International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Nchi wanachama wa nchi za Afrika leo tarehe 21.3.2018 wanakutana jijini Kigali Rwanda katika mkutano uliopewa jina la Azimio la Kigali, (Kigali declaration) ni mkutano mkubwa sana wa kiuchumi na...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Upinzani nchini Kosovo jana ulitumia mabomu ya kutoa machozi kuvuruga kura bungeni kuhusiana na uwekaji wa alama za mpaka na Montenegro. Wabunge walilazimika kuondolewa kutoka jengo la bunge...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwanzilishi wa mtandao wa Facebook Mark Zuckerberg kwa mara ya kwanza tangu kuzuka kwa kashfa ya Cambridge Analytica, ameibuka na kudai kwamba wamefanya makosa. Analytica inatuhumiwa kuingilia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Moving Beyond “Capitalism” by John Kay on 21 March 2018 @JohnKayFT John Kay I wish we would stop using the word Capitalism. It is a 19th-century term, derived from 19th-century economic...
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Self-driving Uber kills Arizona woman in first fatal crash involving pedestrian Tempe police said car was in autonomous mode at the time of the crash and that the vehicle hit a woman who later...
0 Reactions
2 Replies
617 Views
Siku ya jumanne asubuhi palitokea shambulizi la risasi katika shule ya Great mills high school inayopatikana Maryland nchini marekani. Polisi wa jimbo la Maryland amesema kijana aliyetambulika...
0 Reactions
4 Replies
942 Views
Yy atazitafuta na kunitumia bongo mm nna soko zuri
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Rais Htin Kyaw wa Myanmar amejiuzulu ghafla leo, akisema anataka kupumzika kutoka katika kazi yake hiyo, kwa mujibu wa taarifa aliyoiweka katika ukurasa wake wa Facebook. Kiongozi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Maafisa wamesema watu wasiopungua 25 wameuawa kwenye mlipuko wa bomu na wengine 18 kujetruhiwa katika mlipuko wa bomu uliofanyika leo mjini Kabul Hata hivyo idadi ya majeruhi inaweza kupanda kwa...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Sudan, faru pekee wa kiume aina ya Northern White Rhino (Faru Weupe wa Kaskazini) aliyekuwa amesalia hai duniani, amekufa akiwa na miaka 45, shirika la Ol Pejeta limetangaza. Faru huyo alikuwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kamati ya Bunge la Uingereza limemtaka Mkurugenzi wa Facebook, Mark Zuckerberg afike mbele yake ili kujibu maswali kuhusu utumiaji usio halali wa taarifa kutoka katika mtandao wake katika uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kueleweshwa, mara nyingi nasikia nchi za magharibi (WEST) na nchi za mashariki (EAST). Swali hizi West na East ni geographical? Ninavyofahamu lazima kuwe na reference point ndipo ueleze...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Pope tells 3 new bishops: no politicking, no high society VATICAN CITY – Pope Francis is cautioning bishops to avoid politicking, business and high society. He said bishops should "abandon the...
1 Reactions
7 Replies
945 Views
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa mpango wake uliokuwa ukisubiriwa kwa muda mrefu wa kupambana na matumizi ya madawa ya kutuliza maumivu kupita kiasi Jumatatu . Katika hotuba kwenye mkutano...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Urusi kuwatimua Wanadiplomasia 23 wa Uingereza ikiwa ni majibu kwa Serikali ya Uingereza iliyowapa wiki 1 Wanadiplomasia wa Urusi kuondoka nchini kwao baada ya kushindwa kutoa ushirikiano katika...
4 Reactions
61 Replies
7K Views
  • Redirect
Nicolus Sarkozy, rais mstaafu wa Ufaransa, anashikiliwa na jeshi la polisi la Ufaransa kwa tuhuma za ufisadi wa chaguzi zake zilizotumia hela ya Muammar Gaddhafi wa Libya. Huu ni muendelezo wa...
6 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Imefahamika kuwa mkakati wa kununua wapinzani unafanyika katika nchi za Zambia, Tanzania, DRC, Uganda, Burundi na Rwanda. Vijana wa vyama hivyo tawala wanajitetea kuwa Kama hao wapinzani...
4 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Rais wa Zambia alalamika fedha za kununua wapinzani kuliwa na wajanja Rais Edgar Lungu wa Zambia ameshtushwa kusikia wanachama wa chama kikuu cha upinzani cha UPND wanaonunuliwa kujiunga chama...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ujio wa D.Trump kama Raisi wa USA umewavua nguo Wazungu ambao siku zote wamekuwa wakidanganya watu hasa Waafrika kuhusu Demokrasia ya USA, Wazungu walikuwa wanawadanganya kwamba Raisi wa USA hana...
1 Reactions
Replies
Views
Hii ni breaking news! Mike Pompeo ndio atakuwa Secretary of State mpya. Gina Haspel kuwa CIA director! Rais wa Marekani, Donald Trump amemfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje (Secretary of State)...
4 Reactions
154 Replies
15K Views
Back
Top Bottom