Ni bora kuishi kwenye Magofu ukiwa hai kuliko ghorofani ukiwa maiti. Halafu huu mfano wa Libya CCM mnautumia vibaya wala hauakisi chochote na upumbavu mnaoufanya Tanzania. Kwa mazuri yapi mnayojilinganisha na Libya ya Gadafi hata kama naye alikuwa dikteta kama huyu jiwe wenu? Nyie ni madikteta wezi na msio na aibu, bora GADAFI aliiba kiasi akawapa wanawe na nduguze na kingine akawagawia Walibya, nyie mnakomba kila kitu watanzania wanapumulia mashine.


Kwa hiyo sasa hivi watu hawafi.Msitutishe ili tusiwatoe. Libya ilikuwa miscalculation na ilifanywa hivyo sababu Gaddafi alikuwa anaua watu
Evidences unazo za kulithibisha hilo??Msitutishe ili tusiwatoe. Libya ilikuwa miscalculation na ilifanywa hivyo sababu Gaddafi alikuwa anaua watu
Msitutishe ili tusiwatoe. Libya ilikuwa miscalculation na ilifanywa hivyo sababu Gaddafi alikuwa anaua watu
Kwahio ss hv wanakufa nani huko LIBYA ?!Msitutishe ili tusiwatoe. Libya ilikuwa miscalculation na ilifanywa hivyo sababu Gaddafi alikuwa anaua watu
Brainwashed wahed..
Mtu anaacha Saudia huko pamoja na yote anayoyafanya ila hafanywi kitu ila anakuja kukusaidia wewe et kupigania demokrasia.Waafrika tunachezewa sana akili na wazungu yaan mzungu anajifanya rafiki na serikali uku anaichafua mf hizi inxhu za utekaji huwa siziamini kabisa Mo Dewji na Roma walishikwa kisha wakaachiwa hivi mfano wewe ndio kiongozi serikali unaweza kumteka mtu na kumwachia,unaaminije kuwa atatoa siri za nani aliyemteka maana kuna ndugu wataitaji kujua ukweli je atawaficha,yaan hizi mbinu za utekaji zinatumika sana kisiasa ili kuchafua serikali tawala za nchi nyingi mfano hata yalianza mambo madogo kama hivi ya utekaji na wananchi wakidai ni serikali kwa kulinganisha uhusiano wa aliyetekwa na serikali husika hivi ndivyo wazungu wanatumia janja janja kuchafua amani na kinachowasave zaidi ni waafrika tunapenda kuamini rumours na tukishapewa rumours huwa hatupendi kupepesa macho na akili zetu kwa kujua ukweli zaidi,hili wazungu wanalijua ndio maana wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa mfano nimefuatilia viongozi wote wanaoitwa madikteta na mabeberu huwa ni wale waliogoma kuwapigia magoti hivyo watatengenezewa propaganda mpaka wananchi wao watawachukua,Ghadafi alikuwa na madhaifu ya kama viongozi wengine wa Afrika ila cha ajabu walimkomalia yeye kumtoa madarakani,Walibya kama waafrika wengine wakashindwa kuelewa kuwa shida za Libya zinatatuliwa na walibya ila wao wakaruhusu wamagharibi waje kusaidia pasipo kujua lazima walipie huo msaada ndio maana Leo wapo kwenye machafuko ilihali Mabeberu warudishe hasara zao zote katika mikakati ya kumng'oa Ghadhafi,Libya ya Leo ni bora Jehanamu tu
Mtu anaacha Saudia huko pamoja na yote anayoyafanya ila hafanywi kitu ila anakuja kukusaidia wewe et kupigania demokrasia.
Laan inawatesa na itaendelea kuwatesa wa Libya kwa kitendo cha kumuua na kumdhalilisha Muamar Gaddafi ili kuwafurahisha wamerikani. Kiongozi huyu aliwafanyia mambo mengi mazuri watu wake kuliko nchi yoyote ile ya magharibi.
Laana inawatesa na
Laan inawatesa na itaendelea kuwatesa wa Libya kwa kitendo cha kumuua na kumdhalilisha Muamar Gaddafi ili kuwafurahisha wamerikani. Kiongozi huyu aliwafanyia mambo mengi mazuri watu wake kuliko nchi yoyote ile ya magharibi.
Kwa mfano;
1.Aliwauzia mafuta bei ya chini nchi zote za kiafrika
2.Elimu hadi chuo kikuu- Bure
3.Umeme kwa raia wote-Bure
4.Mikopo isiyo na riba kwa wananchi wake wote
5. Maharusi walikuwa wakipewa USD$ 50,000 kutafuta makazi yao
6. Wanawake ambao walikuwa kila wanapojifungua mtoto hupewa USD$ 5,000
7. Kila raia alikuwa anapewa asilimia ya mauzo ya mafuta
8. Kwake nyumba ilikuwa ni haki ya kibinadam.
Wacha waendelee kuumizana kwa sababu ya uroho wa madaraka na aliyewachochea amekaa pembeni akiwacheka upumbavu wao.