Trump amesema kuwa ameshaacha WOSIA/maelekezo endapo Iran itafanikiwa kumuua.
Wosia huo unawaambia jeshi la Marekani nini cha kufanya baada ya kifo cha Trump!
Mikwara mingi kumbe dingi muoga...
#HABARI Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano kaskazini mwa Nigeria, wanaojulikana kama Hisbah, wamewakamata Waislamu tisa- wanaume saba na wanawake wawili kwa kosa la kula chakula hadharani...
Wakuu kwa yanayo endelea huko mashariki ya kati kuna dalili yoyote ya vita kati ya Marekani na Iran kushindwa kutokea au tuwe tayari kwa breaking news kubwa muda wowote kutoka sasa ?
Updates na...
DP World, kampuni ya kimataifa ya usafirishaji na usimamizi wa mizigo inayomilikiwa na Falme za Kiarabu (UAE), imemwondoa Sultan Ahmed bin Sulayem katika nafasi ya mwenyekiti na mtendaji mkuu...
Marekani siku zote inalinda Maslahi yake kwa nguvu Kubwa katika kujilinda huku ameigawanya Dunia katika angle za kijographia ili kuhisisha mawasiliano na kuendelea kumiliki uchumi wa Dunia na...
Hio sio list ya nchi zenye vita ambazo watu wake huombea siku iishe salama hata wakikimbilia milimani.
Hizi ni nchi ambazo hata kama hakuna vita ni ngumu kuishi, kujitegemea inabidi uumize sana...
Gavana wa Illinois, JB Pritzker, anamtaka Rais wa Marekani, Donald Trump, kuirejeshea jimbo la Illinois zaidi ya dola bilioni 8 baada ya Mahakama Kuu ya Marekani kubatilisha Ijumaa ushuru mpana wa...
Wanakijiji walivyokimbilia kuchimba dhahabu iliyopatikana karibu na zizi la ng'ombe
Watu wengi wamekimbilia kuchimba dhahabu katika eneo la makazi duni mashariki mwa mji wa Johannesburg, Afrika...
Kuna wakat niliwahi kuwaambia watu huku kuwa ishu ya free palestine ni mtandao wenye kazi maalum wakabisha mno.
Hadi hapo hapo walipogundua pesa inayomwagika kufadhili ugaidi kupitia mgongo wa...
Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi...
Wakuu,
Maandamano makubwa yanaendelea nchini Albania ambapo raia wameingia mtaani kupinga rushwa inayohusisha viongozi wa serikali, ikiwemo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Miundombinu na...
Mahakama ya Juu ya Marekani imefuta ushuru mkubwa uliowekwa na Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, kwa kutumia sheria inayotumika wakati wa dharura za kitaifa.
Katika uamuzi wa majaji sita...
Polisi wa Kiislamu nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa kwa kutofunga Ramadhani. Polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini la Kano nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa siku ya...
Mshambuliaji aliwaua watu angalau wanane na kujeruhi wengi zaidi katika shule ya upili katika mji mdogo wa mlima wa Tumbler Ridge, Canada, siku ya Jumanne.
Mshukiwa ni mwanamke mwenye umri wa...
🔥🔥🔥🔥Taarifa ya Siri iliyofichuliwa huko Uingereza inataja zaidi ya Nchi 22 duniani zilituma magaidi kwenda Israel kwa ajili ya kuua watoto wa dogo na wanawake wasiokuwa na silaha huko GAZA...
Utawala wa Iran unaongozwa na serikali ya kiislamu ya Ayatollah Ali Khamenei uliza zaidi ya waandamanaji 32,000 huko Iran. Umoja wa Mataifa mashirika ya kutetea haki za Binadamu na assailant za...
Maduka na maduka makubwa yalifungwa, safari za ndege zilifutwa na taka zilirundikana Alhamisi huku wafanyakazi wa Argentina wakiendesha mgomo wao wa nne wa kitaifa tangu Rais Javier Milei aingie...
Trump Raisi wa Marekani leo amefungua rasimi baraza la Amani la Gaza, amearika maraisi wa nchi nyingi duniani kasoro wa Africa hamna Raisi wa Africa alio alikwa katika hilo baraza, hi inashiria...
Ripoti za uwezekano wa mzozo kati ya Marekani na Iran zinazidi kuwa ngumu kuzipuuza.
Mrorongo wa ndege za Marekani tayari uko katika eneo hilo, na diplomasia inajitokeza chini ya kivuli cha...
Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi...