International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amepimwa na kukutwa na Covid-19 na anatibiwa kwa dalili zisizo kali. Bw Ramaphosa alianza kujisikia vibaya siku ya Jumapili baada ya kuondoka katika ibada ya...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Expo huwa inafanyika kila baada ya miaka 5 katika mji ambao uliachaguliwa Julia zaidi kutoka link ya Wikipedia Hivyo baada ya miaka michache itafanyika katika jiji la Dubai, na tunapenda...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwanafunzi katika Chuo kikuu cha Nigeria kilichopo katika Osogbo, mji mkuu wa jimbo la Osun alichomwa moto na wanafunzi wenzake. Msemaji wa polisi katika jimbo Osun Yemisi Opalola ameithibitishia...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Mashambulizi hayo yasababisha mlipuka mkubwa! Syria’s military said Israeli warplanes fired missiles on the port of the coastal city of Latakia early Tuesday without inflicting any human losses...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Maafisa nchini Ghana wamesema kuwa ndege ambazo zinawasafirisha raia wa kigeni ambao hawajachanjwa ndani ya taifa hilo zitapigwa faini ya dola$3,500 (£2,600) kwa kila msafiri. Makamouni ya ndege...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Majuzi nilisoma uzi wa ndugu yetu Mayala Pascal unaoelezea namna tulivyoingia mikataba ya hovyo kabisa ya Gas yetu ya Mtwara kwa wageni kijinga kabisa. Nimejiuliza sana haya; 1. Nini kilitokea...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
hatimaye ikulu ya marekani imetoa tamko kwa maandishi juu ya kurudishwa kwa justine bieber kwako, wamesema hawawezi kuwavumilia watumia madawa ya kulevya wanao kuja kuleta sifa mbaya juu ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naona wameanza tena....Israel anataka kuishambulia iran... Iran yatoa ramani ya jinsi itakavyo iangamiza Israel iwapo nchi hiyo ya kiyahudi watafanya kosa la kushambulia Vituo vya nyuklia vya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Benny Gantz Waziri wa ulinzi wa Israel ametoa maelekezo ya kuishambulia Iran hivi leo mara baada ya kupewa ruksa ya kuichapa Iran. Waziri huyo wa ulinzi ameshalielekeza jeshi la anga jinsi ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Russia yasimamisha kwa muda uwekaji mitambo ya makombora barani Ulaya Dec 14, 2021 12:26 UTC [https://media] Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema nchi hiyo imeamua kusimamisha kwa...
1 Reactions
1 Replies
864 Views
Experts fly balloon over Kilimanjaro Monday, 16 August 2010 08:44 0diggsdigg By Adam Ihucha, Arusha After two aborted attempts, a research team from Fribourg University of Germany has...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Israel yakataa kuiuzia United Arab Emiratyes mfumo wa kujikinga na makombora wa Irone Dome. Israel imekataa katakata kuiuzia UAE mfumo wa kujikinga na makombora kwa kuwa UAE iko karibu sana sana...
1 Reactions
2 Replies
863 Views
Shirika la Iran Khodro laanza tena kuunda magari Afrika Dec 15, 2021 02:31 UTC [https://media] Shirika la Iran Khodro, ambalo ndilo shirika kubwa zaidi la kuunda magari Asia Magharibi...
3 Reactions
0 Replies
701 Views
Rais Kais Saied amesema Bunge la Nchi hiyo litaendelea kusimamishwa hadi Uchaguzi mpya ufanyike mwaka mmoja kutoka sasa. Pia, ameeleza kuhusu mipango ya Kura ya Maoni ya Katiba mwaka ujao Tangu...
1 Reactions
1 Replies
968 Views
Dunia inaelekea kuishiwa na watu wenye akili
1 Reactions
1 Replies
656 Views
1969 MWANADAMU HAkUWEZA KUTUA MWEZINI !! Wamarekani walijitahidi sana kuudanganya Ulimwengu Mwaka 1969 kwa malengo yao binafsi kisiasa na kiuchumi, lakini Ukweli utabaki kuitwa Ukweli. Picha yote...
23 Reactions
114 Replies
16K Views
Polisi wametumia Mabomu ya Machozi kutawanya Waandamanaji waliokusanyika karibu na Makazi ya Rais Jijini Khartoum, kuonesha hasira zao dhidi ya Makubaliano yaliyomrejesha Waziri Mkuu, Abdalla...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndege nyingi za mizigo za US Air Force zimekuwa zinatua Djibouti siku za karibuni. Hawa TPLF,Tigray People's Liberation Front ilipoanzishwa ilikuwa inaitwa Marxist-Leninist League of Tigray...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…