Israel likely behind Iranian container ship attack - Iranian investigator

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,512
Iran washaanza kulialia

Israel is highly likely to have been behind an attack in the Mediterranean this week that damaged an Iranian container ship, an Iranian investigator was quoted as saying on Saturday by Iran's media.

Israeli officials did not comment on Friday when asked if Israel was involved in the incident on Wednesday. The container ship Shahr e Kord was hit by an explosive object which caused a small fire, but no one on board was hurt, Iran reported on Friday. Two maritime security sources said initial indications were that the ship had been intentionally targeted by an unknown source.

"Considering the geographical location and the way the ship was targeted, one of the strong possibilities is that this terrorist operation was carried out by the Zionist regime (Israel)," an unnamed member of the Iranian team investigating the incident was quoted as saying by semi-official Nournews.

A spokesman for the Iranian foreign ministry said on Saturday reports confirmed a sabotage attack "in clear violation of international law."

"Measures to identify the perpetrators of this sabotage action is on our agenda," said Saeed Khatibzade, quoted by state media.

Iran's state-run shipping company IRISL said on Friday it would take legal action to identify the perpetrators of the attack, which it called terrorism and naval piracy. The incident came two weeks after an Israeli-owned ship the MV HELIOS RAY was hit by an explosion in the Gulf of Oman.

The cause was not immediately clear, although a US defense official said the blast left holes in both sides of the vessel's hull. Israel accused Iran of being behind the explosion, a charge the Islamic Republic denied.

Ujinga walioufanya wao wanahisi wamelipiziwa kisasi
 
Wameanza kulia nn, juzi kuna meli la Israel lilipigwa but hawakujua nani kalipiga wakasema ni Iran alieshambulia, baada kama week pia kuna meli la Iran lenye makontena ya mizigo lilishambuliwa na kusababisha kontena moja kutoboka so Iran imetoa tamko akasema inaoneshea Israel yuko nyuma ya hilo shambulizi
So ww unataka kusema nini?
 
Wameanza kulia nn, juzi kuna meli la Israel lilipigwa but hawakujua nani kalipiga wakasema ni Iran ambae alishambulia baada kama week pia kuna meli la Iran lenye makontena ya mizigo lilishambuliwa na kusababisha kontena moja kutoboka so Iran imetoa tamko akasema inaoneshea Israel yuko nyuma ya hilo shambulizi
So ww unataka kusema nini?
Why Israel Mediterranean sea kuna nchi ngapi

Iran akiguswa anasingizia Israel kwann??
 
Why Israel Mediterranean sea kuna nchi ngapi

Iran akiguswa anasingizia Israel kwann??
Kwahio mkuu hao Israel hawewezi kufanya shambulio la kigaidi nje ya Israel? Kama kuna tajiri wa kiyahudi anakwenda Congo kuchukua maadini na kuwapa silaha kusababisha ugaidi wa waasi nchini Congo itawezekanaje kutokufanya shambulio hilo?
Ubaya zaidi Iran ameshasema ni shambulio la kigaidi linatoka kwa Israel so subiri soon majibu ya waajemi na ninavyowajua waajemi hawana dogo katika kushughulikia suala la usalama wao
 
Walishaacha kuapa?? Kila siku wanakula viapo feki
 
Wameanza kulia nn, juzi kuna meli la Israel lilipigwa but hawakujua nani kalipiga wakasema ni Iran alieshambulia, baada kama week pia kuna meli la Iran lenye makontena ya mizigo lilishambuliwa na kusababisha kontena moja kutoboka so Iran imetoa tamko akasema inaoneshea Israel yuko nyuma ya hilo shambulizi
So ww unataka kusema nini?
Imenikumbusha babu! mkisha lala anatoka kufagia uwanja kinyumenyume na kuingia ndani!
Asubuhi anaamka wa kwanza, kabla ya wote, na kuanza kukagua uwanja!
Akikuta kuna nyayo anajua hii nyayo ni ya nani na kumfuata muhusika kumuuliza alocho fuata kwake usiku nini?!
Kama maelezo hayajitoshelezi basi lazima alishwe Amini mbele ya wazee wa kazi!
 
Kwahio mkuu hao Israel hawewezi kufanya shambulio la kigaidi nje ya Israel? Kama kuna tajiri wa kiyahudi anakwenda Congo kuchukua maadini na kuwapa silaha kusababisha ugaidi wa waasi nchini Congo itawezekanaje kutokufanya shambulio hilo?
Ubaya zaidi Iran ameshasema ni shambulio la kigaidi linatoka kwa Israel so subiri soon majibu ya waajemi na ninavyowajua waajemi hawana dogo katika kushughulikia suala la usalama wao
Hayo majibu gani ya Iran kila wakati hakuna nchi inayoongoza kwa kuapaa kujibu kama Iran mbona alivyouawa mwanasayansi wake haijafanya chochote
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom