International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Brits protested the decision to knight Tony Blair, accusing the former prime minister of being a war criminal Tony Blair, Former Prime Minister, speaks at the Milken Institute 21st Global...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kufuatia kifo cha Askofu Mkuu (Mstaafu) Desmond Tutu. Imefahamika mwili wake utachomwa moto na majivu yake kuhifadhiwa kwenye Kanisa Kuu (Cathedral) la St. George's, Capetown. Raha ya Daima...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Waziri Mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdok amejiuzulu baada ya maandamano ya wanaotaka demokrasia kupamba moto nchini humo Hamdok ambaye aliwahi kuwa Afisa wa Umoja wa Mataifa(UN) alisaini makubaliano...
0 Reactions
1 Replies
687 Views
Inasemekana kwamba Hayati Jovenel Moise alikuwa yuko mbioni kutaja majina ya wauzaji wa dawa za kulevya. Kabla ya kuawa kwake mwezi was aba, Rais Moise alikuwa akikusanya orodha ya wanasiasa na...
15 Reactions
33 Replies
5K Views
Patients admitted to hospital with COVID-19 can die by euthanasia if doctors decide they might not survive, the New Zealand government has declared. The Ministry of Health confirmed that a right...
1 Reactions
2 Replies
688 Views
Moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeunguza jengo la Bunge la Afrika Kusini, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa moto huo ulianzia kwenye moja ya ofisi ndani ya jengo hilo kisha...
2 Reactions
4 Replies
853 Views
Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed, amesema amesimamisha Madaraka ya Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Mohammed Hussein Roble siku moja baada ya wawili hao kutuhumiana kuchelewesha Uchaguzi wa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Takriban watu 12 wamefariki dunia na wengine wapato 13 kujeruhiwa mapema leo kufuatia mkanyagano katika jumba la kidini la Mata Vaishno Devi huko Kashmir ambalo hutembelewa na maelfu kila siku kwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken amesema Washington inapania kuchukua hatua mpya ili kushinikiza utawala wa jeshi nchini Myanmar kurudisha serikali ya kiraia, katika wakati...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Tony Blair, the Duchess of Cornwall, and Baroness Amos are to be appointed as members of the Order of the Garter, England's oldest and most senior order of chivalry. The former prime minister now...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Serikali ya mpito nchini Mali imependekeza kwa majirani zake wa Afrika Magharibi kuahirishwa kwa uchaguzi kwa miaka mitano, baada ya mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2020. Waziri wa Mambo ya Nje...
2 Reactions
3 Replies
980 Views
Mamlaka za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zimesema zitapiga marufuku Raia ambao hawajapata Chanjo dhidi ya COVID19 kusafiri nje. Waliopata chanjo kikamilifu wanatakiwa kupata ya nyongeza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Vikitokea vita kati ya Rwanda na Uganda nani atashinda? Wameanza kuparuana tena hawa wezi wa Madini ya Congo Nahisi hawa mwisho wao utakuja kuwa kwenye hizi battle Kati ya Uganda na Rwanda nani...
4 Reactions
113 Replies
11K Views
Ahmadiyya woman has reported “historic sexual assault” by her father and close family members of the global leader of the congregation are being investigated by the London police in a case that...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taifa hilo limeondoa marufuku ya watu kuwa nje kuanzia saa saa sita usiku hadi 10 alfajiri. Vilevile, mikusanyiko ya ndani haitakiwi kuzidi watu 1,000 na ya nje watu 2,000 Pia, Serikali...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais wa zamani wa Afghanistan Ashraf Ghani amesema hakuwa na chaguo jingine ila kuondoka haraka Kabul wakati Wataliban waliukaribia mji huo mkuu. Ghani amekanusha kuwa kulikuwa na mazungumzo...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Watu wenye silaha wamepora ghala la Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) lililokuwa na Tani 1,900 za chakula cha msaada huko Darfur Darfur imeshuhudia ongezeko la mapigano tangu Oktoba...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Umoja wa Mataifa (UN) na Nchi nyingine zinafanya mazungumzo na Rais wa Nchi hiyo pamoja na Waziri Mkuu kusuluhisha mvutano uliopo ambao unaibua hofu ya kutokea mapigano ya Kijeshi Mapema wiki hii...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Author: Godfrey Mwakikagile Paperback: 426 Publisher: New Africa Press (21 May 2012) ISBN-10: 9987160298 ISBN-13: 9789987160297 Book Description: The conflicts between the two groups have...
1 Reactions
0 Replies
917 Views
UTANGULIZI: Nitangulie kusema kwamba kama unataka kuelewa vizuri hili bandiko na kwa nini wanawekea watoto wetu sumu kwenye chanjo, pitia Kwanza bandiko lifuatalo⬇️...
3 Reactions
117 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…