Wakuu
Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kuamuru hali ya kijeshi kwa muda mfupi mwezi Desemba 2024.
Jaji Jee Kui-youn amesema amempata Yoon...
Anapinga Trump kuishambulia Iran:
I’m a liberal, have donated to dems since I have been in this country but I’m going to say to you, SHUT THE FvCK UP!!!! . America does not exist in isolation...
Kwa kweli kama ni hivi inaweza badili kabisa the dynamics za geopolitics za middle east. Rais wa UAE na Mtawala wa Abu-Dhabi Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan alikuwa mtawala thabiti dhidi ya...
Bwana Soltan Slyeyyim alikimbia Dubai juzi baada ya kubainika kushiriki katika ngono za watoto chini ya umri, na ibada za Kishetani za kunywa damu ya watoto hao, zilizokuwa zikifanyika katika...
Na Sophia Kiyenze
Tuzo ya amani ya Nobel ni mojawapo ya tuzo kubwa na zenye heshima kubwa duniani ambazo zimekuwa zikitolewa kwa zaidi ya miaka mia moja sasa.
Wako watu mashuhuri duniani...
Sijui huyu bwana aliongea nini hasa kuhusu ukoloni mambloeo wa wazungu, ila Mwanaharakati, Mange Kimambi, kamjibu hivi kupitia mtandao wa X:
No. @CyrilRamaphosa Africa must confront black...
Serikali ya Nigeria imethibitisha kuwasili kwa takriban wanajeshi 100 kutoka nchini Marekani, walioitwa rasmi kusaidia kutoa mafunzo, utaalamu wa kiufundi, na ushirikiano wa kijasusi kwa jeshi la...
Rais Emmerson Mnangagwa mnamo Jumatatu, tarehe 10 Februari 2026, aliongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri kwa mwaka huu, ambapo mawaziri waliidhinisha Muswada wa Marekebisho ya Katiba Na...
Amepachikwa jina la utani: "Shetani wa Waarabu", kutokana na uovu wake alioueneza nchi zote za Kiarabu. Mohammed bin Zayed, anapumulia mashine, na taarifa nyingine zinasema "kisha kitoa"...
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa, anakabiliwa na pingamizi la kisheria kutokana na azma yake ya kuongeza muda wake madarakani.
Kundi la wanajeshi wa vita vya ukombozi wa nchi hiyo wamefungua...
Gaza kuna kitongoji cha watu weusi wengi kinaitwa al-abeed yaani "watumwa", nioneshe mahali US au israel palipo na watu weusi wengi na panaitwa SLAVES
Hadi leo wanaitwa watumwa.
Hata baada ya...
Katika siku za hivi karibuni, wachambuzi na waandishi wa habari wengi wa Magharibi wamekuwa wakihangaika kueleza ufa unaokua kati ya Saudi Arabia na UAE. Maoni mengi yanayochapishwa yanakinzana au...
“Chun jie kuai le” ni maneno ambayo kwa sasa yanasikika sana masikioni mwa Wachina na wageni waliopo hapa China hasa kwa kuwa sasa tupo katika msimu wa mwaka mpya wa jadi wa China. Maneno haya...
Albert Einstein – Nadharia ya Relativity
Max Planck – Mwanzilishi wa Quantum Theory
Werner Heisenberg – Uncertainty Principle
Wilhelm Conrad Röntgen – Aligundua X-rays
Hermann von Helmholtz –...
The Bristol renters 'pushed out' by housing costs
Image source,Tamsyn Fallows
Image caption,Tamsyn Fallows, 40, left Bristol after 17 years due to the mounting costs of renting.
Former Bristol...
Katika mahojiano maalum na Fox Business, Trump alieleza namna nchi nyingi kama Uswisi zinavyonufaika kwa mrefu huku kujaza bidhaa zao marekani bila ushuru huku wao wakiendelea kutoza ushuru bidhaa...
Tukio hili limetokea mchana kwenye barabara moja huko Italia baada ya wezi kuisimamisha gari ya pesa na kuipora.. wawili wamekamatwa...
Tukio hili limenikumbusha filamu moja ya Money heist...
China imetangaza kuwa itaondoa ushuru wote kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi 53 za Afrika ambazo ina mahusiano ya kidiplomasia nazo, ikiruhusu bidhaa hizo kuingia China bila ushuru wa uagizaji...
Wasafishaji wa India wanaepuka ununuzi wa mafuta ya Urusi kwa usambazaji mnamo Aprili na wanatarajiwa kukaa mbali na biashara kama hizo kwa muda mrefu, vyanzo vya kusafisha na biashara vilisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.