International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mahakama ya juu ya Urusi imeamua kwamba moja kati ya mashirika maarufu ya haki za binaadamu nchini humo la Memorial, lifungwe kwa kuvunja sheria zinazohitaji mashirika kama hayo kujisajili kama...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi karibuni mchekeshaji nchini Marekani Trevor Noah alisema katika kipindi chake cha The Daily Show kuwa, China imewekeza pesa nyingi kwenye miradi ya ujenzi barani Afrika, na kufanya uhusiano...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Maafisa wa afya nchini Marekani wamefupisha muda uliopendekezwa wa kujitenga kwa Wamarekani wasio na dalili za COVID-19 hadi siku tano kutoka mwongozo wa awali wa siku 10. Vituo vya Kudhibiti na...
2 Reactions
1 Replies
736 Views
Fadhili Mpunji Katika kipindi cha kuelekea sikukuu ya Krismas kumetokea wimbi kubwa la maambukizi ya COVID-19 katika bara la Ulaya na Amerika ya kaskazini hasa Marekani. Wimbo hili limetajwa...
2 Reactions
3 Replies
651 Views
Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO limesema leo kwamba athari inayotokana na aina mpya ya kirusi cha Omicron bado iko juu baada ya idadi ya maambukizo ya virusi vya corona kuongezeka kwa asilimia 11...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Polisi imewakamata watu 6 kutoka Tovuti ya Habari ya Stand News kwa tuhuma za njama ya kuchapisha machapisho ya uchochezi. Ofisi ya Tovuti hiyo imevamiwa na zaidi ya Maafisa 200 Polisi wamesema...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
My name is Shoshi Herscu, and I’m a 47-year- old independent journalist from Haifa, Israel. I first became aware of a deadly depopulation and control agenda for humanity a few years ago after...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Mahakama ya Juu Nchini humo imetupilia mbali ombi la Chama Kikuu cha Upinzani la kubatilisha matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa Desemba 4, ambapo Rais Adama Barrow alitangazwa mshindi Kiongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Putin says insulting Prophet Muhammad 'violation of freedom of religion' Russian president says any freedom should have in its basis respect to other people's feelings Russian President Vladimir...
4 Reactions
0 Replies
959 Views
Pakistan's religious party hails Putin’s anti-blasphemy stance Jamaat-e-Islami chief Siraj-ul-Haq calls Russian president's stand ‘great’ effort to mitigate rising Islamophobia in West KARACHI...
1 Reactions
0 Replies
763 Views
Wabunge Senegal wawasilisha muswada dhidi ya ushoga Kundi la wabunge nchini Senegal limewasilisha muswada bungeni ili kutilia mkazo na kulipa nguvu suala la kutokomeza vitendo vya ushoga na...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Unaambiwa! Ikiwa biashara ya viungo vya ndani vya binadamu bado ni haramu katika nchi karibia zote duniani, Iran ndio nchi pekee duniani inayotoa vibali na ruhusa kwa watu kuuza figo zao...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Salaam, Kwa mahaba yangu Nitakua naweka updates za mapigano yanayoendelea huko Ethiopia Kati ya Jeshi la Serikali na Waasi wa TPLF na Jeshi lao liitwalo TDF. Kwanza Kuna vitu vya kuweka sawa 1...
35 Reactions
273 Replies
28K Views
Kanuni mpya za kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya COVID19 yatokanayo na Kirusi cha Omicron zimetangazwa Nchini humo Waziri Mkuu wa Ufaransa, Jean Castex amesema kuanzia Januari 03, kufanyia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi karibuni, hotuba iliyotolewa kwa njia ya video na mkurugenzi wa Kituo cha Maendeleo Endelevu cha Chuo Kikuu cha Columbia, Marekani Jeffrey Sachs ilifuatiliwa na kuitikiwa sana na watu wa...
0 Reactions
4 Replies
789 Views
Rais wa Poland Andrzej Duda leo ametumia kura yake ya turufu kukataa sheria tata ya umiliki wa vyombo vya habari ambayo wakosoaji wanasema inalenga kunyamazisha kituo cha habari cha TVN24...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Makomandoo wa kikosi maalum kiitwacho Special Boat Service: Picha na Royal Marine ya Uingereza. Uingereza imetuma makomandoo watatu wa SAS kwenda nchini Msumbiji kusaidia kumuokoa raia wa nchi...
16 Reactions
195 Replies
23K Views
Dunia imeondokewa na Kiongozi mkuu wa kiimani aliyepambana kutafuta haki. Taarifa za kifo chake zimetolewa Leo hapa South Africa na Mhe. Rais wa S.A, ni kilio na simanzi lakini pia ni furaha kwa...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan, imezivunja tume mbili za uchaguzi pamoja na wizara mbili za amani na masuala ya bunge. Naibu msemaji wa serikali ya Taliban, Bilal Karimi, amesema asasi...
1 Reactions
3 Replies
985 Views
Kwa mara ya kwanza nchini Ufaransa idadi ya watu 104,611 waliambukizwa virusi vya corona katika muda wasaa 24 zilizopita. Idadi hiyo haijawahi kufikiwa nchini humo tangu kuanza janga la corona...
0 Reactions
3 Replies
880 Views
Back
Top Bottom