International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

JOHN FRANCIS RAIA WA MAREKANI ALIYETEMBEA KWA MIGUU MIAKA 22 AKIIZUNGUKA MAREKANI KUHAMASISHA UTUNZAJI WA MAZINGIRA Umewahi fikiri kuwa unaweza kukaa kwa siku au miaka mingapi bila kuzungumza...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Bwana Sani Dangote mdogo wa tajiri nambari moja Africa ameaga Dunia huko Marekani. === Sani Dangote, the vice president of theDangote Group and brother to Aliko Dangote, is dead. Mr Dangote...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu salaam! Mara ya mwisho mwaka jana huyu mtoto wa pili wa marehemu Col. Muamar Gadaffi nilisikia amefutiwa hukumu yake ya kifo kule Libya, baadaye ikasemekana alitolewa gerezani lakini bado...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mzuka wanajamvi! Wa Ethiopia wengi walioko nje Diaspora wanapitia wakati mgumu sana kwasababu ya ndugu zao nyumbani wanayopitia. Sasa hivi wengi hawajui kama ndugu zao wako hai au wamekufa. Simu...
8 Reactions
46 Replies
5K Views
Serikali ya Austria imeweka 'Lockdown' ya Nchi nzima kwa watu wasiopata chanjo dhidi ya CoronaVirus. Hatua hiyo inalenga kupunguza kasi ya maambukizi katika Taifa hilo. Mamlaka zimekuwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu watano wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa wakati wa maandamano ya kudai utawala wa kidemokrasia nchini Sudan hapo jana Jumamosi. Haya ni kwa mujibu wa kamati kuu ya madaktari nchini Sudan...
1 Reactions
3 Replies
896 Views
Kiongozi wa waasi anayepambana na wapiganaji wa serikali, amesema vikosi vyake vipo karibu na mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, na vinatayarisha mashambulizi mengine, akitabiri kwamba mapigano...
10 Reactions
50 Replies
6K Views
Jenerali mwandamizi aliyeongoza mapinduzi ya kijeshi hivi karibuni nchini Sudan Abdel-Fattah Burhan amejiteua tena kuongoza baraza tawala la mpito ikiwa ni hatua inayoashiria nia yake ya...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Malawi's President Mutharika treated for cardiac arrest Malawi's President Bingu wa Mutharika has been admitted to hospital after suffering a cardiac arrest. Mr Mutharika, 78, is...
0 Reactions
208 Replies
22K Views
Julian Assange amepatiwa ruhusa kumuoa mpenzi wake Stella Moris katika jela ya Belmarsh, BBC imeambiwa. Mwanzilishi huyo wa mtandao wa Wikileaks na bi Moris wana watoto wawili wa kiume , ambao...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Inakuwaje wanaJF! Ni miezi michache mwaka huu tu ilikuja kugundulika kumbe Bill Gates alilazimishwa kujiuzulu kwenye board ya Microsoft na kujikita zaidi katika faundesheni yake na aliyekuwa mke...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Wimbi la 4 la corona laitikisa Ujerumani watengenezaji wa chanjo Pfizer 11.11.2021 Ujerumani imeripoti kiwango cha juu kabisa cha maambukizi ya virusi vya corona kwa siku moja, baada ya zaidi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
FW de Klerk, rais wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Bw de Klerk, ambaye pia alikuwa mhusika mkuu katika kipindi cha...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Bilionea Elon Musk amewataka wanaoshughulika na Mradi wa Chakula Duniani (WFP) kuonesha namna dola Bilioni 6 itakavyoondoa tatizo la njaa duniani. Mkurugenzi wa WFP, David Beasley aliomba fedha...
4 Reactions
136 Replies
54K Views
Pichani Ni Raisi wa Ufaransa Emmnuel Macron akiwa na Mkewe kipenzi (First Lady), Brigitte Macron. Hawa wawili wanapishana kwa miaka 25. Mama amezaliwa 1953. Macron ndiye mdogo kabisa nyumbani...
16 Reactions
78 Replies
10K Views
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi amewafuta kazi mawaziri wa ulinzi na mambo ya ndani, akihoji uwezo wao wa utendaji kazi wakati nchi hiyo ikipambana na uasi wa wanamgambo wa kiislamu kwa miaka minne...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Vyombo vya habari vya Palestina vimeripoti kuwa, Mahakama ya Kijeshi ya Ukanda wa Gaza imewahukumu kifo majajusi sita wa utawala wa Kizayuni wa Israel. Mahakama ya Kijeshi ya Ukanda wa Gaza...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Afisa wa afya katika Jimbo la Kwilu, takriban kilomita 680, mashariki mwa Mji Mkuu wa DRC, Kinshasa alimeviambia vyombo vya habari kuwa karibu watoto 7,000 waliambukizwa na kwa sasa wanatibiwa...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
CONGO REFUGEES IN UGANDA... Just like we predict the start of the rainy season, the WAR season has started in the eastern part of DRC. Fighting has erupted in Eastern Congo leading to a heavy...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…