Kwa mara ya kwanza nchini Ufaransa idadi ya watu 104,611 waliambukizwa virusi vya corona katika muda wasaa 24 zilizopita. Idadi hiyo haijawahi kufikiwa nchini humo tangu kuanza janga la corona...
Waziri wa Nyumba na Ujenzi wa utawala haramu wa Israel amesema wakati umefika Rais Bashar al-Assad wa Syria auawe kutokana na eti jinai anazowafanyia wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
Yoav Galant...
Rais Karolos Papoulias aliyeingoza Ugiriki 2005 hadi 2015 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 92
Rais Papoulias pia alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje 1985 hadi 1989 na 1993 hadi 1996
Ofisi ya...
Hali ni mbaya sana kwenye ardhi ya Tigray.Jeshi la Ethiopia limefanya mashambulizi makali ya ndege katika mkoa wa Alamata kwa siku 2 mfululizo.ndani ya siku 3 jeshi limechukua udhibiti wa maeneo...
Tunapo shereheka na Sikukuu tuwakumbuke watesekao na hata waliotokomezwa kusikojulikana.
Ni jambo la msingi kwa awaye yote akajua uonevu wowote dhidi ya wengine kwa kutofautiana mawazo au imani...
Jeshi la Ethiopia limechukua udhibiti wa mji wa Kobo,uliyopo kilomita 20 kutoka jimbo la Tigray.
Kwa mujibu wa kamanda wa vikosi vya Ethiopia amesema muda wowote kuanzia sasa vikosi vya serikali...
Aliyekuwa Polisi wa Jiji la Minneapolis ambaye mwezi Juni mwaka huu alihukumiwa kifungo cha miaka 22.5 kwa mauaji ya Mmarekani Mweusi George Floyd amesema atakata rufaa
Derek Chauvin amedai...
Kampuni ya Google imetuhumiwa kushindwa kufuta maudhui yaliyozuiwa nchini Urusi hivyo wamepigwa faini ya dola Milioni 98 sawa na Tsh. Bilioni 225.7.
Hii ni mara ya pili kwa kampuni hiyo kutozwa...
Gazeti la New York Times la Marekani hivi karibuni limetoa ripoti inayoema, katika miaka ya hivi karibuni, operesheni za kijeshi za nchi hiyo katika Mashariki ya Kati zimesababisha idadi kubwa ya...
Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya leo imepitisha sheria ambazo zitafanya cheti cha covid-19 cha Umoja huo kuwa halali kwa usafiri miezi tisa baada ya kukamilika kwa ratiba ya kimsingi ya chanjo...
Huang Wei
China imefuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo.
Huang Wei, anayejulikana kwa jina maarufu la Viya, ni mmoja wa...
Mamlaka ya Udhibiti wa Majanga ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuzuia ndege kutoka Tanzania kutua kuanzia Desemba 25 kutokana na kuongezeka kwa visa vya Kirusi cha Omicron.
Nchi...
Wagombea kadhaa wa ubunge nchini Libya leo wametoa wito wa kufanyika maandamano ya nchi nzima kulaani hatua ya kufutwa kwa uchaguzi wa rais uliosubiriwa kwa muda mrefu na ambao ulipangwa kufanyika...
Uhuru wa kupata habari na ule wa kutoa maoni nchini Rwanda bado ni tatizo, hii ni kwa mujibu wa ripoti mpya ya Mtandao wa Mashirika ya Kupigania Haki za Binadamu nchini Rwanda.
Akielezea sheria...
Imarati yaitishia Marekani, yasema itajitoa katika makubaliano ya kununua ndege za F-35
Dec 15, 2021 07:47 UTC
[https://media]
Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) imeamua...
Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini ametangaza kumsamehe Rais wa zamani wa nchi hiyo, Park Geun-hye aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka 22 jela kwa kosa la kula rushwa.
Rais Moon ambaye ni Rais...
Shirika la haki za binadamu nchini Syria, limesema machafuko nchini humo yalisababisha vifo vya watu 3,746 mwaka huu wa 2021 pekee. Idadi hiyo ni ya chini ikilinganishwa na hali ilivyokuwa mwaka...
Kamati ya bunge la Libya imesema leo kuwa haitawezekana kuandaa uchaguzi wa rais uliosubiriwa kwa muda mrefu katika siku mbili zijazo kama ilivyopangwa.
Hilo ni pigo kubwa kwa juhudi za kimataifa...
Tume ya uchaguzi nchini Libya imeagiza kuvunjwa kwa kamati za uchaguzi nchini humo na kutilia mashaka uwezekano wa kuandaliwa kwa uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika mnamo Disemba 24.
Ijumaa ya...
Share
The “Plan” is for the betrayed vaccinated to revolt and create a state of anarchy, such as seen in the Mad Max movies, left. The global government will ride in and restore order.
The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.