Kimbunga Tornado kilicho tawanyika na kuyakumba maeneo ya majimbo sita tofauti nchini Marekani kimesababisha watu zaidi ya 70 kupoteza maisha.
Akithibitisha athari hiyo Gavana wa jimbo la...
Germany bid farewell to Merkel with six minutes of warm applause.
The Germans elected her to lead them, and she led 80 million Germans for 18 years with competence, skill, dedication and...
Austria imeondoa leo vizuizi kwa watu waliopata chanjo kote nchini humo, wiki tatu baada ya kutangaza upya masharti makali ya kupambana na kupanda kwa wimbi la maambukizi ya virusi vya corona...
Naskia huko waziri mkuu wa Ethiopia ameingia front line kwenye mapambano na waasi wa Tigray, ila awe makini sana la sivyo atadondokea pua na hawa waasi kimasihara wanaweza fanya mambo makubwa...
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed arudi ofisini kwake mjini Addis Ababa, baada ya zoezi la kuikomboa miji iliyotekwa na kikundi cha Waasi wa TPLF kufanikiwa kwa kiwango kikubwa.
Taarifa hiyo...
Bunge la Ujerumani limepiga kura kuifanya chanjo dhidi ya virusi vya corona kuwa sharti la kisheria kwa wafanyakazi wa sekta ya afya kuanzia mwezi Machi mwaka ujao. Muswada wa sheria hiyo...
Olaf Scholz
Bunge la Ujerumani limepiga Kura na kumpitisha Olaf Scholz wa Social Democrat Party kuwa Kansela mpya wa Nchi hiyo baada ya Angela Merkel ambaye ameitumikia kwa miaka 16.
Scholz (63)...
Japo haters wa Trump hawataki kukiri, Ila ukweli biden amefeli Sana.
Marekani Kuna mfumko mkubwa Sana wa bei, kuliko kipindi Cha Trump, kwenye border Biden ndo ameboronga kabisa.
Chini ya Trump...
Taarifa kwa mujibu wa BBC
Other documents show how Azerbeijan's ruling Aliyev family have secretly acquired UK property using offshore companies.
The files show how the family - long accused of...
Serikali ya Ghana imesema kwamba wasafiri wote wanaoingia nchini humo kuanzia saa sita usiku jumapili hii, wanastahili kuwa wamepokea chanjo dhidi ya virusi vya Corona.
Wizara ya huduma za afya...
Shirika la afya duniani WHO, leo limeelezea wasiwasi kwamba mataifa tajiri yanayotishiwa na kuzuka kwa aina mpya ya kirusi cha Omicron huenda yakahodhi chanjo za ugonjwa wa COVID-19 na kutatiza...
Abiy Ahmed akisaidiwa na Eritrea wanapigana na muungano wa waasi ambao unaongozwa na TPLF.
Wamarekani wamepeleka ndege nyingi za mizigo Djibouti kusaidia evacuation ya Addis. Ndege nyingi za...
Takriban watu 53 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya lori walilokuwa wakisafirishwa kupata ajali Kusini mwa Nchi hiyo.
Mamlaka zinasema zaidi ya watu 100 wanaosemekana kuwa...
Bangladesh imewahukumu adhabu ya kifo wanafunzi 20 wa chuo kikuu kufuatia mauaji ya mwaka wa 2019 ya kijana mmoja aliyeikosoa serikali kwenye mitandao ya kijamii.
Mwili uliokuwa umepigwa vibaya...
Marekani haitatuma wawakilishi rasmi kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi huko Beijing. Kwa mujibu wa Ikulu ya Marekani, njia mojawapo ya kukemea ukandamizaji wa jamii ya Uyghur nchini...
Kiongozi wa Myanmar aliyetolewa Madarakani na Jeshi amehukumiwa kifungo cha miaka minne gerezani, ikiwa ni mwanzo wa kutolewa hukumu ambazo zinaweza kupelekea afungwe jela maisha
Aung San Suu Kyi...
Ripoti iliyotolewa na Reporters Without Borders (RSF) inasema China ni mkamataji mkubwa wa Waaandishi wa Habari Duniani, ikielezwa takriban Wanahabari 127 wanashikiliwa hivi sasa.
Imeeleza, China...
Ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa inayohusika na amani SIPRI inasema watengenezaji wakubwa wa silaha duniani kwa kiasi kikubwa waliepuka anguko la kiuchumi lililosababishwa na janga la Covid-19...
The effects of H. E. Samia Suluhu Hassan Royal Tour has started rapidly showing an extraordinary impacts on tourism sector and tourists attractions all over the country,
The World biggest...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.