salama

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Shule zimeshindwa kufunguliwa leo baada ya Walimu kugoma wakisema hawapo salama katika mazingira ya kazi. Wametoa madai kadhaa kwa Serikali ikiwa ni pamoja na posho ya hatari ya COVID19.

Wiki tano zilizopita, Rais Lazarus Chakwera aliagiza Shule zifungwe kutokana na ongezeko la visa na vifo vya Ugonjwa huo. Shule zilitakiwa kufunguliwa leo baada ya maambukizi kupungua.

Chama cha Walimu cha Malawi (TUM) kinataka Watumishi hai wapewe vifaa vya kujikinga (PPE) pamoja na mafunzo juu ya jinsi ya kushughulikia kesi za Corona ndani ya Shule zao.

====

Schools in Malawi failed to reopen on Monday after teachers boycotted classrooms saying they feel unsafe in school environments.

The teachers have made several demands to the government, including seeking a Covid-19 risk allowance.

President Lazarus Chakwera ordered schools to be closed five weeks ago following a sharp rise in Covid-19 infections and deaths.

Schools were to reopen on Monday after a drop in the number of cases of coronavirus.

Local media is reporting that most students returned home after reporting to school in the morning.

In the town of Mponela, 65km north of the Capital, Lilongwe, learners closed roads with huge stones and tree branches to express solidarity with their teachers.

Police have since dispersed the protest.

The Teachers Union of Malawi (TUM) wants teachers to be given personal protective equipment (PPE), training on how to deal with Covid-19 cases within their schools and a plan for social distancing in classrooms.

Ministry of education spokesman, Chikondi Chimala, said the government was holding meetings with teachers’ representatives to resolve the issue
 
Malawi wanajitambua, huku Tanzania chama cha walimu kimeungana na CCM kuwauwa walimu,lakini hata Rais wa Malawi anajitambua huyu watanzania anapita kuongopa kwenye makanisa
 
Sidhan kama ni mhimu kila aliye mdau wa jamii forums kuchangia kila taarifa inayoletwa mezani watu wapo wengi wenye mawazo ya kujenga na kuelimisha watu ila sio kama hayo uliyotapika hapa
Malawi wanajitambua,huku Tanzania chama cha walimu kimeungana na CCM kuwauwa walimu,lakini hata Rais wa Malawi anajitambua huyu watanzania anapita kuongopa kwenye makanisa
 
Sidhan kama ni mhimu kila aliye mdau wa jamii forums kuchangia kila taarifa inayoletwa mezani watu wapo wengi wenye mawazo ya kujenga na kuelimisha watu ila sio kama hayo uliyotapika hapa
Mimi sijawahi kuishi maisha ya kinafiki ,halafu wewe unampangia nani kusema au kuandika
 
Back
Top Bottom