Israel yakataa kuiuzia UAE mfumo wa Irone Dome

Israel yakataa kuiuzia UAE mfumo wa Irone Dome

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Israel yakataa kuiuzia United Arab Emiratyes mfumo wa kujikinga na makombora wa Irone Dome.

Israel imekataa katakata kuiuzia UAE mfumo wa kujikinga na makombora kwa kuwa UAE iko karibu sana sana Iran na kuna uwezekano mkubwa sana wa Iran kuudukua mtambo huo na kuufanya usifanye kazi kabisa iwapo Iran itaamua kuipiga Isreal kwa kulipa kisasi iwapo Israel itashambulia vituo vyake vya nyuklia.
 
Ukiacha Maarifa, Ubunifu na Ugunduzi Waisrael wana akili sana, tangu zamani

Wasiwauzie kabisa, labda wawauzie barakoa tu.
 
Back
Top Bottom